Joseph Gadiel
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 407
- 713
Nani kasema hawakuzalishwa na kuzaliana?? Unajuaje jinsia ya ME ndiyo walikuwa giants ila jinsia ya KE walikuwa na maumbile ya kawaida?Kama walikuwa binadamu wa kawaida mbona hawakuwepo wa jinsia ya kike waliozalishwa
Nadhani kinachomsumbua mtoa mada ni hajui maana ya neno jinsia ndio maana anakuwa mbishi kwa kutoelewa kitu anachokibishia.Hapo ulipoandika "jinsia ya tatu" ulimaanisha nini?
NB;Jinsia vs Jinsi.
Hata wewe hapo umeuvaa mwili! Kama hawakuua wanaume waliwezaje kuzaa na wanawake wazuri wa dunia hii? Au na wao waliwabadilishia mwili?Maandiko yanatuambia walivaa mwili wa nyama lakini hayajazungumza kuhusu jinsia. Na pia kuna mambo mengi kwenye biblia hii unayoisoma haijakueleza kuhusu hao wanefili .
Walikua wanaume hakukua namwanamke sasa wew unalazimisha wawe wanawake, najua unataka kupenyeza unyoga wako humuWanefili ilikuwa ni jinsia ya watu inayojitegemea na ndiomaana wanawake wakaanza kuvutiwa zaidi na hao wanefili
Naona kama maandishi yako hakuna sehemu yametaja uwepo wa jinsia ya tatu bali yametaja uwepo wa kiumbe mwingine.Husika na kichwa cha habari hapo juu
Ukisoma maandiko kitabu cha mwanzo kwenye habari za nuhu aliyejenga safina maandiko matakatifu ya biblia yanatumbia kuna malaika walimkosea Mungu wakaja Duniani kwa hali ya kimwili walifahamika kama wanefiri , wanefiri wakavutiwa na wanawake wakawaingilia wakawapa ujauzito ikapelekea wanawake kujifungua watoto wakitofauti waliokuwa ma giant na nguvu sana ukilinganisha na wanaume, ikapelekea wanawake kuvutiwa sana na wanefiri kuliko wanaume, hawa wanefiri walikuwa wamemkosea Mungu na pia hawakuwa watiifu mbele za Mungu ikapelekea Mungu kupata hasira na kuiangamiza Dunia kwa gharika ikawa ndio chanzo cha hawa wanefili kupotea Duniani . Biblia imebeba mambo mengi sana ya sirini na unaambiwa kuna vitabu vingine vimechakachuliwa havipo kwenye kurasa za biblia
Mapunga hamchokiHusika na kichwa cha habari hapo juu