Duniani kuliwahi kuwa na jinsia ya tatu ukiacha ya me na ke

Hii ni kweli kabisa kuna baadhi ya hadithi za biblia hazijaandikwa wazi mfano kumjua baba wa mariamu mama wa yesu

Kuna bandiko niliwahi kulisoma ambalo hata amri za Mungu sio kumi tu zipo 100
 
The only thing I know is Jesus died on the cross for me to be saved.... whatever I don't understand I leave to Jesus.

Inamaana baada ya gharika la nuhu walirudi tena kuzaliana na binadamu? Ninachofahamu mimi kuna mahala wana wa Israel walikutana na watu wa Taifa lengine ambalo walikuwa na miili mikubwa wakawafananisha na wanefili
 
Hapo ulipoandika "jinsia ya tatu" ulimaanisha nini?
NB;Jinsia vs Jinsi.
Nimeuliza kama walikuwepo wanefili wa kike kwa maana wapo wanaoamini walikuwepo wanefili wakiume

Wanefili ilikuwa ni jinsia inayojitegemea yenye uwezo wa kuwaingilia wanawake
 
mkuu unachochea ugomvi sasa mambo yatahamia kwako! utakula makonde ya konde gang!
Hakuna haja ya malumbano ya matusi katika hili ukiona mtu anakimbilia huko ujue hana hoja za msingi na ni mchanga wa kiakili na ufahamu kiujumla
 
Hapana mh. Ondoa huo mtazamo siyo kwamba mambo maovu yanayotokea /tunayoyashuhudia ni mipango ya muda mrefu ukihusisha na biblia , watu kumkosea Mungu hawajaanza Leo , biblia ni kitabu kitakatifu kinachobeba historia ya Dunia. Zingatia hakuna dhambi mpya Duniani
 
Fungua kitabu cha Mwanzo soma habari za Nuhu
Najua sana habar Ile

Hakuna andiko lolote linalosema malaika walishuka

Story ya nuhu inaanza Kwa kusema Wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu.....habar za wanefili zimeandikwa hata yeriko walikuwako

Hizi habar za jinsia tatu umetoka wapi?
 
Najua sana habar Ile

Hakuna andiko lolote linalosema malaika walishuka

Story ya nuhu inaanza Kwa kusema Wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu.....habar za wanefili zimeandikwa hata yeriko walikuwako

Hizi habar za jinsia tatu umetoka wapi?
Safi nimependa umeuliza kwa hoja na pia nitakujibu kwa hoja. Je wanefili walikuwepo wanawake ?
 
Umenifungua ufahamu kwa njia nyingine.
Ahsante.
 
Huyu naye ni greater thinker tola atheist. Inasikitisha.
 
CCM NI WANEFIRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…