Duru za siasa: Bunge la Katiba, upotoshaji na kiwewe cha kuzinduka Tanganyika

Definitely hoja ya pili.
Ibara ya 133 ya katiba inaelekeza serikali Mbili zilizopo kuchangia gharama za muungano, Zanzibar kwa miaka zaidi ya 20 sasa haichangii moja kwa moja Bali kupitia Mapato ya muungano of which kimsingi ni Mapato ya Tanganyika.

Mwisho wazanzibari wanasahau Kwamba masuala ya misaada na mikopo haipo Katika katiba ya jmt, hivyo hayatambuliki kisheria. Sasa Kujadili Kwamba JFC Ipo kwa Mujibu wa Sheria (which is correct) lakini hapo hapo kusingizia suala la mikopo na misaada kwa znZ Kama kikwazo cha JFC kutekeleza majukumu yake ya kikatiba Wakati masuala ya fedha za nje (mikopo na misaada) sio masuala ya muungano, lakini pia hayapo kisheria ni kukosa umakini wa hoja
Mkuu, hoja ya misaada na mikopo ni ya ajabu sana.
Hivi znz wanaweza kujivunia mikopo? Kwa uchumi wa Bilioni 400, wakiwa hawana assets, wanataraji nje ya muungano wangeweza kukopa kiasi gani.

Ukweli wasioukubali ni kuwa katika asilimia 88 ya dhamana ya mikopo ya znz, hakuna senti tano inayoingia katika muungano. Wakati huo huo, mikopo ya Tanganyika inaingia katika JMT na wao kunufuaika bila strings attached. Huu ni ukweli ambao hawautaki.
ZNZ haina deni la ndani hata siku moja. Deni hilo linabebwa na Mtanganyika

Ukweli mwingine ni kuwa kwa uchumi wa bilioni 400, nje ya muungano hiki ni kisiwa kinachoweza kununulika.
Hiyo misaada wataipata sana, lakini mwisho wa siku watapigwa bei. Huo ni ukweli wasioutaka kuusikia.

Hili la JFC ni hoja ya kitoto sana. Huwezi kuwa na account ya pamoja ukiwa na uchumi wa trilioni 10 mwenzako akiwa na bilioni 400. Hata kama tutasema account hiyo ichangiwe kwa 1/8 znz na 7/8 bado znz ni tatizo.
Mishahara tu kwa mujibu wa waziri wao wa fedha inachukua nusu ya bajeti. Kipi walichobaki nacho cha kuchangia account ya pamoja ya JFC?

Suala la misaada ni la kipuuzi na ni wapuuzi tu wanaoweza kujivunia hilo.
Account ya pamoja kama inaendeshwa kwa misaada, hii maana yake misaada ikishindwa kupatikana basi hakuna account hiyo.
Kwamba, wznz mchango wao katika account ya pamoja ni misaada na mikopo. Kwamba, wana hesabu ndege aliyeko mtini kama mali yao. Katika mlo wao, hawafikirii kutafuta bali ndege walioko mtini ni assets zao. Wenzetu hao!

Ni kituko na ukosefu wa fikra kudhani kuwa ni fahari kukopa IMF kuliko kupewa bure.
Kwamba, wznz wanajivunia sana misaada na mikopo kutoka washington na Paris Club.
Huu kama si ukoloni wa akili ni wendawazimu.

Nilidhani nchi za Afrika zilitakiwa ziondokane na minyororo ya misaada, kumbe kuna watu wanaamini misaada na mikopo ni jambo muhimu sana kwa ustawi wao achilia mbali ustawi wa muungano.

Kwa upande mwingine, jambo hili la muungano limetokea mahali pazuri.
Watanganyika wengi hawakuwa na fahamu kusuhu namna walivyobeba mzigo,uzito na ugumu wa mzigo huo.

Leo lazima Watanganyika watafute fiscal autonomy ya kuamua mambo yao zaidi ya kuwa na account ya pamoja.
Account ya pamoja ni kuendelea kuhalialisha mzigo. Hawa watu wasioweza kulipa bili ndogo ya umeme, wanawezaje kuchangia account hiyo. Account ya pamoja ni ujinga, huwezi kuchukua rasilimali za Mtanganyika ukaziweka katika account na kudai ni zetu na znz. Narudia tena kwa bilioni 400, znz itachangia nini yarabi, japo ijenge barabara moja tu

Ukiangalia kwa undani, mbali ya ardhi na watu, kifedha makusanyo ya kodi za Kariakoo ni makubwa kuliko SMZ.
Kwa mwaka mapato ya kariakoo ni zaidi ya bilioni 500, nyingi kuliko ya znz.
Nadhani SMZ ilitakiwa iwe na JFC na account ya pamoja na soko la kariakoo na si Tanganyika.

Hata kwa akili za kawaida tu, Ilala ni kubwa kicuhumi kuliko znz.
Leo wanasema eti JFC haifanyi kazi kwasababu Tanganyika inataka kuiba bilioni 400 za mwaka za Zanzaibar!!!

Matatizo yote yana suluhu moja, Tanganyika izinduke, iamue mipango yake na taratibu zake bila kushirikisha znz.
Znz nao wawe na mambo yao yasiyohusu ushirika na Tanganyika.
Hapo Tanganyika itajivua lawama za kitoto na znz itatafuta mshirika wa kuchangia bilioni 400 sawa sawa.

Watanganyika wanapaswa kuona kile wasichokiona kwa macho mawili. Mzee Mwanakijiji anakauli yake kuwa kupe hakusumbui akiwa mgongoni hadi ndigana itakapokuangusha.

