Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Kabisa kuna namna mabinti wakibongo wanatakiwa wabadilike zile zama za kila siku yeye wa kupewa tu zinapitwa na wakati , tuvitu tudogo tu tunahamasisha , mimi nilikua na manzi kila akija lazima aje candies yan nilikua nafurah tu πŸ˜„
Wengi wabinafsi sana na hata akija na kitu atataka ukigharamikie wewe.

Kuna pisi ilinifanyia suprise ya kijinga sana, imetoa oda ya picha ya kuchora kwa mchoraji, imekamilika ananipigia simu anadaiwa nilipie ile picha nikaona huu ujinga siwezi.
 
Wengi wabinafsi sana na hata akija na kitu atataka ukigharamikie wewe.

Kuna pisi ilinifanyia suprise ya kijinga sana, imetoa oda ya picha ya kuchora kwa mchoraji, imekamilika ananipigia simu anadaiwa nilipie ile picha nikaona huu ujinga siwezi.
😁😁😁 zaman kipindi cha ukeketaji ilikua ni haki tugharamike kila kitu ,ila sasa ivi kama ni utamu tunapata wote , ya nini mmoja tu atoboke mfuko?
 
Ni nani atangulie kumpa mwenziwe sasa?
Ipo hivi mkuu, mwanaume ukishaonesha interest kwa ke ukatongoza, ke wengi hutake advantage ya kuanza kutaka fedha, huduma n.k na hapa kama mwanaume kweli umemuelewa ke huna budi kugharamika ili kujiweka karibu na ushindi. Changamoto inaanza ukitaka gemu zinaanza sababu zisizo za msingi alafu bado huyohuyo atataka uendelee kumjali.

Nijibu swali lako, aanze kutoa mwenye interest baada ya hapo kuwepo na ushirikiano wa faida. Kama hakuna ushirikiano abort misheni.
 
"Kila mtu afe na chake ndiyo maisha ya mjini kuzoeazoea watu mwisho utazoea majini" - FA
 
Sure,
 
inategemea kama una malengo nae ya muda mrefu, lakin kama ni hit and run. Unamsogeza pemben
Mwanamke wa kujenga nae malengo anaonekana tangu mwanzo, mwanamke anaeomba hela kila uchwao hafai kwa malengo ni chuma ulete.
Asubuhi hana hela ya kula, usiku luku, kesho yake ana madeni πŸ€¦πŸΌβ€β™‚, ujakaa sawa kodi, ujageuka anaumwa anahitaji ya kwenda hospitali alafu mtu kama huyo anakubania, hafai hata kuwekwa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…