Dunia yenye kila aina ya maumivu inathibitisha kuwa Mungu mwenye upendo na huruma hayupo

Dunia yenye kila aina ya maumivu inathibitisha kuwa Mungu mwenye upendo na huruma hayupo

Mambo ya mbinguni ni hadithi za kusadikika kama hadithi za sungura na fisi. Hakuna kitu kinachoitwa Mbinguni wala kuzimu.

Mbingu ingekuwepo na nzuri na utamu unaoelezewa kwenye biblia usingeona Papa mwenye miaka 88 anapambania uhai wake hospitalini asife, anachohofia kufa ni nini kama akifa anaenda mbinguni kukaa na baba na kula raha milele na milele?

Mambo ya Mungu, mbinguni na ujinga mwingine unaofanana na huo ni hadithi tu za kutunga, hazina ukweli wowote.
Kweli Mkuu, Mungu angekuwepo angeokoa watoto wadogo wanaofia vitani kila siku.
 
Back
Top Bottom