Labda kwa Watanganyika, tuwaeleze kitu kimoja. Kama tuamua kuchangia mambo ya muungano japo kwa 1/8 znz na 7/8 Tanganyika, znz haitaweza kuendesha serikali ya muungano kwa wiki mbili tu. I mean bila kuondoa hata senti tano katika bilioni 400,znz haina uwezo wa kuendesha au kuchangia JMT.
Hawa ndio wanataka account ya pamoja! ni tatizo gani?

Hatuhitaji JFC na Zanzaibar kwasababu haina maana yoyote. Hatuwezi kuchukua kodi zetu tukazweka kwenye kapu ili kila mmoja aliyenawa na asiyenawa mikono achote. Huko ni kuwanajisi walipa kodi wa Tanganyika.
 
Barubaru , kuna wkati unachafua sana mijadala kwa hoja zako zisizolingana na usomi au umri. Tunakuomba tafadhali kama huna cha kujadili basi ukae kimya.

JFC tumekuambia inajadilika katika premise hizi, Mapato, matumizi, Mgawanyo.
Siku tatu hujaweza kusema chochote cha maana kama mchumi, badala yake unaleta trivial and useless story za watu 6 kusafiri kwenda south.

Kamuulize waziri Aboud na waziri wa fedha wa znz wapi nakisi ya BL350 inatoka. Kamuulize Lissu aliyeeleza fedha za bajeti zinatoka wapi. Kamuulize Pandu Kificho aliyezungumzia fedha za bajeti ya znz zinatoka wapi.

Katika mapato ya B400 gharama za ulinzi na usalama za znz ni zaidi ya nusu ya hizo. Hata siku moja hutasikia mznz akisema ulinzi na usalama pamoja na mambo ya ndani yasiwe ya muungano.

Kuna deni la ndani ambalo linabebwa na Tanganyika. Kumbuka SMZ mishahar tu inachukua zaidi ya nusu ya bajeti kulingana na waziri Mzee.

In short huna arguement za maana kama msomi kiwango cha Daktari. Please tunashukuru kwa mchango wako na tunakuomba usivuruge mijadala. Ahsante sana kwa mchango wako, tukikuhitaji tutakualika, kwasasa tunakushukuru sana

Nguruvi3 na Mchambuzi,

Moja ya tatizo lenu ni kutaka kujiwekea mipaka katika kujadili mambo na zaidi ni kujiona kuwa mupo sahihi kabisa bila kujua kuwa mnatakiwa muwe wepesi sana katika kujua mambo kwa upana wake.

Mimi nimefafanua kwa kina sana unaposema mapato yatakuwa ya aina ngapi nikabainisha moja ya vyanzo vya mapato kwa nchi yenu ni makusanyo ya ndani, Mikopo na misaada. Na upaozungumzia matumizi na mgawanyo hilo lipo wazi sana na hisabu zake zipo wazi ZIMEWEKWA KATIKA RIPOTI YA JFC YA 2006 KWA SERIKALI YA JMTz na nilishabainisha kuwa moja a athari zake ni KUANZISHWA KWA AKAUNTI YA PAMOJA NA KUSIMAMIWA NA KURATIBIWA NA JFC LAKIN PIA KATIKA NYANJA YA AJIRA NI ZNZ KUTENGEWA 21% KATIKA AJIRA ZA MUUNGANO. Sasa sijui niwasaidie nini.

Lakin kwa kuwa mumejikita tujadili mapato ya Znz MIMI NITAWASAIDIENI KITU KIMOJA HEBU PITIENI BAJETI YA SUK YA ZNZ YA 2014/2015 humu mutaona vimebainishwa vyanzo hivyo vyote na kukuelekeza kuwa wanakusudia kukusanya takriban 400 B. lakin matumizi yao ni takriban 700 B. hivyo wana mapungufu ya takriban 300 B ambazo zimeainishwa watazipata kupitia mikopo nafuu na misaada kutoka nchi wahisani.

The same to TGK ukipitia Bajeti kuu ya JMTz imeonyesha wazi njia zao za mapato yao na wakakadiria kuwa kwa mwaka huu wa fedhwa watakusanya around 11 Tr wakti matumizi yao ni around 18 Tr, hivyo wana mapungufu ya takriban 7 Tr. Na imeanishwa pasa hizo za kujazia bajeti watazipata kwa njia ya mikopo na misaada kutoka kwa wahisani.

Tatizo lenu kubwa kama nikiwasoma naona lipo hapa.

1. Mnashindwa kuainisha JE ZNZ INATAKIWA ICHANGIE KIASI GANI KATIKA MUUNGANO?
2. Mnashindwa kusema wazi TGK inachangia kiasi gani katika muungano?
3. Lakin pia mnashindwa kusema Znz achangie wapi na katika mfuko gani hizo pesa zake kwa huo muungano?.
4. Hamjasema TGK inachangia katika mfuko gani huo mchango wake wa muungano?
5. Ni nani anayedhibiti matumizi na mapato ya huo mfuko na kuhakikisha haki inatendeka katika mgao wao.

Kinyume chake mumebaki tu kuwa watu wa kunung'unika na kulalamika bila kuwa na DATA wala kujiweka wazi na mwisho kurusha tuhuma bila sababu za msingi.

Mimi siku zote nasema UCHUMI NI TAALUMA NA AIHITAJI NGUVU WALA JAZBA KATIKA KUJUA. ni just kujibidiisha kutafuta DATA ambazo ziko wazi kabisa. Na ukitaka kujua chanzo cha mapato na matumizi ya nchi yoyote duniani basi wewe pitia katika Bajeti za nchi hizo husika na humo kuna mengi mtajifunza kuliko kubaki kulalama.

nawapa pole

Mkuu, hoja ya misaada na mikopo ni ya ajabu sana.
Hivi znz wanaweza kujivunia mikopo? Kwa uchumi wa Bilioni 400, wakiwa hawana assets, wanataraji nje ya muungano wangeweza kukopa kiasi gani.

