Burito nyanza
Senior Member
- Jan 2, 2021
- 135
- 115
Wewe unaishi wapi Hadi usijue kama Nahodha vuai ni mbunge nchi hii ni kubwa kumbe.Vuai ni mbunge wa bunge lipi? Hata nafasi 10 za ubunge wa Bure zimejaa labda achukue nafasi ya Polepole a.k.a mzee wa Malawi.