PreGE2025 Dunia yatangaziwa Lisu kukamatwa na kubambikiwa kesi ya uhaini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Hii ni kumchafua Rais Samia kwa waliomshauri amsweke Lisu ndani na kumfungulia kesi ya UONGO ya uhaini.

I am convinced that such a serious case for the chairman of the main opposition party cannot go without her knowledge and consent!

Aikande Hichilema alifanyiwa haya haya, mahakama Kuu ikamuona hana hatia ya Uahini, leo ni Rais!
 

Attachments

  • Tanzania_ Opposition Party Leader Tundu Lissu Charged With Treason _ Race To Power _ WION.mp4
    22.9 MB
Kwa hiyo?
 
Nilikuwa pale Katumba bar kinondoni mkwajuni wakati Nyaucho anamdhibiti mjeda Tamimu

Kitambo sana πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama kesi ya uongo au ukweli itajulikana mahakamani sio kwenye mitandao.
 
Naomba mungu jamaa asije kulishw kisicho faa kuliwa huko gerezani
Lisu unamfahamu vizuri na hata familia yake ,anamdogo wake anafundisha uchumi -udsm hapo ,msosi utatokea pale nakwake mbweni Pako sawasawa

Kaka yake unamfahamu ,alute mugwai , lakini Ile team ya ulinzi yake ipo
 
Dunia imeshatoa hukumu.

Kwenye historia kuna Dikteta Mwanamke? Mwenye kitabu anitumie hapa
 
Kesi iko mahakamani subirini uamuzi.
 
1-LISSU kukamatwa imemuongezea kukubarika Ndani na Nje.

2-Mahakama itamuachia Huru, itazidi kumuongezea kukubarika ndan na Nje na kutilia mkazo namba 1.
Nyani km Lissu nje nani anahangaika naye? Mzungu atahangaikia na yule mwenye maamuzi na rasilimali ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…