Ukweli wasioukubali ni kuwa katika asilimia 88 ya dhamana ya mikopo ya znz, hakuna senti tano inayoingia katika muungano. Wakati huo huo, mikopo ya Tanganyika inaingia katika JMT na wao kunufuaika bila strings attached. Huu ni ukweli ambao hawautaki.
ZNZ haina deni la ndani hata siku moja. Deni hilo linabebwa na Mtanganyika

Ukweli mwingine ni kuwa kwa uchumi wa bilioni 400, nje ya muungano hiki ni kisiwa kinachoweza kununulika.
Hiyo misaada wataipata sana, lakini mwisho wa siku watapigwa bei. Huo ni ukweli wasioutaka kuusikia.

Hili la JFC ni hoja ya kitoto sana. Huwezi kuwa na account ya pamoja ukiwa na uchumi wa trilioni 10 mwenzako akiwa na bilioni 400. Hata kama tutasema account hiyo ichangiwe kwa 1/8 znz na 7/8 bado znz ni tatizo.
Mishahara tu kwa mujibu wa waziri wao wa fedha inachukua nusu ya bajeti. Kipi walichobaki nacho cha kuchangia account ya pamoja ya JFC?

Suala la misaada ni la kipuuzi na ni wapuuzi tu wanaoweza kujivunia hilo.
Account ya pamoja kama inaendeshwa kwa misaada, hii maana yake misaada ikishindwa kupatikana basi hakuna account hiyo.
Kwamba, wznz mchango wao katika account ya pamoja ni misaada na mikopo. Kwamba, wana hesabu ndege aliyeko mtini kama mali yao. Katika mlo wao, hawafikirii kutafuta bali ndege walioko mtini ni assets zao. Wenzetu hao!

Ni kituko na ukosefu wa fikra kudhani kuwa ni fahari kukopa IMF kuliko kupewa bure.
Kwamba, wznz wanajivunia sana misaada na mikopo kutoka washington na Paris Club.
Huu kama si ukoloni wa akili ni wendawazimu.

Nilidhani nchi za Afrika zilitakiwa ziondokane na minyororo ya misaada, kumbe kuna watu wanaamini misaada na mikopo ni jambo muhimu sana kwa ustawi wao achilia mbali ustawi wa muungano.

Kwa upande mwingine, jambo hili la muungano limetokea mahali pazuri.
Watanganyika wengi hawakuwa na fahamu kusuhu namna walivyobeba mzigo,uzito na ugumu wa mzigo huo.

Leo lazima Watanganyika watafute fiscal autonomy ya kuamua mambo yao zaidi ya kuwa na account ya pamoja.
Account ya pamoja ni kuendelea kuhalialisha mzigo. Hawa watu wasioweza kulipa bili ndogo ya umeme, wanawezaje kuchangia account hiyo. Account ya pamoja ni ujinga, huwezi kuchukua rasilimali za Mtanganyika ukaziweka katika account na kudai ni zetu na znz. Narudia tena kwa bilioni 400, znz itachangia nini yarabi, japo ijenge barabara moja tu

Ukiangalia kwa undani, mbali ya ardhi na watu, kifedha makusanyo ya kodi za Kariakoo ni makubwa kuliko SMZ.
Kwa mwaka mapato ya kariakoo ni zaidi ya bilioni 500, nyingi kuliko ya znz.
Nadhani SMZ ilitakiwa iwe na JFC na account ya pamoja na soko la kariakoo na si Tanganyika.

Hata kwa akili za kawaida tu, Ilala ni kubwa kicuhumi kuliko znz.
Leo wanasema eti JFC haifanyi kazi kwasababu Tanganyika inataka kuiba bilioni 400 za mwaka za Zanzaibar!!!

Matatizo yote yana suluhu moja, Tanganyika izinduke, iamue mipango yake na taratibu zake bila kushirikisha znz.
Znz nao wawe na mambo yao yasiyohusu ushirika na Tanganyika.
Hapo Tanganyika itajivua lawama za kitoto na znz itatafuta mshirika wa kuchangia bilioni 400 sawa sawa.

Watanganyika wanapaswa kuona kile wasichokiona kwa macho mawili. Mzee Mwanakijiji anakauli yake kuwa kupe hakusumbui akiwa mgongoni hadi ndigana itakapokuangusha.

Labda kwa Watanganyika, tuwaeleze kitu kimoja. Kama tuamua kuchangia mambo ya muungano japo kwa 1/8 znz na 7/8 Tanganyika, znz haitaweza kuendesha serikali ya muungano kwa wiki mbili tu. I mean bila kuondoa hata senti tano katika bilioni 400,znz haina uwezo wa kuendesha au kuchangia JMT.
Hawa ndio wanataka account ya pamoja! ni tatizo gani?

Hatuhitaji JFC na Zanzaibar kwasababu haina maana yoyote. Hatuwezi kuchukua kodi zetu tukazweka kwenye kapu ili kila mmoja aliyenawa na asiyenawa mikono achote. Huko ni kuwanajisi walipa kodi wa Tanganyika.

Foreign Aid Inakuja kwa njia Mbili:
1. General government support.
2. Ear marked basket sector funding.

Kinachoendelea ni Kwamba general budget support inazidi kupungua na Hali hiyo itaendelea kwa muda mrefu. Hii ni kwa sababu kwanza ufisadi umewashtua sana donors, lakini muhimu zaidi, economic growth imekaa new sources of revenues kwa serikali (Mapato ya ndani) pamoja na emergence of non concessional loans plus funds za mifuko ya pensheni.

Hoja ya msingi ni Kwamba Kama taifa, tunaondokana.na general budget support na hata reforms zilizotangazwa na waziri wa fedha (tax reforms) zinalenga kutufanya tier independent of aid, na hata donors sasa wanatusaidia Katika Hilo. Cha ajabu ni Kwamba znZ inaonekana Hawana taarifa na such developments.

