Duniani hakuna haki! Nimeibiwa simu na pesa na kupigwa chupa ila bado nikashitakiwa

Duniani hakuna haki! Nimeibiwa simu na pesa na kupigwa chupa ila bado nikashitakiwa

Kwa situation Kama hio me niseme tu ukweli hakuna mtu angeweza nizuia kumtia mikononi huyo mwanamke, japo nisingemdhuru sana Ila ningemtikisa Hadi yeye na wanaomzunguka wote wajue kweli wamekutana na mwanaume alafu hatua ya pili Ni lazima muhuni mmoja angepasuka alafu ningemkokota mwenyewe hadi kituoni
kaka yangu apo nimeandika tu ndo maana unaongea ivyo ungekuwepo eneo la tukio kwailo wazo lako lingekukuta baya zaidi pale kulikuwa na wanaume km watano hv
 
Kiufupi amewadhalilisha wanaume!imagine elfu kumi,unapoteza simu bado umeumizwa inaingia akilini?
hv nyinyi akili zenu huwa mnaweka wapi
nyinyi ndo mnawafanya wanawake wamekuwa wapumbavu
pesa io aliniazima kwann nisidai changu
Demu ndo kaanza kurusha chupa mm kosa langu lipi kosa langu kumdai
kwa madhara niliopata ni kweli elfu kumi sio ela lkn sikujua km yangetokea hayo mm nilijua nikimkazia atanirejeshea pesa yangu
elfu 10 sio hela kwa maisha ya sasa lkn tambua hakuna wa kukupa kirahisi rahisi tu

NYINYI NDO MNAWABEBA HV VIUMBE SASA VINAONA KUPITIA MAUMBILE YAO KILA KITU KITAWEZEKANA

THINKS TWICE BRO

Nakupa tu mfano jamaa anaweza lewa kisha akanunua malaya akalala nae akagundua condomu zimeisha lkn akalala nae tu kesho ana GONOLIA anazurura hospital anatoa malaki kutibiwa sababu tu ya condom ya 1000 dunian hakuna binadamu mwenye uwezo wa kuzuia risk 100 percet binadamu anaweza kuminimize tu risk lkn hawez kuizuia NEVER
 
You dont need to fight to be a man,alishaonyesha dalili za kukudhulumu tokea awali,cha kufanya hapo ungetafuta jinsi ya kujilipa na faida juu.Unakunywa malta zako bill ikija una mwambia amalize huko juu kwa juu.unahama zako kijiwe,kuna familia ni za kihuni huku duniani
 
kaka yangu apo nimeandika tu ndo maana unaongea ivyo ungekuwepo eneo la tukio kwailo wazo lako lingekukuta baya zaidi pale kulikuwa na wanaume km watano hv
Me hilo siangalii mzee wangu me najijua Ni bora hao wamba wangeniumiza lakini huyo mwanamke lazima pia ningemfurahisha.
 
Me hilo siangalii mzee wangu me najijua Ni bora hao wamba wangeniumiza lakini huyo mwanamke lazima pia ningemfurahisha.
Then pia nimekuona boya ulipogundua sehemu Ni miyeyusho kurudisha chench Ila bado ukamkopesha huyo mwanamke then ujinga ukarudi tena kudai, hapo nimekuvua nyota zote.
 
Utamkopeshaje demu mwenye Baa 10k halafu utegemee irudi? Hujui lazima atakuwa anamweka mjini yule Baunsa wake aliyekushika?
Wewe nenda baa kunywa zako kama hujapazoea achana na mbwembwe nyingine..
Mjini siyo sehemu ya kusaidia watu.. watu wengi mjini wasanii tu wanaishi kwa kuunga unga...😎
 
hv nyinyi akili zenu huwa mnaweka wapi
nyinyi ndo mnawafanya wanawake wamekuwa wapumbavu
pesa io aliniazima kwann nisidai changu
Demu ndo kaanza kurusha chupa mm kosa langu lipi kosa langu kumdai
kwa madhara niliopata ni kweli elfu kumi sio ela lkn sikujua km yangetokea hayo mm nilijua nikimkazia atanirejeshea pesa yangu
elfu 10 sio hela kwa maisha ya sasa lkn tambua hakuna wa kukupa kirahisi rahisi tu

NYINYI NDO MNAWABEBA HV VIUMBE SASA VINAONA KUPITIA MAUMBILE YAO KILA KITU KITAWEZEKANA

THINKS TWICE BRO

Nakupa tu mfano jamaa anaweza lewa kisha akanunua malaya akalala nae akagundua condomu zimeisha lkn akalala nae tu kesho ana GONOLIA anazurura hospital anatoa malaki kutibiwa sababu tu ya condom ya 1000 dunian hakuna binadamu mwenye uwezo wa kuzuia risk 100 percet binadamu anaweza kuminimize tu risk lkn hawez kuizuia NEVER
Shida hutaki kuadmit makosa yako,we unachotaka ni faraja ukiambiwa ukweli unaruka tu!
 
Hahahahahahahahahahahahhaaaaa mkuu hizo chupa ulizokuwa unapigwa zilikuwa za maji ya kunywa ama bia?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 bar watu wanakunywaga maji?
 
Aaah kubabake yani hiyo nisingekubali ikalala ushindi ukiwa kwao, kama wamenidhibiti kwasababu ya wingi hilo sio swala

Huku mtaani kuna wana ukiwapa 20k wanakichafua, hao mabaunsa wanapoteana na hicho kioski hapo kinakua mbuga
Hahahahahahah ungeibuka na skaut Jentaz Yani kimobu cha wahuni 😂 unawapa bange tu wanaingia kukiwasha hafagiliwi mtu yani kinanuka kama spenkon😅
 
ah ah kijana boya umeingia choo cha kike umewapa wahuni mtaji...ungefi***wa aisee
😂😂😂😂😂😂 hili tukio lazima liwe limetokea Chugga tu! Sio mahali pengine usela mavi wa aina hii upo kaskazini tu kama sio Moshi ni Arusha!
 
Kuna pesa ukiitoa, jua kuwa ni kama msaada hata kama aliyekuomba alihitaji kukopa...

Siku nyingine wewe ungeenda zako hapo, ungeagiza Malta zako kadhaa halafu pesa ungemwambia atumie aliyokukopa...
 
Back
Top Bottom