Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaaaNgoja wachawi waje!!
Very good...Huo ni uchafu tu, mikwara ya kishirikina, hakuna cha kuweza kukudhuru ikiwa hutaweka hofu yoyote na huo uchafu.
Chukua mafuta taa na kiberiti vichome moto kisha endelea na maisha yako.
Komodo si komondo sijui linini hilo?!Duniani wachawi wanatutesa sana hii kitu tumeifukua nyumbani kwangu inasikitisha sana View attachment 2337247View attachment 2337248
Hofu tuu yake!Hivi vitu kweli vipo, M/Mungu anathibitisha hayo ktk haya zake mbalimbali, kama vile surat An naas. Yote kwa yote kwa kupitia kinga kwa kumtumaini ALLAH, waweza kuishinda mitihani yao. Ila najiuliza nawe umewezaje kugundua hicho!?
Na mimi naona hivyo. Hapo mganga atakuwa alikuja kulichimbia hapo siku mbili kabla ya kaziHuo Ni uhuni Kama uhuni mwengine, Kama ulileta mtu kuja kuagua familia yako Basi jua kakufanyia uhuni,
HakikaMshike Yesu ndo kiboko ya hao wahuni
Akikujibu nitagHivi vitu kweli vipo, M/Mungu anathibitisha hayo ktk haya zake mbalimbali, kama vile surat An naas. Yote kwa yote kwa kupitia kinga kwa kumtumaini ALLAH, waweza kuishinda mitihani yao. Ila najiuliza nawe umewezaje kugundua hicho!?
Mkuu usisumbuke, ukiona mtu anasema uchawi haupo maana yake hata Mungu anasema hayupoHivi vitu kweli vipo, M/Mungu anathibitisha hayo ktk haya zake mbalimbali, kama vile surat An naas. Yote kwa yote kwa kupitia kinga kwa kumtumaini ALLAH, waweza kuishinda mitihani yao. Ila najiuliza nawe umewezaje kugundua hicho!?
Nguvu wanazotumia wachawi katika kudidimiza maendeleo ya wengine wangetumia kupambania maisha yao wangekua mbali sanaDuniani wachawi wanatutesa sana hii kitu tumeifukua nyumbani kwangu inasikitisha sana View attachment 2337247View attachment 2337248