BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Acha ujinga toa hoja ueleweke! Unaijua laana wewe?Unalaana kaka ujasoma maandiko vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga toa hoja ueleweke! Unaijua laana wewe?Unalaana kaka ujasoma maandiko vizuri
Hizi stress zako tuu mkuu!
Probability of being you was 1 out 1.2 bilions number of sperm cells in a single ejaculation..
Unfortunately it happened to be you! Then why would you need to complain on the innocent parents?
I guess you are wrong..
Out 40 million to 1.2B sperms.. moja au mbili ndizo zinazofanikiwa kutunga mimba au zero. Idadi ya mbegu zilizopotea ni nyingi kuliko maelezo... hapa ndio utaona tumezaliwa by chance lakin haupaswi kuleta upupu huu.Huwa nashangaa kweli watu tukishukuru Wazazi hasa Mama eti kwa kukuleta duniani.
Kuna kipi hasa cha maana huku duniani mpaka uwashukuru hao wazazi?
Yani tumetengeneza kitu kwamba huko ulikokuwepo hapakuwa sehem nzuri kuliko dunian.
Kama dunia kwako imejaa Mateso kwanini isiwe Lawama kwao? Hivi kwanza uliwaomba hao wazazi wakuzae?
Mi naona hakuna haja ya kushukuru mzazi yoyote katika hili. Kwasababu hamkukubaliana kukuleta duniani, walifanya kwa malengo yao, hivyo wao ndio walipaswa kukunyenyekea kukuleta huku.
Maisha hayana maana yoyote ile kwani mwisho wa siku kuna kufa, baada ya kufa kila ulichokifanya hakina maana tena kwako.
Tell them Max!Out 40 million to 1.2B sperms.. moja au mbili ndizo zinazofanikiwa kutunga mimba au zero. Idadi ya mbegu zilizopotea ni nyingi kuliko maelezo... hapa ndio utaona tumezaliwa by chance lakin haupaswi kuleta upupu huu.
Hiki kitu hakuna muamuzi! Kila mmoja mmoja ana vital power ya kumua! Its something with mutual agreementIla nina kaswali , ni kati ya baba na mama, ni nani mwenye huchukua maamuzi ya kwanza kuutengeneza/kuanzisha uhai/kiumbe duniani?
Yaani nani anayefanya maamuzi/tendo la kwanza kabisa ?
Kama tendo huanza na FIKRA, basi ni nani mwanzilishi wa mradi(uumbaji/uzalishaji/uhai)?
Ila asilimia kubwa ni maisha magumu. Ila mama ni mtu muhimu wala sio wa kumhukumu tatizo ni baba ndo wanaongoza kwa kuwasaliti watoto wao na kumuachia mama mzigo mzito wa majukumu ndo hard life linazidiNdugu siyo watu wote waliopitia katika maisha magumu. Vile vile hata yule mwenye maisha magumu siyo wakati wote alikuwa na maisha magumu , wakati mwingne anakuwa na furah na kutamani kitu kisimalizike kwisha. Kwa nini usishukuru wazazi Kwa vitu hivyo.
Ambao bado hawajazaliwa wapo kwenye kiuno chako waulizeNimeitathimini hii mada kwa mda na umakini...... Kwakweli ni Mada Nzito.
Kukoment kwahitaji walau hao waliokataa kuzaliwa wachangie tupate ya upande wao then kieleweke...[emoji16] [emoji16] [emoji35] [emoji35]
We shekh majini yanatokea wapi tena kwenye huu uziAllah anasema hakuwaumba watu na majini isipokuwa wamuabudu tu,maisha ya dunia ni upuuzi mtupu hoja ya kuwashukuru wazazi ni muhimu bcoz wangelitaka wangekutoa ukiwa mimba,
Maisha chanya ni endapo umezaliwa kua majibu ya maswali ya watu wengine na hasi ni kinyume chake.Maisha chanya ni yapi na maisha hasi ni yapi?
Basi sawaaaa wacha niwatoe then watakuja kuchangia[emoji1]Ambao bado hawajazaliwa wapo kwenye kiuno chako waulize
1- Mimi ni ROHO, mwenye nafsi ninaekaa kwenye nyumba iitwayo mwili. (Mimi sii huu mwili, bali ninakaa ndani ya huu mwili).Hebu jibu hayo maswali Ili utuonyeshe kuwa maisha Ni meaningful
Kwani uliwaomba? Ingekuwa uliandika barua ya maombi hapo sawa.
Kubeba mimba si ilikuwa mipango yao?
Sasa kabla ya kua roho ulikua nn na kama ni roho basi ukifa unarudi kua roho1- Mimi ni ROHO, mwenye nafsi ninaekaa kwenye nyumba iitwayo mwili. (Mimi sii huu mwili, bali ninakaa ndani ya huu mwili).
2- Nipo duniani kwa ajili ya kumtumikia Mungu( kwa KUSUDI la Mungu); mengine ni ziada tu. Mungu amenileta duniani ili uwepo wangu duniani uuathiri dunia yaani watu wapate kumjua Mungu kupitia Mimi.
3-Baada ya maisha haya, ni kuishi na Mungu milele - na huu ndio uitwao UZIMA WA MILELE.
Sijui wewe mwenzangu kama uko kama Mimi?
Jitaidi usiwe na watoto ili uwe muarobaini wa matatizo yaliyo/yanayokupata kwa kuzaliwa bila kumtuma mtu akuzae kwa hiyo unajuta kuzaliwa na hivyo usiwazae wengine kwa sababu hawajakutuma au sio mjomba?
Mimi sifi, ila kuna siku nitaondoka kwa kutoka katika huu mwili ambapo watu watasema nimekufa; ila ukweli ni kuwa nitakuwa nimeenda kukaa na babaangu wa mbinguni milele na milele.Sasa kabla ya kua roho ulikua nn na kama ni roho basi ukifa unarudi kua roho
Hamnaga probability kwenye sperm count kwa kuwa hata kama ingeingia nyengine still ungekuwa ww 2Hizi stress zako tuu mkuu!
Probability of being you was 1 out 1.2 bilions number of sperm cells in a single ejaculation..
Unfortunately it happened to be you! Then why would you need to complain on the innocent parents?
I guess you are wrong..
Huko wap kwa mfano?Mm bado naona dunia sio sehem sahihi ya mm kuja. Bora ningeachwa huko