Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,385
Mada yako ni nzuri sana.Nakumbuka wakati nipo f6 tulikuwa tunazungumzia swala la ungependa kuzaa watoto wangapi'Mi nikawaambia wawili tu wakaniuliza kwenu mpo wangapi nikawajibu 3 wakasema kama wazazi wako nao wangezaa 2 wewe ungekuwepo daah' niliwashangaa sana maana mi nilitamani nisingezaliwa coz dunia yenyewe sijaielewa bado