Duniani hakuna haki! Nimeibiwa simu na pesa na kupigwa chupa ila bado nikashitakiwa

ukiagiza kitu yeye anataka cash
 
Kuna pesa ukiitoa, jua kuwa ni kama msaada hata kama aliyekuomba alihitaji kukopa...

Siku nyingine wewe ungeenda zako hapo, ungeagiza Malta zako kadhaa halafu pesa ungemwambia atumie aliyokukopa...
mm huwa ananidai pesa cash wengine huwa naona anawapelekea makaratasi ya bili
 
Shida hutaki kuadmit makosa yako,we unachotaka ni faraja ukiambiwa ukweli unaruka tu!
kosa langu lipi sasa hapo ?
kumkopesha demu
au kudai pesa yngu baa

yaan nimekuja kugundua MWANAMKE kashapewa priority hata afanye utumbo watu wanakwenda upande wake
 
sikia bro Extrovert mwizi akashafanya ufala anajua wazi kabisa mdai anakinyongo hvo alishajua angenihudumia ningekataa kulipa sababu namdai
Ungezidisha bill tu man! Yani unaagiza kisha unapitiliza. Unalipa za mwanzo kumpa impression kuwa hela ipo kisha za mwisho unamzima!
 
Then pia nimekuona boya ulipogundua sehemu Ni miyeyusho kurudisha chench Ila bado ukamkopesha huyo mwanamke then ujinga ukarudi tena kudai, hapo nimekuvua nyota zote.
sikia bro huyu dada namjua in real life sio life na la baa ana watoto wawili kwake napajua mdogo wake ni rafiki yangu sana so nilimkaushia tu kwanza baa yenyewe ndio ilikuwa inafunguliwa na hata baadh ya site zilikuwa hazijamaliziwa
 
Angepasuka mtu au sioπŸ˜‚!!!

Kuna mwamba nilimpa hii story akasema ndani ntakaa ila nikitoka huyo malaya ahakikishe kahama mkoa maana kitakachofata ni msiba tuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…!
 
Ungezidisha bill tu man! Yani unaagiza kisha unapitiliza. Unalipa za mwanzo kumpa impression kuwa hela ipo kisha za mwisho unamzima!
Upo sahihi io situation ingefanye kaz
vp km ningezima alafu moto ungeanzia hapo hapo
nataka nikuambia kitu kimoja bro ambacho nimejifunza hapo MASKINI HAKOPESHWI KUMKOPESHA MASKINI NI KUNUNUA UGOMVI
haijalish unadai haki yako ama vo yeye ukimkopa ndio fursa imeanzia hapo na si urafiki wa kusaidiana kwa nilivyomuangalia huyu hata nimkute anakufa aniombe nimsaidie pesa SIWEZI na km watu watasema mm shetan wacha waseme tu

MASKINI HAKOPESHWI
 
sikia bro huyu dada namjua in real life sio life na la baa ana watoto wawili kwake napajua mdogo wake ni rafiki yangu sana so nilimkaushia tu kwanza baa yenyewe ndio ilikuwa inafunguliwa na hata baadh ya site zilikuwa hazijamaliziwa
Sasa demu anakujua una click na mdogo wake halafu anakuletea usela mavi! Hao ni kuwakodia askari tu yani deile unawatia hasara mpaka wafunge bar.

Unawatia kashkash tu au unamsetia kesi ya madawa tu kmmmk inakuwa imeisha hio! Akahonge 10M
 
Mshenzi huyo demu kummmk kumkopesha mtu bora aweke bond naonaga iko poa zaidi
 
Angepasuka mtu au sioπŸ˜‚!!!

Kuna mwamba nilimpa hii story akasema ndani ntakaa ila nikitoka huyo malaya ahakikishe kahama mkoa maana kitakachofata ni msiba tuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…!
BRO Extrovert TRUST ME kuna vity wacha viende ugomvi wa dizain ukiua utajutia

yaani natamani hata ningekuwa mchawi au mganga au imchek Mshana Jr afanye yake tuzike bila ushaidi

mbali na hilo ni kununua matatizo mengine LET HER GO au tafuta sehemu utapata haki yako
 
Mshenzi huyo demu kummmk kumkopesha mtu bora aweke bond naonaga iko poa zaidi
sasa apo nipe gwala BIG POINT mm kuna mshikaji upo apo DIT alikuja homa kunikopa laki aliiacha laptop tena pesa pesa ilirud fasta tena siku ile ile tuliokubaliana
 
Angepasuka mtu au sioπŸ˜‚!!!

Kuna mwamba nilimpa hii story akasema ndani ntakaa ila nikitoka huyo malaya ahakikishe kahama mkoa maana kitakachofata ni msiba tuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…!
Kuna mwamba mmoja mtaani alikua anasifika sana kwa ukorofi halafu watu walikua wanamuogopa kwasababu alikua anaweza kufanya chochote bila kuogopa

Huyu mwamba kwenye ugomvi kila kilichopo mbele yake atakitumia kama zana ya kukushambulia bila kuangalia hata madhara yanayoweza kumkuta kwa kupelekwa jela endapo atajeruhi au kuua

Jamaa alijitengezea aina fulani ya utemi ambayo iliwafanya watu wengi wamuogope kwamba ni mtu fulani ambaye hana cha kupoteza, na hata sometimes akianzisha nongwa basi watu wanakua wakwanza kuomba msamaha japo kua yeye ndio aliyeanzisha ugomvi.

Sasa kuna siku alikutana na msela, msela yuko simple tu utani mwingi si wakapishana kauli.

Watu wakaanza kuogopa na wakimsihi yule msela aombe msamaha kwani hapo kutazua balaa zaidi

Yule msela akawaambia "jamani naomba mtulie huyu si ndo anajitia yeye ni mgomvi basi niachieni leo nimuonyeshe"

Kelele zikazidi pale kila mtu anajaribu kumsisitiza jamaa aombe msamaha na ikibididi aondoke. Jamaa alichokifanya akambeba yule mtemi juu juu akawa anakimbia naye' watu wakawa wanashangaa imekuaje tena mtemi wetu abebwe kindezi kama vile

Watu wakafatilia kwa nyuma wakamkuta yule mtemi kawekwa kwenye kiuwanja fulani chenye mawe mengi, halafu jamaa kashika panga

Watu wakawa wanachungulia huku wanajiuliza "ina maana jamaa kashika panga halafu anataka kupambana na mtemi au niaje?"

Wakashangaa jamaa anamwambia yule mtemi, "wewe si naskia kwenye ugomvi ukishikaga panga hujawahi lirudisha nyuma, haya shika hili panga, ukiweza tumia na hayo mawe kunipiga ila mimi ntatumia ngumi njoo kati tuzichape"

Mtemi akifikiria namna alivyo bebwa bebwa msobe msobe kutoka kijiweni na akiangalia mazingira hakuna muamuliaji akaona mmmh hapa nikijitusu mbona ntakufa.

Mtemi akasema bro nisamehe nilikua natania tu yani neno dogo kulifanya kubwa kweli...
 
ingia gym mdogo wangu ujenge kifua na ujue kurusha ngumi.
 
You are bro, and you are the man'n'. Hiyo herufi n ya mwisho nimeiweka ili kuku-appreciate. Umepiga mule mule yaani! Kumbe nipo sahihi kwa kutotaka shobo na mazoea na watu wa mitaani. Umenifumbua kitu!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…