Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Unaishi dunia ipi na wakati kateuliwa kujaza nafasi ya Polepole na weweVuai ni mbunge wa bunge lipi? Hata nafasi 10 za ubunge wa Bure zimejaa labda achukue nafasi ya Polepole a.k.a mzee wa Malawi.
Huna habari kuwa aliteuliwa ubungeVuai ni mbunge wa bunge lipi? Hata nafasi 10 za ubunge wa Bure zimejaa labda achukue nafasi ya Polepole a.k.a mzee wa Malawi.
JafoKwani waziri wa muungano ni nani kwa sasa!!?nimekumbuka ni jafo!!!ngoja tuone!!
Achukuwe mara ngapi?Vuai ni mbunge wa bunge lipi? Hata nafasi 10 za ubunge wa Bure zimejaa labda achukue nafasi ya Polepole a.k.a mzee wa Malawi.
Achana nayeUnaishi dunia ipi na wakati kateuliwa kujaza nafasi ya Polepole na wewe
Wizara inagawanywa?Za ndani kabisa huenda Mzaramo akatoswa kwa sababu chawa wanamwaminisha mama eti haaminiki na ni muumini wa kundi la mwendazake hivyo wanahisi huenda atatoboa mtumbwi wenye nyingi siri ndani ya Baraza la Mawaziri.
Inasemekana mabadiriko yale yangeshafanyika tokea wiki jana lakini mtego aliokuwa ametegewa Mzaramo ili anase na atoswe,aliuruka.
Yuko bungeni kitambo kaziba ya Mr. SlowslowVuai ni mbunge wa bunge lipi? Hata nafasi 10 za ubunge wa Bure zimejaa labda achukue nafasi ya Polepole a.k.a mzee wa Malawi.
Hatari snAchana naye
Tena for 10 yrs.... sura zilezile hadi inakera. Mtu ameshakuwa hadi Waziri Kiongozi (kwa wale akina Gen.Z na Gen.Alpha hiki cheo ni equivalent to PM kwa upande wa Zanzibar kabla ya Katiba yao mpya) ana nini kipya kitakachoipeleka nchi mbele kwa nafasi ya uwaziri?
Upo sahihiTena for 10 yrs.
Ajabu sana. Halafu anakubali kuwa mbunge wa kawaida na waziri wa kawaida. Uwaziri wa mwisho alijiuzulu wakati wa sakata na opereshen tokomeza.... sura zilezile hadi inakera. Mtu ameshakuwa hadi Waziri Kiongozi (kwa wale akina Gen.Z na Gen.Alpha hiki cheo ni equivalent to PM kwa upande wa Zanzibar kabla ya Katiba yao mpya) ana nini kipya kitakachoipeleka nchi mbele kwa nafasi ya uwaziri?