Duniani kuna kipi cha maana mpaka ushukuru wazazi kukuleta?


Unaonaje ukirudi ulikotoka? Kama haiwezekani basi hata wao walishindwa kuzuia uwepo wako. Nao wapo kwa style hiyo hiyo yako.

Shukrani wanapaswa kupewa kwa matunzo yaani kukufanya u-survive. Ila shida nyingine za duniaini zinaletwa na mpangilio wa maisha mfano kama public policy ni mbovu, poverty juu, then maisha magumu na wengine kukimbilia kwenye maisha magumu.

Mengine yapo juu ya uwezo wao na pia wewe inabidi upigane na kutumia fursa vizuri mara zinapojitokeza.
 
Hamnaga probability kwenye sperm count kwa kuwa hata kama ingeingia nyengine still ungekuwa ww 2

Sio kweli otherwise ingekuwepo moja tu na ukizingatia principle of genetic engineering.
 
Sasa kama hutaki shida si ndio maana kuna option ya kujinyonga au kunywa sumu ufe ili shida ziishe.
 
Sio kweli otherwise ingekuwepo moja tu na ukizingatia principle of genetic engineering.
Swali dogo 2 hivi kabla ya sperm ambayo imekutengeneza ww ku fuse na ova kwan ilijulikana kwamba ni ww ambaye ndo ungezaliwa? Jibu ni hapana kwa kuwa hakuna m2 anaweza tabiri future na kabla ya ww kutengenezwa kila sperm yenye kigezo ilikuwa ni ww either x or y tofauti ingekuwa ni sex 2 lakin still ungekuwa ww
 

Mimi ninatumia principle ya genetic engineering/ design kuwa different sperms na ovaries vina different specific information. Situmii probability ya nani atatokea ambayo inakuwa-defeated na hii principle ya genetic design.
 
Mimi ninatumia principle ya genetic engineering/ design kuwa different sperms na ovaries vina different specific information. Situmii probability ya nani atatokea ambayo inakuwa-defeated na hii principle ya genetic design.
Mi ninavyojua info zinazobebwa na sperm cells na ova hua ni zinatoka half ya zile za muhusika kwa kutumia genetic engineer yako ni kuwa tunabeba 46 cromosomes devide by 2 unapata 23 ambazo 21 zinatake place kwenye ( somatic cells) na 2 ni reproductive .sasa turudi kwenye info yako hapo kwenye hizo mbili zitajigawa through meiosis kutengeneza sperms nyingi 2 ila nazidi kukazia ktk hizo nyingi yyte ile itakayo ingia it still utaformiwa you kwa hiyo hapo chance ni 1:1 mkuu
 
Mimi sifi, ila kuna siku nitaondoka kwa kutoka katika huu mwili ambapo watu watasema nimekufa; ila ukweli ni kuwa nitakuwa nimeenda kukaa na babaangu wa mbinguni milele na milele.
Hapa umeandika non sense
 

Je, kundi la sperms karibu milioni 3 linabeba bits za information zilizofanana 100%?
 
Je, kundi la sperms karibu milioni 3 linabeba bits za information zilizofanana 100%?
Yes indeed!!!! Na ndo maaana mtt hufanana internal na external characters na wazee wake[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
 
"Ewe binadam dunia yangu ina muda malaamu kisha nitawarudisha kwangu kwa ajili ya hisabu" kila nafsi italipwa kwa ilichochuma"kila mmoja ni mchunga na kila mmoja ataulizwa alichochunga"kila nafsi itaonja umauti". Hizo ni badhii ya nukuu za quran kuhusu maisha ya dunia. Pia mtume mohamadi/saw/alisema sisi ni wasafiri.
Mimi nikifikiria kuwa ipo siku nitakufa yan sitaweza kula kutembea kucheka nk eti watu watanikimbia ndugu, marafiki, mke, watoto huwa nalia sana. Alafu najiuiza ukifa unacha maisha yanaendelea kibaya zaidi hujui unaenda wapi pia kama kufufuliwa hujui lini. Najiuliza eti hapa tunapoishi kuna watu waliishi miaka mingi sana iliyopita. Maisha ni mtihani from Allah
 

umefikiri vizuri mkuu
ukifika point hiyo ya kufikiri at least utakuwa umeishi
but we need to know why are we here without being told by others or books
 
Yes indeed!!!! Na ndo maaana mtt hufanana internal na external characters na wazee wake[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]

sio maswali yote ya research ni doable, hivyo huwezi kufanya probability kwa lengo la predicition kwa sababu huna namna ya kupata data kwa technolojia ya sasa. Pia, sasa mbona kuna X na Y chromosomes, na hata shape zake ni tofauti kidogo. Nashukuru kwa mazungumzo na naishia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…