Duniani kuliwahi kuwa na jinsia ya tatu ukiacha ya me na ke

Duniani kuliwahi kuwa na jinsia ya tatu ukiacha ya me na ke

Wapi kwenye Biblia wamesema hao Wanefili ndiyo jinsia ya tatu?? Hao walikuwa binadamu wa kawaida isipokuwa walikuwa nusu binadamu nusu malaika, hivyo walikuwa wakubwa na wenye uwezo mkubwa, lakini jinsia zitabaki kuwa ME na KE
Tusipotoshe maandiko
 
baiolojia inasema viumbe vikiweza kuzaliana basi vipo kundi moja yani hata chromosome zao hazina tofauti sana mfano 23 kwa 24 hawa wanauwezo wakuzaliana shida inawezakuja kwa hicho kiumbe kilichozaliwa kinaweza kisizae! jinsia ziingiliane zizaliane useme kuna jinsia yatatu sema kuna machotara na sio kuna jinsia nyengine!, sidhani hata kama unaelewa maana ya jinsia!.
Mbona hawakuwepo wanefili wakike ambao walizalishwa. Hakuna mahala biblia imeeleza wanefili walikuwa watu wa jinsia ya kike. Utofautiwao unaonekana pale ambapo wanawake walianza kuvutiwa zaidi na wanefili kuliko wanaume
 
Acha ubishi, soma jielimishe basi, Haya tuambie basi hiyo Jinsia ya tatu inaitwaje?
 
Wapi kwenye Biblia wamesema hao Wanefili ndiyo jinsia ya tatu?? Hao walikuwa binadamu wa kawaida isipokuwa walikuwa nusu binadamu nusu malaika, hivyo walikuwa wakubwa na wenye uwezo mkubwa, lakini jinsia zitabaki kuwa ME na KE
Tusipotoshe maandiko
Kama walikuwa binadamu wa kawaida mbona hawakuwepo wa jinsia ya kike waliozalishwa
 
bwana mdogo acha mabishano ya kitoto always be open for new ideas

Kwahiyo unafikiri wanefili walikuwa watu wa aina gani ? Na unadhani vitabu biblia vimekamilka kwenye kueleza historia ya matukio ya mitume na manabii?
Hizo jinsia zipo wapi? Hilo ndo swali lake.
 
Na hao Wanefili(majitu) waliendelea kuwepo hata katika kizazi cha Musa

Hesabu 13:32-33
[32]Wakawaletea wana wa Israeli habari mbaya ya ile nchi waliyoipeleleza, wakasema, Ile nchi tuliyopita kati yake ili kuipeleleza, ni nchi inayowala watu wanaoikaa; na watu wote tuliowaona ndani yake ni watu warefu mno.

[33]Kisha, huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi; nao ndivyo walivyotuona sisi.
 
vomit-joju-george.gif
vomit-joju-george.gif
 
Back
Top Bottom