Pengine znZ wanalenga ear marked sector basket funding. Tofauti na general budget support, hizi zitaendelea kuwepo na hata kuongezeka, na miradi mikubwa ni elimu, afya, maji na Kilimo. Tofauti na general budget support, aina hii ya misaada ni janga kwa mafisadi, so Kama viongozi wa znZ wanalenga kunufaika, those days are gone.

So Hapa I think we can establish with confidence Kwamba znZ watafaidika na misaada on ear marked project. Swali linalofuata ni je, maji, Kilimo, afya, elimu ni masuala ya muungano? Jibu ni hapana. Hivyo basi, misaada na mikopo ya nje watakayopata,we can say with confidence Kwamba yote itakuwa kwa masuala Yao binafsi, na Yale yote ya muungano yataendelea kutegemea jasho la mtanganyika. Kuna ushahidi Katika hili: kuanzia mwaka wa fedha wa 2009-10, main source of revenue za muungano zimehamia kutoka vat na sasa ni income tax za waajiriwa pamoja na corporate tax. Swali linalofuata ni je, Katika kodi hizi, znZ wana vyanzo gani vya maana? Hata VAT znZ ni hela ndogo sana inakusanywa. Walipa kodi wakuu ni waajiriwa, of which over 90% wapo Tanganyika. Tukiangalia makampuni makuu yanayolipa kodi, sehemu kubwa ya shughuli zao (90%) Zipo Tanganyika. Kwa Mujibu wa takwimu zilizopo, main tax payers nchini ni:
1.tbl
2.crdb
3.nmb
4.tpa
5.tcc (sigara)
6. Tcc (tanga cement).
7. Airtel
8. TWIGA cement
9. Standard chattered bank
10. Ticts.
11. Citibank
12. Tanzania distillers
13. Resolute mine
14. Group five Tanzania limited.

Suala lingine ni Kwamba, Zanzibar inasamehe zaidi kodi as percentage of revenue kuliko serikali ya muungano, it's actually double, 46%, znZ, 23% Tanganyika. Ni Vigumu kujua znZ wataongeza vipi Mapato Yao ya ndani kwa Hali hii.

Lakini muhimu Hapa ni Kwamba kwa sana hizi, fedha za nje wanazolilia znZ, kwa nyakati hizi zitakuwa zaidi ni zile za earmarked projects ambapo tumejiridhisha Kwamba hakuna hata senti hapo itaingia kuchangia gharama za muungano.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu, hoja ya misaada na mikopo ni ya ajabu sana.
Hivi znz wanaweza kujivunia mikopo? Kwa uchumi wa Bilioni 400, wakiwa hawana assets, wanataraji nje ya muungano wangeweza kukopa kiasi gani.

Ukweli wasioukubali ni kuwa katika asilimia 88 ya dhamana ya mikopo ya znz, hakuna senti tano inayoingia katika muungano. Wakati huo huo, mikopo ya Tanganyika inaingia katika JMT na wao kunufuaika bila strings attached. Huu ni ukweli ambao hawautaki.
ZNZ haina deni la ndani hata siku moja. Deni hilo linabebwa na Mtanganyika

Ukweli mwingine ni kuwa kwa uchumi wa bilioni 400, nje ya muungano hiki ni kisiwa kinachoweza kununulika.
Hiyo misaada wataipata sana, lakini mwisho wa siku watapigwa bei.
Huo ni ukweli wasioutaka kuusikia.

Hili la JFC ni hoja ya kitoto sana. Huwezi kuwa na account ya pamoja ukiwa na uchumi wa trilioni 10 mwenzako akiwa na bilioni 400. Hata kama tutasema account hiyo ichangiwe kwa 1/8 znz na 7/8 bado znz ni tatizo.
Mishahara tu kwa mujibu wa waziri wao wa fedha inachukua nusu ya bajeti. Kipi walichobaki nacho cha kuchangia account ya pamoja ya JFC?

Suala la misaada ni la kipuuzi na ni wapuuzi tu wanaoweza kujivunia hilo.
Account ya pamoja kama inaendeshwa kwa misaada, hii maana yake misaada ikishindwa kupatikana basi hakuna account hiyo.
Kwamba, wznz mchango wao katika account ya pamoja ni misaada na mikopo. Kwamba, wana hesabu ndege aliyeko mtini kama mali yao. Katika mlo wao, hawafikirii kutafuta bali ndege walioko mtini ni assets zao. Wenzetu hao!

Ni kituko na ukosefu wa fikra kudhani kuwa ni fahari kukopa IMF kuliko kupewa bure.
Kwamba, wznz wanajivunia sana misaada na mikopo kutoka washington na Paris Club.
Huu kama si ukoloni wa akili ni wendawazimu.

Nilidhani nchi za Afrika zilitakiwa ziondokane na minyororo ya misaada, kumbe kuna watu wanaamini misaada na mikopo ni jambo muhimu sana kwa ustawi wao achilia mbali ustawi wa muungano.

Kwa upande mwingine, jambo hili la muungano limetokea mahali pazuri.
Watanganyika wengi hawakuwa na fahamu kusuhu namna walivyobeba mzigo,uzito na ugumu wa mzigo huo.

Leo lazima Watanganyika watafute fiscal autonomy ya kuamua mambo yao zaidi ya kuwa na account ya pamoja.
Account ya pamoja ni kuendelea kuhalialisha mzigo. Hawa watu wasioweza kulipa bili ndogo ya umeme, wanawezaje kuchangia account hiyo. Account ya pamoja ni ujinga, huwezi kuchukua rasilimali za Mtanganyika ukaziweka katika account na kudai ni zetu na znz. Narudia tena kwa bilioni 400, znz itachangia nini yarabi, japo ijenge barabara moja tu

Ukiangalia kwa undani, mbali ya ardhi na watu, kifedha makusanyo ya kodi za Kariakoo ni makubwa kuliko SMZ.
Kwa mwaka mapato ya kariakoo ni zaidi ya bilioni 500, nyingi kuliko ya znz.
Nadhani SMZ ilitakiwa iwe na JFC na account ya pamoja na soko la kariakoo na si Tanganyika.

