Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Ipo hivi mkuu, mwanaume ukishaonesha interest kwa ke ukatongoza, ke wengi hutake advantage ya kuanza kutaka fedha, huduma n.k na hapa kama mwanaume kweli umemuelewa ke huna budi kugharamika ili kujiweka karibu na ushindi. Changamoto inaanza ukitaka gemu zinaanza sababu zisizo za msingi alafu bado huyohuyo atataka uendelee kumjali.

Nijibu swali lako, aanze kutoa mwenye interest baada ya hapo kuwepo na ushirikiano wa faida. Kama hakuna ushirikiano abort misheni.
Wanaume wengi tumekuwa dhaifu bila sababu kwa kivuli cha kutaka kuonekana gentleman uchwara, Nigga tell her straight away that you wanna get wild with her akileta utoto kick her to the curbs huna cha kupoteza. Always just be straight atachukia at first ila ataelewa baada ya muda kidogo.

Iko hivi ikiwa mi nakutaka and i mean business nitaku tame ila siwezi kuweka pesa kama bait. Alot of motherrfuckaz tryna look nice by flowering them girls with cash spending on them. That doesn't make things any better but eventually gets that girl into "Danga" mode because she quickly realizes that you don't have enough balls to express yourself but you are willing to lose money to get into her thighs. Utaliwa hela na kuzungushwa sababu umeruhusu hilo. Hizo ni mambo za simps.
 
😂 mwaka juzi ilinitokea hiyo ila mbinu ya kuwa na akiba mfukoni au kwenye simu iliniokoa/ilituokoa.
Hii pisi ilinijulisha inakuja town imetoka mkoa tukutane nikakubali, ikajitutumua imenimiss tukae mahali tule tunywe nikataka kumpiga chenga ya mwili ila akaniambia kashaweka oda mahali ni vyema tukienda, nikakubali. Tumekula tumemaliza bill inakuja ananiambia amechanganya pochi, yenye hela kaacha nyumbani, nilikuwa na hela ya rejesho ikabidi nilipie vinginevyo ilikuwa ni kuaibishana.
😂😂😂😂😂😂😂 ningechimba haki ya nani!
 
Pesa utaliwa na tukiamua hata kidole hutumbikizi na cha kutufanya huna!!
Hebu punguzeni kelele kwa vihela gani haswaa mpk mlalamike 😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂 ningechimba haki ya nani!
😂 nisingeweza ila nilikuja kugundua miaka/muda ukishapita maisha hubadilika na watu hubadilika pia. Sio yule niliekuwa namjua kabla.

Mkuu mimi nna huruma sana hasa kwa watu nnaofahamiana nao wakiwa kwenye hali ngumu na za kudhalilika.
 
😂 nisingeweza ila nilikuja kugundua miaka/muda ukishapita maisha hubadilika na watu hubadilika pia. Sio yule niliekuwa namjua kabla.

Mkuu mimi nna huruma sana hasa kwa watu nnaofahamiana nao wakiwa kwenye hali ngumu na za kudhalilika.
Huruma ni kitu kizuri ya kuwa nayo ila kwa walimwengu wa sasa ni hatari haswa hawa maraya kery😂
 
Ww usitupangie na vipochi vyetu, kitendo cha kuzaliwa bongo elewa hiyo misukosuko lazima upitie 😂😂😂😂
Ntahama na usinifuate huko ntakapohamia jirani, huko hatutaki majirani 😂
 
Huruma ni kitu kizuri ya kuwa nayo ila kwa walimwengu wa sasa ni hatari haswa hawa maraya kery😂
Hawa viumbe kuna muda wana huruma ila kuna muda ni makatili mno hawana ata chembe ya huruma hasa kwenye kula hela zetu.
 
Kuna jamaa nilikutana naye Mgahawa Fulani wa Chakula, alikuwa na Manzi Mmoja white hivi.

Picha linaanza Yule Manzi kaagiza Kuku mzima, mishikaki, Chipsi, Soda sijui na mazaga gani.

Baada ya dakika 10 hivi jamaa, akatoka nje kama anapiga simu hivi.

Ndiyo hakurudi kabisa.

Inaonekana yule Manzi hakuwa na fedha ya kulipa na alikuwa anamtegemea yule Jamaa.

Hivyo alilazimika kuacha Simu Janja yake (Smartphone) kama dhamana.

Inaonekana yule Dada alikutana na Vijana wenye roho ngumu kama ya Mtoa Mada Half american 😜

Yule Binti hakujua Vijana wanahitaji "Game" kabla ya kuanza kuhudumia 🤗
Akome kabisa huyo dada anaagiza na kula kama anaenda kubeba zege 😂

Mimi sina roho ngumu ila sipendi mtu atembelee upepo wangu, ningelipia tu kama hela nnayo.
 
Back
Top Bottom