Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
- Thread starter
-
- #321
Unanikumbusha mdada fulani hivi ye alikua akija geto mkilianzisha tu ni kelele mwanzo mwisho. So inabidi uneutralize kelele hizo kwa kuongeza sauti ya redio. Alikua ana cd collection yake ya Celine deon. Sasa kasheshe ni pale wimbo unapoisha ili uje mwengine. wajikuta nawewe unavizia una sloo down ukianza wimbo mwengine nawewe waanza kuongeza spidi. Hah!
Wimbo wa Taifahabari zenu wana jukwaa...! Leo tuone wengi wetu wanapendelea nini inapokuja suala la kupelekana katika ulimwengu wa mahaba! Nyimbo mbali mbali za slow jams zimekuwa kivutio kikubwa sana kama ingredient ya kufanya tendo hili kuwa more and more romantic ili kuleta ashki za kimahaba kati ya wapendanao! Je, unapendelea wimbo gani hasa wa kimahaba, ambao ukiwa na mpenzi wako faragha, huwa unakupeleka katika dunia ya hisia na kukufanya ujisikie mwingine kabisa?? Karibuni....! excel loves..how am i supposed to live without you.. On bed lakini!!
wimbo wa taifa
I can be your heroe baby...
I can kiss away the pains...
I will stand by you forever...
You can take my breath away......
Heroe-Enrique Iglesias
Yaani huwa siishiwi hamu!
Mi napenda kulala kifuan tu ndio naenjoy lol
Umeona eeeee?
Kamlebalongo kwiza kole nkima one mwinwa masangu mong'wela na mihayo! Mabhula ele na nkima onge kah mlebalongo koleng'wamba!
Cc mwallu
Mkuu umetisha, huu sishuki hadi asubuhi, unahamasisha. Nitakugongea likemkuu sasa nikupe upi?
ngoja nione huu kama utamsisimua mpenzi wako!
Mkuu umetisha, huu sishuki hadi asubuhi, unahamasisha. Nitakugongea like