Joseph Gadiel
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 407
- 713
Ni wapi kwenye Bibilia umesoma Adamu alikuwa na watoto wa Kike?Mbona hawakuwepo wanefili wakike ?
Mbona hawakuwepo wanefili wakike ambao walizalishwa. Hakuna mahala biblia imeeleza wanefili walikuwa watu wa jinsia ya kike. Utofautiwao unaonekana pale ambapo wanawake walianza kuvutiwa zaidi na wanefili kuliko wanaumebaiolojia inasema viumbe vikiweza kuzaliana basi vipo kundi moja yani hata chromosome zao hazina tofauti sana mfano 23 kwa 24 hawa wanauwezo wakuzaliana shida inawezakuja kwa hicho kiumbe kilichozaliwa kinaweza kisizae! jinsia ziingiliane zizaliane useme kuna jinsia yatatu sema kuna machotara na sio kuna jinsia nyengine!, sidhani hata kama unaelewa maana ya jinsia!.
SahihiWapi kwenye Biblia wamesema hao Wanefili ndiyo jinsia ya tatu?? Hao walikuwa binadamu wa kawaida isipokuwa walikuwa nusu binadamu nusu malaika, hivyo walikuwa wakubwa na wenye uwezo mkubwa, lakini jinsia zitabaki kuwa ME na KE
Tusipotoshe maandiko
Your going too far hizo ni dalili za kukosa hojamweka mada ni peremende!
Acha ubishi, soma jielimishe basi, Haya tuambie basi hiyo Jinsia ya tatu inaitwaje?Mbona hawakuwepo wanefili wakike ambao walizalishwa. Hakuna mahala biblia imeeleza wanefili walikuwa watu wa jinsia ya kike. Utofautiwao unaonekana pale ambapo wanawake walianza kuvutiwa zaidi na wanefili kuliko wanaume
Stori ya uongo mnashikwa vichwa tu!Mbona hawakuwepo wanefili wakike ambao walizalishwa. Hakuna mahala biblia imeeleza wanefili walikuwa watu wa jinsia ya kike. Utofautiwao unaonekana pale ambapo wanawake walianza kuvutiwa zaidi na wanefili kuliko wanaume
Najua unapotokea Simara wala SiTabora ila umeandika vyemaMnajitahidi kuhalalisha mambo mabaya, bado natafuta walipoandika kulikua na jinsia ya tatu sioni!!
Mpaka wanawapa wanawake mimba basi ilikua jinsia ya kiume!!
sawa nimekosa hoja ngoja nitulize komwe!Your going too far hizo ni dalili za kukosa hoja
Kama walikuwa binadamu wa kawaida mbona hawakuwepo wa jinsia ya kike waliozalishwaWapi kwenye Biblia wamesema hao Wanefili ndiyo jinsia ya tatu?? Hao walikuwa binadamu wa kawaida isipokuwa walikuwa nusu binadamu nusu malaika, hivyo walikuwa wakubwa na wenye uwezo mkubwa, lakini jinsia zitabaki kuwa ME na KE
Tusipotoshe maandiko
Hizo jinsia zipo wapi? Hilo ndo swali lake.bwana mdogo acha mabishano ya kitoto always be open for new ideas
Kwahiyo unafikiri wanefili walikuwa watu wa aina gani ? Na unadhani vitabu biblia vimekamilka kwenye kueleza historia ya matukio ya mitume na manabii?
Umemkimbia huyu mNefilisawa nimekosa hoja ngoja nitulize komwe!
shida anaakili ndogo,utafakari ni finyu na hapa anaweza akamind!...🤣Umemkimbia huyu mNefili
Wapi imesemwa kwamba hawakuwepo?Mbona hawakuwepo wanefili wakike ?
Ngoja aione hiyo comment. Ifunike na tambala asiioneshida anaakili ndogo,utafakari ni finyu na hapa anaweza akamind!...🤣
Mkuu hii ya huyu mbona si hata ya maziwa? Umempendelea