Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Ukisoma maandiko kitabu cha mwanzo kwenye habari za nuhu aliyejenga safina maandiko matakatifu ya biblia yanatumbia kuna malaika walimkosea Mungu wakaja Duniani kwa hali ya kimwili walifahamika kama wanefiri , wanefiri wakavutiwa na wanawake wakawaingilia wakawapa ujauzito ikapelekea wanawake kujifungua watoto wakitofauti waliokuwa ma giant na nguvu sana ukilinganisha na wanaume, ikapelekea wanawake kuvutiwa sana na wanefiri kuliko wanaume, hawa wanefiri walikuwa wamemkosea Mungu na pia hawakuwa watiifu mbele za Mungu ikapelekea Mungu kupata hasira na kuiangamiza Dunia kwa gharika ikawa ndio chanzo cha hawa wanefili kupotea Duniani . Biblia imebeba mambo mengi sana ya sirini na unaambiwa kuna vitabu vingine vimechakachuliwa havipo kwenye kurasa za biblia