Hata kwa akili za kawaida tu, Ilala ni kubwa kicuhumi kuliko znz.
Leo wanasema eti JFC haifanyi kazi kwasababu Tanganyika inataka kuiba bilioni 400 za mwaka za Zanzaibar!!!

Matatizo yote yana suluhu moja, Tanganyika izinduke, iamue mipango yake na taratibu zake bila kushirikisha znz.
Znz nao wawe na mambo yao yasiyohusu ushirika na Tanganyika.
Hapo Tanganyika itajivua lawama za kitoto na znz itatafuta mshirika wa kuchangia bilioni 400 sawa sawa.

Watanganyika wanapaswa kuona kile wasichokiona kwa macho mawili. Mzee Mwanakijiji anakauli yake kuwa kupe hakusumbui akiwa mgongoni hadi ndigana itakapokuangusha.

Labda kwa Watanganyika, tuwaeleze kitu kimoja. Kama tuamua kuchangia mambo ya muungano japo kwa 1/8 znz na 7/8 Tanganyika, znz haitaweza kuendesha serikali ya muungano kwa wiki mbili tu. I mean bila kuondoa hata senti tano katika bilioni 400,znz haina uwezo wa kuendesha au kuchangia JMT.
Hawa ndio wanataka account ya pamoja! ni tatizo gani?

Hatuhitaji JFC na Zanzaibar kwasababu haina maana yoyote. Hatuwezi kuchukua kodi zetu tukazweka kwenye kapu ili kila mmoja aliyenawa na asiyenawa mikono achote. Huko ni kuwanajisi walipa kodi wa Tanganyika.

Nguruvi3,

Kuna mambo hapa nilitaka nikusaidie naona umejawa jazba bila kuwa na data kamili.

naomba nikuwekee data hapa kidogo ambazo wachumi tunazitumia katika kujua uchumi wa nchi yako umesimama wapi?

Znz ina idadi ya watu wasiozidi 1.5 Million na ina ukubwa wa area 2000 Sq Km. Na ukitazma bajeti yake kwa mwaka 2014/2015 ni takriban 700 B wakti makusanyo yake ni takriban 400 B.

TGK ina ukubwa wa 885,800 Sq Km na ina idadi ya watu walizidi 45 million. Na ukipitia bajeti yake ya 2014/2015 utaona matumizi yake inakadiriwa kuzidi 19 Tr wakti makusanyo yake ni chini ya 12 Tr hivyo wana upungufu wa zaidi ya 7 Tr. Na Deni lake la nje kufikia April 2014 ni zaidi ya 36 Tr.yaani mara mbili ya bajeti yake kwa mwaka.

Lakin nakumbuka mimi niliwahi kushangaa nchi zenye data hizo juu je zinaweza kuungana kweli? tena muungano wa pasu kwa pasu katika maamuzi?

Nikuulize kwa akili yako Je nchi hizi zinaweza kuungana? tena nchi kubwa kwenda kuomba muungano na nchi kiduchu?

Nikupe pole

Foreign Aid Inakuja kwa njia Mbili:
1. General government support.
2. Ear marked basket sector funding.

Kinachoendelea ni Kwamba general budget support inazidi kupungua na Hali hiyo itaendelea kwa muda mrefu. Hii ni kwa sababu kwanza ufisadi umewashtua sana donors, lakini muhimu zaidi, economic growth imekaa new sources of revenues kwa serikali (Mapato ya ndani) pamoja na emergence of non concessional loans plus funds za mifuko ya pensheni.

Hoja ya msingi ni Kwamba Kama taifa, tunaondokana.na general budget support na hata reforms zilizotangazwa na waziri wa fedha (tax reforms) zinalenga kutufanya tier independent of aid, na hata donors sasa wanatusaidia Katika Hilo. Cha ajabu ni Kwamba znZ inaonekana Hawana taarifa na such developments.

Pengine znZ wanalenga ear marked sector basket funding. Tofauti na general budget support, hizi zitaendelea kuwepo na hata kuongezeka, na miradi mikubwa ni elimu, afya, maji na Kilimo. Tofauti na general budget support, aina hii ya misaada ni janga kwa mafisadi, so Kama viongozi wa znZ wanalenga kunufaika, those days are gone.

So Hapa I think we can establish with confidence Kwamba znZ watafaidika na misaada on ear marked project. Swali linalofuata ni je, maji, Kilimo, afya, elimu ni masuala ya muungano? Jibu ni hapana. Hivyo basi, misaada na mikopo ya nje watakayopata,we can say with confidence Kwamba yote itakuwa kwa masuala Yao binafsi, na Yale yote ya muungano yataendelea kutegemea jasho la mtanganyika. Kuna ushahidi Katika hili: kuanzia mwaka wa fedha wa 2009-10, main source of revenue za muungano zimehamia kutoka vat na sasa ni income tax za waajiriwa pamoja na corporate tax. Swali linalofuata ni je, Katika kodi hizi, znZ wana vyanzo gani vya maana? Hata VAT znZ ni hela ndogo sana inakusanywa. Walipa kodi wakuu ni waajiriwa, of which over 90% wapo Tanganyika. Tukiangalia makampuni makuu yanayolipa kodi, sehemu kubwa ya shughuli zao (90%) Zipo Tanganyika. Kwa Mujibu wa takwimu zilizopo, main tax payers nchini ni:
1.tbl
2.crdb
3.nmb
4.tpa
5.tcc (sigara)
6. Tcc (tanga cement).
7. Airtel
8. TWIGA cement
9. Standard chattered bank
10. Ticts.
11. Citibank
12. Tanzania distillers
13. Resolute mine
14. Group five Tanzania limited.

