Duniani wachawi wanatutesa sana hii kitu tumeifukua nyumbani kwangu inasikitisha

mborolo

Member
Joined
Jul 6, 2022
Posts
51
Reaction score
40
Duniani wachawi wanatutesa sana hii kitu tumeifukua nyumbani kwangu inasikitisha sana .

20220827_181025.jpg
20220827_181020.jpg
 
Hivi vitu kweli vipo, M/Mungu anathibitisha hayo ktk haya zake mbalimbali, kama vile surat An naas. Yote kwa yote kwa kupitia kinga kwa kumtumaini ALLAH, waweza kuishinda mitihani yao. Ila najiuliza nawe umewezaje kugundua hicho!?
Akikujibu nitag
 
Mkuu usisumbuke, ukiona mtu anasema uchawi haupo maana yake hata Mungu anasema hayupo
 
Back
Top Bottom