Tetesi: Duru: Shamsi Vuai Nahodha kuteuliwa awe Waziri anayeshughulikia Muungano

Za ndani kabisa huenda Mzaramo akatoswa kwa sababu chawa wanamwaminisha mama eti haaminiki na ni muumini wa kundi la mwendazake hivyo wanahisi huenda atatoboa mtumbwi wenye nyingi siri ndani ya Baraza la Mawaziri.

Inasemekana mabadiriko yale yangeshafanyika tokea wiki jana lakini mtego aliokuwa ametegewa Mzaramo ili anase na atoswe,aliuruka.
MZARAMO ndio Alitoa Jina la Stendi ya Mabasi Mbezi ili Mwendazake ampende zaidi

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ajabu sana. Halafu anakubali kuwa mbunge wa kawaida na waziri wa kawaida. Uwaziri wa mwisho alijiuzulu wakati wa sakata na opereshen tokomeza.
... kuna wazee fulani nchi hii nje ya mfumo wa serikali na kiutumishi hawawezi kabisa kuishi! Wamekuwa serikalini miaka na miaka na ni lazima waendelee kuwa humo hadi wafie humo. Bila kulipwa mishahara na posho na serikali kwao hakuna maisha; hao ndio wale wanaoamini bila wao hakuna Tanzania; yaani Tanzania ni wao hivyo ni lazima waendelee kuwemo kwenye mfumo ili Tanzania iwepo kwa kuwa wao ndio mhimili ulioishikilia Tanzania.
 
Za ndani kabisa huenda Mzaramo akatoswa kwa sababu chawa wanamwaminisha mama eti haaminiki na ni muumini wa kundi la mwendazake hivyo wanahisi huenda atatoboa mtumbwi wenye nyingi siri ndani ya Baraza la Mawaziri.

Inasemekana mabadiriko yale yangeshafanyika tokea wiki jana lakini mtego aliokuwa ametegewa Mzaramo ili anase na atoswe,aliuruka.
Aondolewe tu haraka huyu alikuwa chawa sugu wa mwendazake nandiye aliyeleta masuala ya nyungu.....
 
Za ndani kabisa huenda Mzaramo akatoswa kwa sababu chawa wanamwaminisha mama eti haaminiki na ni muumini wa kundi la mwendazake hivyo wanahisi huenda atatoboa mtumbwi wenye nyingi siri ndani ya Baraza la Mawaziri.

Inasemekana mabadiriko yale yangeshafanyika tokea wiki jana lakini mtego aliokuwa ametegewa Mzaramo ili anase na atoswe,aliuruka.
Duh,kumbe mpaka kuna kutegana...?
 
Hawa akina jafo sio kwamba walikuwa wanamkubali saaana magufuli hapana,just ni kwenda na upepo kama ambavyo mama nae aliweza kwenda na upepo wake
Kama ambavyo wa sasa pia wameamua kwenda na mama?
 
Namkumbuka huyu waziri wangu alivyokaa new Africa hotel bila kujali gharama Kwa bill ya over 220 millions, akiwa waziri WA Mambo ya ndani
 
Kama ambavyo wa sasa pia wameamua kwenda na mama?
Haswaa mkuu hawa wanaoenda na mamamsasa hivi sio kwamba wanampeenda hapana bali ni kwa sababu mama hawabani maslahi yao
 
Jafo atoswe tu aliharibu sana uchaguzi wa serikali za mitaa kwa maelekezo ya dhalimu jiwe
 
Ila MZEE MWINYI AMETUWEZA SANA yaan anatawala bara had visiwan nilikuwa namuona mburura TU kimbe mzee alikuwa smart Sana ameweza kuzicheza karata zake vizuri Sana

Hussein ,2025 atatoka kisiwandui kuja kugombea chamwino halafu saI00 atatoka chamwino kwenda kugombea kisiwandui hawa tunao had 2035

Ali umetuweza kwakwel.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Mzaramo ni Pro Jiwe ivo mpaka muda huu kuwa ulingoni inashangaza
 
Ila MZEE MWINYI AMETUWEZA SANA yaan anatawala bara had visiwan nilikuwa namuona mburura TU kimbe mzee alikuwa smart Sana ameweza kuzicheza karata zake vizuri Sana

Hussein ,2025 atatoka kisiwandui kuja kugombea chamwino halafu saI00 atatoka chamwino kwenda kugombea kisiwandui hawa tunao had 2035

Ali umetuweza kwakwel.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mzee unaota wewe
 
Back
Top Bottom