Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Mkuu, natamani kungekuwa na uwezo wa kukupa likes zaidi ya moja, ningekupa likes tano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaMaisha yanaanza kuwa na maana pale utakapojiuliza na utakapopata majibu ya maswali haya matatu:
1-WEWE NI NANI.
2-NI KWANINI UKO DUNIANI.
3-NINI KITAFUATA BAADA YA MAISHA HAYA.
tofauti na hivyo, life is meaningless!
Mkuu unaweza kurudi pia njia zipo wazi, lakini pia kwa nini wazazi nao wasikulaumu wewe kwa kiherehere chako chakukimbilia duniani kati ya wenzako wengi zaidi ya bilion moja? Kwa nini hukuacha mbio ukabaki huko huko pengine angekuja mwenzako mstaarabu.Mm bado naona dunia sio sehem sahihi ya mm kuja. Bora ningeachwa huko
Kweli mkuu maana ukifikiria sana unaona hata umhimu wako haupo hapa DunianiMm bado naona dunia sio sehem sahihi ya mm kuja. Bora ningeachwa huko
Mkuu karibu tenaMkuu, natamani kungekuwa na uwezo wa kukupa likes zaidi ya moja, ningekupa likes tano.
Kwani uliwaomba? Ingekuwa uliandika barua ya maombi hapo sawa.Ni kuwapa tu heshima yao wazazi maana mama miezi Tisa sio mchezo mkuu
Kwan bila wao kusex ningekimbia naenda wapi?Mkuu unaweza kurudi pia njia zipo wazi, lakini pia kwa nini wazazi nao wasikulaumu wewe kwa kiherehere chako chakukimbilia duniani kati ya wenzako wengi zaidi ya bilion moja? Kwa nini hukuacha mbio ukabaki huko huko pengine angekuja mwenzako mstaarabu.
mkuu nipo pamoja naweweKi ukweli mi mwenyewe huwa naona the whole point of living is useless, dunia imejaa struggle nyingi za kijinga tuu
Ubinadamu kazi
Pole mkuu kimekupata nini?Huwa nashangaa kweli watu tukishukuru Wazazi hasa Mama eti kwa kukuleta duniani.
Kuna kipi hasa cha maana huku duniani mpaka uwashukuru hao wazazi?
Yani tumetengeneza kitu kwamba huko ulikokuwepo hapakuwa sehem nzuri kuliko dunian.
Kama dunia kwako imejaa Mateso kwanini isiwe Lawama kwao? Hivi kwanza uliwaomba hao wazazi wakuzae?
Mi naona hakuna haja ya kushukuru mzazi yoyote katika hili. Kwasababu hamkukubaliana kukuleta duniani, walifanya kwa malengo yao, hivyo wao ndio walipaswa kukunyenyekea kukuleta huku.
Maisha hayana maana yoyote ile kwani mwisho wa siku kuna kufa, baada ya kufa kila ulichokifanya hakina maana tena kwako.
Nakumbuka hili swali nilishawahi kuulizwa na mwalimu wangu wa somo la philosophy enzi hizo niko form six...by that time sikuweza hata kuelewa !What is the purpose of life?[emoji17] ....Can somebody help me on this please![emoji30]
Maisha chanya ni yapi na maisha hasi ni yapi?Kuzaliwa kuishi na kufa iyo nikanuni ya maisha(principal of natural life).Sasa umuhim wako utategemea nawewe mwenyewe umetumiaje maisha yako ukiwa hai.Kwaiyo kama unamaisha chanya dunian lazima ushukuru nakuwaheshim wazaz kwakukubali kubeba jukum lakukamilisha nature iliyowachagua uzaliwe kupitia wao.Iyo tu inatosha kushukuru.Ila kama maisha yako ni bure lazima uone hakuna maana kuapo dunian kwaiyo hutakua nasababu yakushukuru wazazi wako.Swala lakufa ilo bado nimatakwa ya nature na hatuna mamlaka nalo ivyo iyo sio sababu yakufanya uone maisha ni meaningless.
Swali lingine: Kwanini watu wanaogopa kufa?Huwa nashangaa kweli watu tukishukuru Wazazi hasa Mama eti kwa kukuleta duniani.
Kuna kipi hasa cha maana huku duniani mpaka uwashukuru hao wazazi?
Yani tumetengeneza kitu kwamba huko ulikokuwepo hapakuwa sehem nzuri kuliko dunian.
Kama dunia kwako imejaa Mateso kwanini isiwe Lawama kwao? Hivi kwanza uliwaomba hao wazazi wakuzae?
Mi naona hakuna haja ya kushukuru mzazi yoyote katika hili. Kwasababu hamkukubaliana kukuleta duniani, walifanya kwa malengo yao, hivyo wao ndio walipaswa kukunyenyekea kukuleta huku.
Maisha hayana maana yoyote ile kwani mwisho wa siku kuna kufa, baada ya kufa kila ulichokifanya hakina maana tena kwako.