saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Trump hawezi jishughulisha na ngedere km huyo, unamchukuliaje Trump wewe?J5 utasikia ubalozi wa marekani na trump watakachosema kuhusu uongozi wa tanzania na demokrasia.
Trump hawezi jishughulisha na ngedere km huyo, unamchukuliaje Trump wewe?J5 utasikia ubalozi wa marekani na trump watakachosema kuhusu uongozi wa tanzania na demokrasia.
Mwenzako huko Bunda amelamba mchanga we endelea na jeuri na kibri cha uzimaTrump hawezi jishughulisha na ngedere km huyo, unamchukuliaje Trump wewe?
Tuko busy na tariff za Rais wa dunia 😂Pole mkuu tulisikia kile kidonda chako mguuni kilikuletea Mshikeli. Karibu tena
Nyamaza hujui kitu, endelea kuramba matako ya mishangaziTrump hawezi jishughulisha na ngedere km huyo, unamchukuliaje Trump wewe?
Nakumbuka yule raisi was kaanani pamoja na mamlaka take aliyo kuwa nayo ali kutana na pounder kwa kuinusaLisu unamfahamu vizuri na hata familia yake ,anamdogo wake anafundisha uchumi -udsm hapo ,msosi utatokea pale nakwake mbweni Pako sawasawa
Kaka yake unamfahamu ,alute mugwai , lakini Ile team ya ulinzi yake ipo
Kubambikiwa maana yake nini? Hata kama kabambikiwa mahakama si ndiyo sehemu sahihi ya kuthibutisha ukweli dhidi ya tuhuma zinazomkabili? Sasa ikiwa unaamini kabambikiwa na ameshapelekwa mahakamani hofu yako ni ipi?Hii ni kumchafua Rais Samia kwa waliomshauri amsweke Lisu ndani na kumfungulia kesi ya UONGO ya uhaini.
I am convinced that such a serious case for the chairman of the main opposition party cannot go without her knowledge and consent!
Aikande Hichilema alifanyiwa haya haya, mahakama Kuu ikamuona hana hatia ya Uahini, leo ni Rais!
Kama katika historia kumewahi kuwa na dictator mwanamke au haujawahi kuwa na dictator mwanamke kunahusiana vipi na u-dictator wa Chura Kiziwi? U-dictator wake ndiyo unamtambulisha kama dictator na si jinsia yake whatever it is.Dunia imeshatoa hukumu.
Kwenye historia kuna Dikteta Mwanamke? Mwenye kitabu anitumie hapa
Nyani ni huyu hapa. Kumbe na nyie chawa wake mnajua kuwa chura kiziwi anazigawa kama njugu rasilimali za nchi.Nyani km Lissu nje nani anahangaika naye? Mzungu atahangaikia na yule mwenye maamuzi na rasilimali ya nchi
Hili ni tatizo suguNyani ni huyu hapa. Kumbe na nyie chawa wake mnajua kuwa chura kiziwi anazigawa kama njugu rasilimali za nchi.
Sawa lakini haya yanafanyika kwenye jamii tunayoishi, tunayaona kwa macho yetu hivyo hukumu zetu zinaweza kuwa sahihi kuliko za mahakama zisizokuwa huru kama za tanzania, za JumaKubambikiwa maana yake nini? Hata kama kabambikiwa mahakama si ndiyo sehemu sahihi ya kuthibutisha ukweli dhidi ya tuhuma zinazomkabili? Sasa ikiwa unaamini kabambikiwa na ameshapelekwa mahakamani hofu yako ni ipi?
Kumbuka suala la national security huwa haliko compromised hata kidogo. Inasikitisha kuona tuna Taifa la vijana ambao tumekuwa na utegemezi wa kifikra kwa taasisi za Ulaya na Amerika kuja kushughulikia mambo yetu ya ndani wakati tayari Taifa lina mifumo yake madhubuti wa kushughulikia mambo yake ya ndani.
Hao watu wa Ulaya na Amerika waliwahi kuwaomba nyie msaada mkatatue matatizo yao ya ndani? Unadhani wao hawana changamoto zao?
Mfano: Ubaguzi wa rangi mbona umekuwepo kwa karne kadhaa kwenye mataifa yao na bado hawajawahi kujali kelele zenu black race dhidi ya tabia zao za kibaguzi mpaka leo hii?
Unaona ya Drc Congo, wenye maamuzi wanaweza kutengenezwa wakaongezekaNyani km Lissu nje nani anahangaika naye? Mzungu atahangaikia na yule mwenye maamuzi na rasilimali ya nchi
Nonsense!!!!!Kama kesi ya uongo au ukweli itajulikana mahakamani sio kwenye mitandao.