Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
38,283
Reaction score
97,793
Habari wakuu,

Dunia inaenda kasi sana tupo kwenye zama za nipe nikupe, mwanamke unataka hela ya mwanaume(kuhudumiwa) basi uwe tayari kutoa atakachotaka mwanaume.

Sio kutaka kuhudumiwa alafu mwanaume akihitaji tunda zinaanza sababu "ooh bado ni mapema sana kufanya hivyo". Mbona hela na kuhudumiwa hamuoni ni mapema?

Kama haupo tayari kutoa usiwe tayari kutaka pesa na kuhudumiwa, kila mtu abaki na chake.

Ni muda gani ukishapita baada ya kufahamiana ni sahihi kuomba game?

Mtakaokuja kunipa pole nazipokea, ahsanteni 😅

NAWASILISHA.
 
Habari wakuu.
Dunia inaenda kasi sana tupo kwenye zama za nipe nikupe, mwanamke unataka hela ya mwanaume(kuhudumiwa) basi uwe tayari kutoa atakachotaka mwanaume...
Uzi huu uwekewe Lamination..Yaani Mtu sio ndugu yako Halafu unataka akupe tu hela bila sababu ya msingi...ila ww hutaki kumpa utamu..aisee hilo ni Nope
 
Uzi huu uwekewe Lamination..Yaani Mtu sio ndugu yako Halafu unataka akupe tu hela bila sababu ya msingi...ila ww hutaki kumpa utamu..aisee hilo ni Nope
Ndipo dunia ilipo kwa sasa, baadhi ya wanawake ukiwa na ukaribu nao na ukaonesha interest ya mapenzi kinachofuata ni kutaka ahudumiwe ila wewe ukitaka game anaona ni mapema sana.
 
Habari wakuu.
Dunia inaenda kasi sana tupo kwenye zama za nipe nikupe, mwanamke unataka hela ya mwanaume(kuhudumiwa) basi uwe tayari kutoa atakachotaka mwanaume. Sio kutaka kuhudumiwa alafu mwanaume akihitaji tunda zinaanza sababu "ooh bado ni mapema sana kufanya hivyo". Mbona hela na kuhudumiwa hamuoni ni mapema?

Kama haupo tayari kutoa usiwe tayari kutaka pesa na kuhudumiwa, kila mtu abaki na chake.

Ni muda gani ukishapita baada ya kufahamiana ni sahihi kuomba game?

Mtakaokuja kunipa pole nazipokea, ahsanteni 😅
NAWASILISHA.
Moja ya nyuzi Bora jamii forums
 
Kabisa hii ni kweli, unakuwa free kutoa kwa ambae nayeye kakupa ushirikiano.
Kabisa kuna namna mabinti wakibongo wanatakiwa wabadilike zile zama za kila siku yeye wa kupewa tu zinapitwa na wakati , tuvitu tudogo tu tunahamasisha , mimi nilikua na manzi kila akija lazima aje candies yan nilikua nafurah tu 😄
 
Back
Top Bottom