Suala lingine ni Kwamba, Zanzibar inasamehe zaidi kodi as percentage of revenue kuliko serikali ya muungano, it's actually double, 46%, znZ, 23% Tanganyika. Ni Vigumu kujua znZ wataongeza vipi Mapato Yao ya ndani kwa Hali hii.

Lakini muhimu Hapa ni Kwamba kwa sana hizi, fedha za nje wanazolilia znZ, kwa nyakati hizi zitakuwa zaidi ni zile za earmarked projects ambapo tumejiridhisha Kwamba hakuna hata senti hapo itaingia kuchangia gharama za muungano.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mchambuzi,

Ukitaka kujua vyanzo vya mapato vya Znz wewe poteza muda kidogo tu kupitia bajeti zao mfano mkuu ni bajeti yao kuu ya 2014/2015 Humu vimeelezwa kwa kina sana na kusema wazi makusanyo yao ni 400 B wakti bajeti yao imesimama kwa matumizi ya takriban 700 B.

Lakin naona mnazidi kulalamika bila kujipambanua katika vitu hivi.
1. Mnashindwa kuainisha JE ZNZ INATAKIWA ICHANGIE KIASI GANI KATIKA MUUNGANO?
2. Mnashindwa kusema wazi TGK inachangia kiasi gani katika muungano?
3. Lakin pia mnashindwa kusema Znz achangie wapi na katika mfuko gani hizo pesa zake kwa huo muungano?.
4. Hamjasema TGK inachangia katika mfuko gani huo mchango wake wa muungano?
5. Ni nani anayedhibiti matumizi na mapato ya huo mfuko na kuhakikisha haki inatendeka katika mgao wao.

Bila ya kujikita kwa kuweka hayo sawa mtabaki tu kulalaminika na kunung'unika tu mpaka mwisho wa Duniya lakin pia mumekuwa wagumu kuchukua hatua stahiki.

Pole sana.
 
Barubaru, data zote tunazoweka humu Ina maana hauoni? Tatizo unachagua ya kujadili, na hoja nyingi sana umezikimbia Huko juu.

Data za bajeti kwanini hautaki kuzijadili Katika muktadha wa Mapato, matumizi na uchangiaji wa muungano? Nimekueleza jinsi gani znZ ni kikwazo kwa JFC. Nikaeleza pia Kwamba suala la mikopo na misaada sio la muungano, na halipo Katika katiba ya jmt, hivyo halipo kisheria. Nje ya hapo Nimekueleza Kwamba hoja ya misaada ni hoja mufilisi Katika zama hizi, Zanzibar wajitazame ndani kwanini kwa mfano wanasamehe kodi Mara ya Mbili ya serikali ya muungano.

Unashangaza sana Unaposema hatusemi Tanganyika inachangia kiasi gani Katika muungano. Gharama za muungano ni takriban Sh trilioni Mbili, karibia Mara Tatu ya bajeti nzima ya znZ. Huko juu nimeainisha ni kodi Zipi zinaendesha muungano na Nani anabebeshwa zaidi mzigo wa gharama na kwa kiasi gani.

Kuhusu formula ya kuchangia, iliamuliwa Kwamba vigezo viwe ni idadi ya Watu na pato la taifa. Je wewe unaona vigezo viwe nini?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Watetezi wa Zanzibar wanakwepa Ukweli Kwamba:

1. Serikali ya muungano imekuwa ikigharamia mambo ya muungano kutokana na Mapato ya muungano lakini pia na Mapato yasiyo kuwa ya muungano kwa upande wa Tanzania bara/Tanganyika. Kwa upande wa Zanzibar, serikali hii haichangii moja kwa moja Kama Tanganyika, badala yake inachangia kupitia Mapato ya muungano ambayo yanakusanywa na serikali ya jamhuri ya muungano, of which zaidi ya 75% ni Mapato ya Tanganyika.

2. Kwa miaka 50, bajeti ya JMT haitenganishi vyanzo vya Mapato na matumizi kwa utaratibu wa mambo ya muungano na mambo ya Tanganyika. Tunapozungumzia bajeti ya Tanzania, maana yake ni bajeti ya serikali moja - inayoshughulikia muungano (tanganyika na Zanzibar) huku znZ ikiwa na bajeti yake (fiscal autonomy) na vipaumbele vyake. Kwa upande wa Tanganyika, bajeti yake ni hiyo hiyo ya muungano Katika kapu moja. Kuwa na bajeti
Moja - ya Tanganyika na muungano inaathiri sana vipaumbele vya Tanganyika. Wazanzibari Hawaoni hili.

Given yote haya na niliyojadili awali,
Kati ya hoja hizi Mbili, ipi holds more water?

•Hoja ya kwanza ni ya znZ ambao wanalalamika hawapati mgao unaostahili kutokana na Mapato ya serikali ya muungano.

•Hoja ya pili ni ya upande wa Tanganyika Kwamba Zanzibar haichangii kuendesha muungano.

Definitely hoja ya pili.
Ibara ya 133 ya katiba inaelekeza serikali Mbili zilizopo kuchangia gharama za muungano, Zanzibar kwa miaka zaidi ya 20 sasa haichangii moja kwa moja Bali kupitia Mapato ya muungano of which kimsingi ni Mapato ya Tanganyika.

