Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Duniani hapa ukitaka kupoteza muda wako we jaribu kutafuta usawa katika mapenzi, kiufupi hilo ni swala ambalo haliwezekani hata kidogo
Yaani kila mtu unayemuona ana matamanio yake ana vigezo vyake anavyopenda kwa mtu ana madhaifu yake, na ukiachana na hayo yote ukishaambiwa hiki kitu kinaendeshwa na hisia sasa ujue hadi hapo mapenzi hayajakamlika mwisho wa yote
Wanaume tunaweza kumpenda mwanamke kwa kumuona tu lakini kwa wanawake sio kila wakati iko hivyo, ni lazima utumie vitu vingine extra ndio uupate moyo wa mwanamke,
Kitu kibaya zaidi kwa dunia ya leo ni kuwa watu tumeyaingiza maisha katika ulimwengu wa mapenzi yaani hapo tu ndipo makosa yanapofanyika, kwasasa imefika hatua watu hawaangalii upendo bali wanaangalia maisha uliyonayo hatuwezi kulaumu huwenda mfumo wa maisha ya sasa ndio umefanya kila mwanadamu sasa hivi atafute penye uafadhali, sasa swali ni je ukipata mwenye huo unafuu wa maisha utatulia nae ? Utakuta hilo nalo mtu linamshnda!
Guys sikilizeni niwaambie usipoteze time yako kutafuta mtu mwaminifu, mtu yoyote anaweza kuwa mwaminifu kwa mtu anayempenda katika hali ya kawaida uwez kupata uamnifu kwa mtu uliye juana nae jana, bado watu ni wageni hamjuana mtu atakuamini vipi na wewe utamuamin vipi?
Tujifunze kutengeneza Misingi mizuri katika mahusiano yetu, unapoanza mahusiano na mtu cha kwanza uliza moyo wako huyo mtu umeridhika nae? Yaan jinsi alivyo tu kwanza unavyomuona anakufaa au laah? hiyo stage one, stage two jitahidi ujue tabia zake mapema kabla hujampenda sana yaan hapo hapo mwanzoni mwanzoni jitahidi ujue now on anadate na nan? Mvuta bangi? Mwenye dharau? Mwenye kiburi? Mwenye gubu? Mwenye maneno mengi? Mwenye hasira? Mpole? Msikivu? Muongo Muongo? Na n.k.
Kisha kufahamu hayo sasa jiangalie wewe je, tabia zako mwenyewe unazijua na huyo mwenzako mtaendanaa au utaweza kumvumilia? Na kama unaona kabisa hiyo mechi huwezi msipotezeane muda kabisa, kwa kawaida kuna watu tabia zao huwa hawawezi kukaa pamoja hata iweje
Sasa hicho nilichosema hapo kwa asilimia fulani kinaweza kukusaidia kupata mtu ambaye utaweza kudumu nae simaanishi ni mkamilifu hapa ila atleast utakuwa tu mwenyewe unajua huyu nammudu vizuri!
Ila sasa hichoo huwa wengi kinawashinda unajua kwanini?
Unakuta msela umekutana na mtoto mzuri ana 8 figa umedata tayari na mwanamke umekutana na jamaa umevutiwa nae umempenda mazima mnasahau kuangalia tabia mnatumbukia penzini mazma! Na wengi huwa mnajua kabsa kuwa huyu tabia yake siiwezi ila kwasabb umempenda unasema liwalo na liwe tutajua uko mbeleni sasa na Mungu naye alivyo hana hiyana hlo liwalo na liwe uko baadae linakuja kuwa kweli!
Uzuri wa mtu sio uzuri wa moyo wake au tabia yake tupunguze kutesekea mapenzi tena mi najua mostly huwa mnateseka sehemu mnazojua kuwa hapa nateseka! Ni kweli katika mahusiano sio rahisi wote mkapendana sawa sawa ila atleast kuwa na mtu ambaye ukipima kuna namna huyo mtu anakupenda na lazima mmoja ampende mwenzake zaid hiyo ni kawaida ila hakikisha unampenda mtu anayependekaa.
By mzee wa fact