Zee la Arsenal1
Member
- Oct 8, 2018
- 8
- 23
"Uko duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi pindi wanapograduate. Na hii inatokana na mifumo mizuri ya uendeshaji inayozingatia upatikanaji wa mda kwa mwanachuo kujitafuta nje ya ratiba ya masomo yake.
"Huku kwetu, nmekutana na kijana mmoja aliesoma course fulani ya Engineering katika moja ya chuo hapa nyumbani, tumepotezana mda kidogo toka enzi za O-level japo yeye alibahatika kuendelea na masomo hadi university.
''Kijana ananipa story jinsi ambavyo alikua hapati mda wa kulala kipindi yuko chuoni kutokana na mrudikano wa masomo hapo chuoni. Nilimshangaa kidogo nkamuuliza mbona tunaambiwa nenda chuo ukale bata ww unakosaje mda wa kulala...?.
''Kijana anadai kwa siku mnaudhuria vipindi kama kawaida, na task kama zote mara personal assignments zaidi ya tatu, groups assignment huko practical report inakusubili na mengine mengi kwa iyo iyo siku moja tu.
'' Kijana anadai hakuwahi hata kufikiria kitu chochote cha kumuingizia kipato nje ya masomo huku vitisho vya ku disqualify vikiwa vimepamba moto chuoni hapo. Kijana anadai unaamkia venue, unashinda na kukesha Library kukabiliana na task ulizopewa.
''Mimi nilibaki kumsikiliza tu maana sina uzoefu na mambo ya vyuoni huko, lakn kama hali ndo hii kijana kama huyu kwann asiwe tegemezi pindi anapograduate....?, maana hana maarifa yoyote nje ya kukariri ayo masomo yake........, exposure zero, n.k