Mwisho wazanzibari wanasahau Kwamba masuala ya misaada na mikopo haipo Katika katiba ya jmt, hivyo hayatambuliki kisheria. Sasa Kujadili Kwamba JFC Ipo kwa Mujibu wa Sheria (which is correct) lakini hapo hapo kusingizia suala la mikopo na misaada kwa znZ Kama kikwazo cha JFC kutekeleza majukumu yake ya kikatiba Wakati masuala ya fedha za nje (mikopo na misaada) sio masuala ya muungano, lakini pia hayapo kisheria ni kukosa umakini wa hoja.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Nilio RED.

Nilitaka nikujulisha kidogo hapo kwani naona imekupuruchuka

Misaada na mikopo hiyo ipo katika Mambo ya muungano na imebainishwa katika kipengele cha mahusiano ya nchi za nje. Hivo Znz haina fursa ya kujiunga au kukopa au kupokea chochote kutoka nje ya Tz bila wizara ya mambo ya nje na mahusiano ya kimataifa kutia mguu.

Pole sana

Hivi tangu lini Barubaru naye akawa great thinker? Yeye anafaa tu kule kwenye mada za kumtukana Nyerere.
 
Barubaru, unajitapa sana na elimu na uzoefu wako Kama mchumi lakini Hapa unashindwa kuelewa Kwamba the bottom line ya hoja Hapa ni Mapato, matumizi na uchangiaji wa gharama za muungano. Hauwezi kujadili hivi in isolation Bali kwa pamoja. Nimefanya hivyo, haujibu hoja zangu na badala yake unang'ang'ania JFC, na hoja ambazo zinakimbia hoja ya msingi. Ni wewe ndiye mlalamishi na mnung'unikaji juu ya JFC, Vinginevyo ungejadili hoja zinazoelekezwa kwako, pengine tu tungepata majibu juu ya way forward for JFC.

Vile vile pamoja na usomi wako wa uchumi, unasahau Kwamba bila ya kodi, muungano haupo. Na kodi kawaida Ina sura Mbili - Mapato na sera. Kwa upande wa Mapato, znZ itaendelea kuwa tegemezi tu kwa hoja nilizojadili. Kwa upande wa sera, hatuoni mikakati Wala ubunifu wowote wa znZ wa kusaidia mchango wa muungano Wala kuwa sustainable in fiscal terms. Tunachosikia ni malalamiko ya misaada na mikopo, kitu ambacho hakina tija kwa znZ in the long run.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Barubaru, data zote tunazoweka humu Ina maana hauoni? Tatizo unachagua ya kujadili, na hoja nyingi sana umezikimbia Huko juu.

Data za bajeti kwanini hautaki kuzijadili Katika muktadha wa Mapato, matumizi na uchangiaji wa muungano? Nimekueleza jinsi gani znZ ni kikwazo kwa JFC. Nikaeleza pia Kwamba suala la mikopo na misaada sio la muungano, na halipo Katika katiba ya jmt, hivyo halipo kisheria. Nje ya hapo Nimekueleza Kwamba hoja ya misaada ni hoja mufilisi Katika zama hizi, Zanzibar wajitazame ndani kwanini kwa mfano wanasamehe kodi Mara ya Mbili ya serikali ya muungano.

Unashangaza sana Unaposema hatusemi Tanganyika inachangia kiasi gani Katika muungano. Gharama za muungano ni takriban Sh trilioni Mbili, karibia Mara Tatu ya bajeti nzima ya znZ. Huko juu nimeainisha ni kodi Zipi zinaendesha muungano na Nani anabebeshwa zaidi mzigo wa gharama na kwa kiasi gani.

Kuhusu formula ya kuchangia, iliamuliwa Kwamba vigezo viwe ni idadi ya Watu na pato la taifa. Je wewe unaona vigezo viwe nini?

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mchambuzi,

Mimi naona kuwa mnalalamika sana lakin hamjui mnalalamikia nini na ndio maana baada ya kuwasoma kwa utulivu sana nikaona mnashindwa kujipambanua katika masuala haya.

Lakin naona mnazidi kulalamika bila kujipambanua katika vitu hivi.
1. Mnashindwa kuainisha JE ZNZ INATAKIWA ICHANGIE KIASI GANI KATIKA MUUNGANO?
2. Mnashindwa kusema wazi TGK inachangia kiasi gani katika muungano?
3. Lakin pia mnashindwa kusema Znz achangie wapi na katika mfuko gani hizo pesa zake kwa huo muungano?.
4. Hamjasema TGK inachangia katika mfuko gani huo mchango wake wa muungano?
5. Ni nani anayedhibiti matumizi na mapato ya huo mfuko na kuhakikisha haki inatendeka katika mgao wao.

Sasa kwa kuwa Znz wana mapato kama walivyoainisha katika bajeti yao na vyanzo vyake wameainisha kama ilivyofanywa katika Bajeti ya TGK.

Mimi naona tujipambanue katika masuala hayo ili niweze kujua NINI NIWASAIDIE KATIKA MANUNG'UNIKO YENU kuliko hivi sasa mnaposema tu kuwa TGK inaibeba Znz bila kusema ni kwa kiasi gani huku mkiweka data.

Nafikiri mjadala huu utakuwa mzuri sana kama tutacheza na DATA zenye vyanzo halisi kuliko manung'uniko na malalamiko bila supporting DATA. KWANI UCHUMI NI DATA NA SIO MANENO YA BLA BLA.

Pole sana Naona mapumziko haya japan 1 Na Ivory coast 0.

Nilio RED.

Nilitaka nikujulisha kidogo hapo kwani naona imekupuruchuka

Misaada na mikopo hiyo ipo katika Mambo ya muungano na imebainishwa katika kipengele cha mahusiano ya nchi za nje. Hivo Znz haina fursa ya kujiunga au kukopa au kupokea chochote kutoka nje ya Tz bila wizara ya mambo ya nje na mahusiano ya kimataifa kutia mguu.

