Tetesi: Duru: Shamsi Vuai Nahodha kuteuliwa awe Waziri anayeshughulikia Muungano

Vuai ni mbunge wa bunge lipi? Hata nafasi 10 za ubunge wa Bure zimejaa labda achukue nafasi ya Polepole a.k.a mzee wa Malawi.
Wewe unaishi wapi Hadi usijue kama Nahodha vuai ni mbunge nchi hii ni kubwa kumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…