Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
MZARAMO ndio Alitoa Jina la Stendi ya Mabasi Mbezi ili Mwendazake ampende zaidiZa ndani kabisa huenda Mzaramo akatoswa kwa sababu chawa wanamwaminisha mama eti haaminiki na ni muumini wa kundi la mwendazake hivyo wanahisi huenda atatoboa mtumbwi wenye nyingi siri ndani ya Baraza la Mawaziri.
Inasemekana mabadiriko yale yangeshafanyika tokea wiki jana lakini mtego aliokuwa ametegewa Mzaramo ili anase na atoswe,aliuruka.
Hata akitolewa itakuwa ni ku shift tu...hatoachwa... Tupo wote hapa tutaonaMZARAMO ndio Alitoa Jina la Stendi ya Mabasi Mbezi ili Mwendazake ampende zaidi
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Hawa akina jafo sio kwamba walikuwa wanamkubali saaana magufuli hapana,just ni kwenda na upepo kama ambavyo mama nae aliweza kwenda na upepo wakeMZARAMO ndio Alitoa Jina la Stendi ya Mabasi Mbezi ili Mwendazake ampende zaidi
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Chief Itabidi ajaze wazenj watupu kwenye cabinet yake!! Kwani bunge 99% ni watu wa Magufuli!! Kasoro hao chawa wakeSuala la muda ...Jafo must go...
... kuna wazee fulani nchi hii nje ya mfumo wa serikali na kiutumishi hawawezi kabisa kuishi! Wamekuwa serikalini miaka na miaka na ni lazima waendelee kuwa humo hadi wafie humo. Bila kulipwa mishahara na posho na serikali kwao hakuna maisha; hao ndio wale wanaoamini bila wao hakuna Tanzania; yaani Tanzania ni wao hivyo ni lazima waendelee kuwemo kwenye mfumo ili Tanzania iwepo kwa kuwa wao ndio mhimili ulioishikilia Tanzania.Ajabu sana. Halafu anakubali kuwa mbunge wa kawaida na waziri wa kawaida. Uwaziri wa mwisho alijiuzulu wakati wa sakata na opereshen tokomeza.
Aondolewe tu haraka huyu alikuwa chawa sugu wa mwendazake nandiye aliyeleta masuala ya nyungu.....Za ndani kabisa huenda Mzaramo akatoswa kwa sababu chawa wanamwaminisha mama eti haaminiki na ni muumini wa kundi la mwendazake hivyo wanahisi huenda atatoboa mtumbwi wenye nyingi siri ndani ya Baraza la Mawaziri.
Inasemekana mabadiriko yale yangeshafanyika tokea wiki jana lakini mtego aliokuwa ametegewa Mzaramo ili anase na atoswe,aliuruka.
Duh,kumbe mpaka kuna kutegana...?Za ndani kabisa huenda Mzaramo akatoswa kwa sababu chawa wanamwaminisha mama eti haaminiki na ni muumini wa kundi la mwendazake hivyo wanahisi huenda atatoboa mtumbwi wenye nyingi siri ndani ya Baraza la Mawaziri.
Inasemekana mabadiriko yale yangeshafanyika tokea wiki jana lakini mtego aliokuwa ametegewa Mzaramo ili anase na atoswe,aliuruka.
Jafo arudi hapa kisarawe tusaidizane kukata vitunguu na nyanya na Dc shombe shombe
Kama ambavyo wa sasa pia wameamua kwenda na mama?Hawa akina jafo sio kwamba walikuwa wanamkubali saaana magufuli hapana,just ni kwenda na upepo kama ambavyo mama nae aliweza kwenda na upepo wake
Nataka nimjue aliyetoa jina la SOKO KUU LA JOB NDUGAI Dodoma!MZARAMO ndio Alitoa Jina la Stendi ya Mabasi Mbezi ili Mwendazake ampende zaidi
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Haswaa mkuu hawa wanaoenda na mamamsasa hivi sio kwamba wanampeenda hapana bali ni kwa sababu mama hawabani maslahi yaoKama ambavyo wa sasa pia wameamua kwenda na mama?
Haswaa mkuu hawa wanaoenda na mamamsasa hivi sio kwamba wanampeenda hapana bali ni kwa sababu mama hawabani maslahi yaoKama ambavyo wa sasa pia wameamua kwenda na mama?
😅upo sayari ya mars auVuai ni mbunge wa bunge lipi? Hata nafasi 10 za ubunge wa Bure zimejaa labda achukue nafasi ya Polepole a.k.a mzee wa Malawi.
Mzee unaota weweIla MZEE MWINYI AMETUWEZA SANA yaan anatawala bara had visiwan nilikuwa namuona mburura TU kimbe mzee alikuwa smart Sana ameweza kuzicheza karata zake vizuri Sana
Hussein ,2025 atatoka kisiwandui kuja kugombea chamwino halafu saI00 atatoka chamwino kwenda kugombea kisiwandui hawa tunao had 2035
Ali umetuweza kwakwel.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app