kaka yangu apo nimeandika tu ndo maana unaongea ivyo ungekuwepo eneo la tukio kwailo wazo lako lingekukuta baya zaidi pale kulikuwa na wanaume km watano hvKwa situation Kama hio me niseme tu ukweli hakuna mtu angeweza nizuia kumtia mikononi huyo mwanamke, japo nisingemdhuru sana Ila ningemtikisa Hadi yeye na wanaomzunguka wote wajue kweli wamekutana na mwanaume alafu hatua ya pili Ni lazima muhuni mmoja angepasuka alafu ningemkokota mwenyewe hadi kituoni
kwel kabisaBar unatekeleza ibada za shetani, Mungu kakunusuru ujifunze,usijutie hicho kichapo,inuka fungua kurasa mwabudu Mungu kwa dini yako, la sivo yatakuoata makubwa,
hawezi yule ni dada yake tumbo moja ata angeniua bahati angekaa upabde wa dada yakeKama una namba za simu za Bahati naomba nimbembeleze awe shahidi yako.
hv nyinyi akili zenu huwa mnaweka wapiKiufupi amewadhalilisha wanaume!imagine elfu kumi,unapoteza simu bado umeumizwa inaingia akilini?
Me hilo siangalii mzee wangu me najijua Ni bora hao wamba wangeniumiza lakini huyo mwanamke lazima pia ningemfurahisha.kaka yangu apo nimeandika tu ndo maana unaongea ivyo ungekuwepo eneo la tukio kwailo wazo lako lingekukuta baya zaidi pale kulikuwa na wanaume km watano hv
Then pia nimekuona boya ulipogundua sehemu Ni miyeyusho kurudisha chench Ila bado ukamkopesha huyo mwanamke then ujinga ukarudi tena kudai, hapo nimekuvua nyota zote.Me hilo siangalii mzee wangu me najijua Ni bora hao wamba wangeniumiza lakini huyo mwanamke lazima pia ningemfurahisha.
Bila shaka anaongelea chupa za majiHahahahahahahahahahahahhaaaaa mkuu hizo chupa ulizokuwa unapigwa zilikuwa za maji ya kunywa ama bia?
Subiri nimalize kikao taleta Uzi utakaoelezea jinsi ulevi na umalaya unavyopelekea vifoBro km kuna ukweli hapo embu fungua thread udadavue
[emoji23][emoji23][emoji23] chupa za Mo energyHahahahahahahahahahahahhaaaaa mkuu hizo chupa ulizokuwa unapigwa zilikuwa za maji ya kunywa ama bia?
Shida hutaki kuadmit makosa yako,we unachotaka ni faraja ukiambiwa ukweli unaruka tu!hv nyinyi akili zenu huwa mnaweka wapi
nyinyi ndo mnawafanya wanawake wamekuwa wapumbavu
pesa io aliniazima kwann nisidai changu
Demu ndo kaanza kurusha chupa mm kosa langu lipi kosa langu kumdai
kwa madhara niliopata ni kweli elfu kumi sio ela lkn sikujua km yangetokea hayo mm nilijua nikimkazia atanirejeshea pesa yangu
elfu 10 sio hela kwa maisha ya sasa lkn tambua hakuna wa kukupa kirahisi rahisi tu
NYINYI NDO MNAWABEBA HV VIUMBE SASA VINAONA KUPITIA MAUMBILE YAO KILA KITU KITAWEZEKANA
THINKS TWICE BRO
Nakupa tu mfano jamaa anaweza lewa kisha akanunua malaya akalala nae akagundua condomu zimeisha lkn akalala nae tu kesho ana GONOLIA anazurura hospital anatoa malaki kutibiwa sababu tu ya condom ya 1000 dunian hakuna binadamu mwenye uwezo wa kuzuia risk 100 percet binadamu anaweza kuminimize tu risk lkn hawez kuizuia NEVER
Ahahaaa.. daah.ah ah kijana boya umeingia choo cha kike umewapa wahuni mtaji...ungefi***wa aisee
ππππππππππππππππππππππ bar watu wanakunywaga maji?Hahahahahahahahahahahahhaaaaa mkuu hizo chupa ulizokuwa unapigwa zilikuwa za maji ya kunywa ama bia?
Hahahahahahah ungeibuka na skaut Jentaz Yani kimobu cha wahuni π unawapa bange tu wanaingia kukiwasha hafagiliwi mtu yani kinanuka kama spenkonπAaah kubabake yani hiyo nisingekubali ikalala ushindi ukiwa kwao, kama wamenidhibiti kwasababu ya wingi hilo sio swala
Huku mtaani kuna wana ukiwapa 20k wanakichafua, hao mabaunsa wanapoteana na hicho kioski hapo kinakua mbuga
ππππππ hili tukio lazima liwe limetokea Chugga tu! Sio mahali pengine usela mavi wa aina hii upo kaskazini tu kama sio Moshi ni Arusha!ah ah kijana boya umeingia choo cha kike umewapa wahuni mtaji...ungefi***wa aisee