Kwa muktadha wa mleta mada, kifo ni hali ya roho kuuacha mwili wa nyama (kuuvua mwili)- cease to exist in physical body on earth! Sasa sijui kama mleta mada anaelewa vile unavyoelewa!
Otherwise, I understand and concur with you that [Mwanaadam hafi kama anavyokufa mbuzi ni mapitio tu . Mwanadamu hupitia vituo vitatu, kwanza tumboni kwa mama yake, kuzaliwa na kuishi, kufa na kufufuliwa. Hii ni kwa sisi tunaomuamini Mungu, kifupi ni kwamba binaadamu hafi kwa maana ya kupotea kabisa baada ya uwepo wake duniani]