Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Za ndani kabisa huenda Mzaramo akatoswa kwa sababu chawa wanamwaminisha mama eti haaminiki na ni muumini wa kundi la mwendazake hivyo wanahisi huenda atatoboa mtumbwi wenye nyingi siri ndani ya Baraza la Mawaziri.
Inasemekana mabadiriko yale yangeshafanyika tokea wiki jana lakini mtego aliokuwa ametegewa Mzaramo ili anase na atoswe,aliuruka.
Inasemekana mabadiriko yale yangeshafanyika tokea wiki jana lakini mtego aliokuwa ametegewa Mzaramo ili anase na atoswe,aliuruka.