Duniani hakuna haki! Nimeibiwa simu na pesa na kupigwa chupa ila bado nikashitakiwa

Pole Sana mkuu
 
Kiufupi amewadhalilisha wanaume!imagine elfu kumi,unapoteza simu bado umeumizwa inaingia akilini?
 
Bro umeongea point kabisa lakini ki ukwel km wale jamaa wasingenishika basi sasa hv tungekuwa tunaongea mengine maana na mimi chupa nilishika ila nilizuiwa kikamilifu kama ningepata nafasi basi ningeweza hata kumaliza kila kitu pale pale
Fid Q alisema

Ugomvi wa mtaani mpaka mawe yanahusika, ili wapagawe usichachawe we yagawe kiuhakika.../

Wachachawe kabisa, wainawe hii vita.../

Ili mawe ukishika, pawe na sifa mawe yana tisha.../
 
Hahahaha me nna kazi mkoa flan niliwahi kuonewa hadi na polisi. Sema mm nilikuja kuibuka nimejipanga mbona wao ndo waliomba poo na simu zangu waliiba wakalipa. Ila bado nataka nikinukishe kiaina maana walinidhalilisha sana.
Kwenye haki yangu sio polisi sio nani ambaye anaweza kunizuia, yani mbona nitazua utata nitaita magang hapo yatawale kama wale vishoka kwenye kungfu husle walivyokua wanatuliza jiji
 
Alitoa sadaka ya kujimaliza
 
Daah!chupu wakuvunje spinal cord asseehh!pole sana!
 
Bar unatekeleza ibada za shetani, Mungu kakunusuru ujifunze,usijutie hicho kichapo,inuka fungua kurasa mwabudu Mungu kwa dini yako, la sivo yatakuoata makubwa,
 
Kwa situation Kama hio me niseme tu ukweli hakuna mtu angeweza nizuia kumtia mikononi huyo mwanamke, japo nisingemdhuru sana Ila ningemtikisa Hadi yeye na wanaomzunguka wote wajue kweli wamekutana na mwanaume alafu hatua ya pili Ni lazima muhuni mmoja angepasuka alafu ningemkokota mwenyewe hadi kituoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…