Duniani wachawi wanatutesa sana hii kitu tumeifukua nyumbani kwangu inasikitisha

Hivi vitu kweli vipo, M/Mungu anathibitisha hayo ktk haya zake mbalimbali, kama vile surat An naas. Yote kwa yote kwa kupitia kinga kwa kumtumaini ALLAH, waweza kuishinda mitihani yao. Ila najiuliza nawe umewezaje kugundua hicho!?
Akikujibu nitag
 
Mkuu usisumbuke, ukiona mtu anasema uchawi haupo maana yake hata Mungu anasema hayupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…