Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Uko right kabisa, wa malengo analuwa na character tofauti, lakin hawa ambao ni omba omba professional, wana deserve hiyo treatment
 
Mkuu ile pisi ya kwenye foleni ya kusubiri usafiri imekuomba maokoto nini.?

Naona unaanza kumsahau shemeji sasa.
 
shemeji hasauliki kamwe.

Ile pisi sijaiona tena ila nimeleta hii mada kwa sababu naona sana hii tabia inazidi kushamiri, wanataka vyetu ila vyao wanakaza.
Tena kwenye mchezo inakuwa ni tamu kinoma sababu huwazi sana kuhusu kiliwa pesa yako.

Vizinga vikiwa vingi alafu akikupa asee ukiwa unaipiga inakuwa haina mzuka sana japokuwa unajitahidi uwe na mzuka lakini wapi sababu unaipiga huku ukifikiria maokoto aliyokuwa anakuomba.

Sisi wanaume tunajua hilo asee demu msumbufu sana wala hawagi mtamu kivile.
 
Jaribu mahusiano yasiyoegemezwa kwenye ngono wala pesa ukibahatika kuyapata. Mahusiano yaliyojengwa katika misingi ya urafiki na ushikaji wa kushibana, kusaidiana, kucheka na kukaa pamoja. Utashangaa sana. Hata hutajua kama unahudumia maana yote utafanya kwa moyo mweupe. Na yeye atakupa papuchi kwa upendo tu tena bila presha; na nyote mtainjoi sana.

Mahusiano ya aina hiyo yapo ila itabidi upate binti anayejielewa na kuijua thamani yake vizuri. Na wewe pia inabidi usiwe furushi; na uwe na mtazamo mpana jumuishi kuhusu maisha, mahusiano, mapenzi, ubinadamu na thamani ya mwanamke.
 
Kuna pisi zinapenda pesa mpaka zimezidi, unakubaliana nae na unamjali na kutimiza wajibu wako vizuri tu alafu bado chenga zinakuwa nyingi. Ke wa aina hii siku akikupa namba unafuta na ikiwezekana unatia block kabisa.

Napenda ke anisumbue kunipa kwa muda kiasi ila katika hicho kipindi cha kunisumbua niwe najiongeza tu mwenyewe kugharamika sio awe anaomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…