Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Habari wakuu,

Dunia inaenda kasi sana tupo kwenye zama za nipe nikupe, mwanamke unataka hela ya mwanaume(kuhudumiwa) basi uwe tayari kutoa atakachotaka mwanaume.

Sio kutaka kuhudumiwa alafu mwanaume akihitaji tunda zinaanza sababu "ooh bado ni mapema sana kufanya hivyo". Mbona hela na kuhudumiwa hamuoni ni mapema?

Kama haupo tayari kutoa usiwe tayari kutaka pesa na kuhudumiwa, kila mtu abaki na chake.

Ni muda gani ukishapita baada ya kufahamiana ni sahihi kuomba game?

Mtakaokuja kunipa pole nazipokea, ahsanteni [emoji28]

NAWASILISHA.
Mimi kuna mmoja juzi kaniomba hela ya marejesho,nikamwambia aje gheto kuchukuana bila hivyo simu yangu haishiki mtandao wa kutuma
 
Mimi kuna mmoja juzi kaniomba hela ya marejesho,nikamwambia aje gheto kuchukuana bila hivyo simu yangu haishiki mtandao wa kutuma
Naam naam 😂
Mtu ushamuonesha una interest nae kimapenzi kwa hilo ni sawa.
 
Biashara ya ukahaba haitoisha!!

Kudate Kuna maliza fedha sana kuliko kununua malaya kitaa!!

Mnamalizana Kwa buku Tano,ten au twenty Hadi fifty!!

Sasa ku date mara Kodi ya nyumba,mara ada ya watoto,mama anaumwa,sijasuka,sim mpya n.k!!

Kwenye ndoa ndio balaa sasa!!!

Mungu nusuru kizazi hiki!!
Tunaogharamika ni sisi tunaotafuta waifu matirio wa kuweka ndani ila mapenzi ni gharama. Yanagharimu Afya, uchumi na muda.
 
Kama bado unakutana na aina ya wanawake ambao lazima pesa ihusike ndo mkulane ujue kwamba bado unayo safari ndefu.
Tena mnavutana vutana nipe pesa nikupe papuchi😅😅
Ni hatua kwenye maisha ila sidhani kama umeelewa mada.

Mimi navaa uhusika tu kureflect uhalisia wa mada, haimaanishi kuwa ndio nayapitia.
 
Mwanamke wa kujenga nae malengo anaonekana tangu mwanzo, mwanamke anaeomba hela kila uchwao hafai kwa malengo ni chuma ulete.
Asubuhi hana hela ya kula, usiku luku, kesho yake ana madeni [emoji2946], ujakaa sawa kodi, ujageuka anaumwa anahitaji ya kwenda hospitali alafu mtu kama huyo anakubania, hafai hata kuwekwa ndani.
Wakati anakunania, ni wazi Bado hajaamua uwe wake.
Amekiweka kwenye kipimo kutaka kujua malengo Yako kwake kwamba ni ya muda mfupi au muda mrefu.
Kakupa pia mitihani kujua uvumilivu wako na uwezo na utayari wako wa kuhudumia familia in case it happen ukawa mume ama baba watoto wake.
Shukuru Mungu hata Kwa kupewa fursa hiyo, maana ni kama yule alieomba nafasi kusoma chuo,
Atalipa ada, na Bado Kuna kufaulu ama kufeli , na ada hairudi
 
Back
Top Bottom