Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #221
Ndio aagize kama anaenda sudan?Huenda alikuwa hajala hivyo vyakula Kwa muda mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio aagize kama anaenda sudan?Huenda alikuwa hajala hivyo vyakula Kwa muda mrefu
Kijijini wapi huko nianze safari usiku huu?🤗👊🏾
Njoo huku kijijini tupo wengi!!😁😁
From now on fanya hivi...ukikutana na mdada akakuvutia kwa muonekano, kama mpo kwenye mazingira ambayo mnaweza kupiga stori kiasi, tumia huo muda kumfanyia assessment ya mwanzo. Achana na small talks....
Yani ukimuomba namba unajua kabisa "This is someone I would like to see/talk to again..."
Kama mazingira au muda hauruhusu, omba namba, then make sure conversation yenu ya kwanza will either be the last or the begging of something awesome. Iwe mtaishia kuwa wapenzi, au marafiki, utakua umejipatia mtu wa maana/faida kwenye circle yako.
Mzee amerefer mabinti wa zama zake, mabinti wasiobagua huyu n full au ni nusu albino😂Mzee hao mabinti sidhani Kama zama hizi Wana patikana😂.
Sema kudos to you, ume Tema cheche za kizee.
I don't know about Jews living in Tanzania, but I have met some Tanzanians that claim to be Jews, One of them is Maghayo 🤣😂Unafurahia huu uzi wenzako huko palestina hawana internet. Yani watanzania tumekosa ubinadamu sana. Akili zetu ziko kwenye kutandaza miti tu wakati wapalestina wanauwawa kwa makundi.
100 others Alwaz brazaj adriz
Maua yangu huwa unanipa sana, Ishi sana bestie 🤍🤍Dr Lizzy ni hazina bila kumsahau binti kiziwi wana ushauri wa kujenga sana wenye maadili.
Nili wahi omba namba kwa mdada daktari, sijui ali jihisi ni mtoto wa malaika.🤗👊🏾
Njoo huku kijijini tupo wengi!!😁😁
From now on fanya hivi...ukikutana na mdada akakuvutia kwa muonekano, kama mpo kwenye mazingira ambayo mnaweza kupiga stori kiasi, tumia huo muda kumfanyia assessment ya mwanzo. Achana na small talks....
Yani ukimuomba namba unajua kabisa "This is someone I would like to see/talk to again..."
Kama mazingira au muda hauruhusu, omba namba, then make sure conversation yenu ya kwanza will either be the last or the begging of something awesome. Iwe mtaishia kuwa wapenzi, au marafiki, utakua umejipatia mtu wa maana/faida kwenye circle yako.
Mdo maana nili sema ninge kuwa mkubwa......🤓Maua yangu huwa unanipa sana, Ishi sana bestie 🤍🤍
Nikiachika nakuja kukulea (kwa lazima) 🤣🤣Mdo maana nili sema ninge kuwa mkubwa......🤓
Siku hizi nakula advice za SIr chumvi ya kale, sioni umuhimu wa kusumbuana na sketi😄🤣Mzee amerefer mabinti wa zama zake, mabinti wasiobagua huyu n full au ni nusu albino😂
Nami nita ku force upike kwa lazima😄Nikiachika nakuja kukulea (kwa lazima) 🤣🤣
Unastahili sana mkuu 🙌👏Maua yangu huwa unanipa sana, Ishi sana bestie 🤍🤍
😂 kama unapenda sketi shona weka ndaniSiku hizi nakula advice za SIr chumvi ya kale, sioni umuhimu wa kusumbuana na sketi😄🤣
Experience zinatuachia masomo yanayofanya tujielewe mkuu.Dunia inahitaji vijana kama nyinyi. Napenda sana kuona mwanamume anajielewa.
You are a king
Mpaka Sasa wame kulia Bei gani🤓😄Experience zinatuachia masomo yanayofanya tujielewe mkuu.
Endelea kum shauri shemeji yako Nuzulati, huenda ata elewa🤓😂 kama unapenda sketi shona weka ndani
Kaa kwa kutulia nikitoa huwa nasahau nikiona haeleweki naabort mishenMpaka Sasa wame kulia Bei gani🤓😄
AgreedExperience zinatuachia masomo yanayofanya tujielewe mkuu.
Hilo linajulikana tokea zamani,ila mnaambiwa nyie kwasababu unakuta mizigo mnazungusha kutoa ila hela mnaomba.Ukikutana na boya unamlia hela weeee,halafu mzigo unampa maramojamoja.Na kama hamko tayari kutoa pia msitegemee kupokea papuchi😂😂😂😂 au sio