Pole sana

So foreign aid ni suala la muungano na lipo kwa Mujibu wa Sheria? Inawezekana nimepitiwa Katika hili. Naomba uweke kipengele husika cha katiba - Kwamba foreign aid is a union matter.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi tangu lini Barubaru naye akawa great thinker? Yeye anafaa tu kule kwenye mada za kumtukana Nyerere.

Pole sana Jasusi.

Je unajuwa kuwa Nyerere alipenda sana kula ugali wa muhogo na kitoweo chake ni samaki wa kuchoma?

Nilio RED.

Nilitaka nikujulisha kidogo hapo kwani naona imekupuruchuka

Misaada na mikopo hiyo ipo katika Mambo ya muungano na imebainishwa katika kipengele cha mahusiano ya nchi za nje. Hivo Znz haina fursa ya kujiunga au kukopa au kupokea chochote kutoka nje ya Tz bila wizara ya mambo ya nje na mahusiano ya kimataifa kutia mguu.

Pole sana

Katika Tazama yangu sikufanikiwa kuona Kwamba foreign aid ni suala la muungano. Inawezekana kweli nilipitiwa, naomba uweke hicho kipengele.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
So foreign aid ni suala la muungano na lipo kwa Mujibu wa Sheria? Inawezekana nimepitiwa Katika hili. Naomba uweke kipengele husika cha katiba - Kwamba foreign aid is a union matter.

Sent from my iPhone using JamiiForums

The initial Union Matters included the following eleven areas as Union matters:· The constitution and government of the United
Republic;

· External affairs;

· Defense;

· Police;

· Emergency powers;

· Citizenship;

· Immigration;

· External trade and borrowing;

· The Public service of the United Republic;

· Income tax, corporation tax, customs and excise duties,and

· Harbours, civil aviation, posts and telegraph.

Foreign aid - misaada?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mchambuzi,

Haya ni masuala muhimu sana ili kuweka kuunogesha mnakasha huu.

1. JE ZNZ INATAKIWA ICHANGIE KIASI GANI KATIKA MUUNGANO?
2. Sema wazi TGK inachangia kiasi gani katika muungano?
3. Lakin pia sema Znz achangie wapi na katika mfuko gani hizo pesa zake kwa huo muungano?.
4. Sema TGK inachangia katika mfuko gani huo mchango wake wa muungano?
5. Ni nani anayedhibiti matumizi na mapato ya huo mfuko na kuhakikisha haki inatendeka katika mgao wao.

Tuweke DATA hapo ili tuwweze kujadili tukiwa na takwimu au Data halisi. Kwani mwisho wake tunaweza kujua ni kama kweli ni kibri cha Znz kukataa kulipia Muungano au kuna namna ya baadhwi kujipendekeza kujitwika mzogo wote kama walivyo jitwika joho la Mvungano?

Hongera ahali yangu naona kuingia kwa Drogba tu tayari Ivory coast wameshashinda 2 -against 1 la wa Japan. (mimi napata kigugumizi leo kwani nimesomea Africa kwa maana Tz na wakti huo huo nimesomea Japan )

Nguruvi3,

Kuna mambo hapa nilitaka nikusaidie naona umejawa jazba bila kuwa na data kamili.

naomba nikuwekee data hapa kidogo ambazo wachumi tunazitumia katika kujua uchumi wa nchi yako umesimama wapi?

Znz ina idadi ya watu wasiozidi 1.5 Million na ina ukubwa wa area 2000 Sq Km. Na ukitazma bajeti yake kwa mwaka 2014/2015 ni takriban 700 B wakti makusanyo yake ni takriban 400 B.

TGK ina ukubwa wa 885,800 Sq Km na ina idadi ya watu walizidi 45 million. Na ukipitia bajeti yake ya 2014/2015 utaona matumizi yake inakadiriwa kuzidi 19 Tr wakti makusanyo yake ni chini ya 12 Tr hivyo wana upungufu wa zaidi ya 7 Tr. Na Deni lake la nje kufikia April 2014 ni zaidi ya 36 Tr.yaani mara mbili ya bajeti yake kwa mwaka.

Lakin nakumbuka mimi niliwahi kushangaa nchi zenye data hizo juu je zinaweza kuungana kweli? tena muungano wa pasu kwa pasu katika maamuzi?

Nikuulize kwa akili yako Je nchi hizi zinaweza kuungana? tena nchi kubwa kwenda kuomba muungano na nchi kiduchu?

Nikupe pole
Jasusi kasema vizuri sana hapo juu. Naomba umsome.
Haieleweki unasimamia hoja zipi na za msingi gani. Huko JFC huna hoja, sasa unarukia mambo mengine kabisa.
Kumbuka jamvi na jukwaa hili haliendeshwi hovyo. Unadhani unaweza kutuchochea tuseme hovyo. Huko hatupo!
Narudia tena, tafadhali sana usiharibu mijadala kwa trivial na useless arguments kama hiyo.

Tunakushukuru sana, na tunaomba nafasi ya kujadili mambo yetu bila kuvurugwa. Ahsante sana, inatosha na tumekusikia
 
Last edited by a moderator:
Mchambuzi na Wanajamvi

Kuna mambo yanayotia kinyaa katika muungano kwa upande wa Tanganyika.
Wengi wanajaribu kuonyesha Watanganyika jinsi wanavyotumika kama kondoo wa kafara.

Wazanzibar wakitaka kuitumia Tanganyika, madai yao yapo katika mambo 11 ya mkataba wa 1964.
Uhalisia ni mambo hayo yamebaki machache, wazanzibar wameaacha kwa manufaa yao na si muungano. Tutanafafanua

1. External Affairs
Hili wznz wanalipigia kelele wakaitaka kujiunga na mashirika na taasisi za kimataifa. Kinachowatisha ni gharama za kuendesha shughuli wakiwa nje ya muungano. Mathalan, ada zote za kimataifa za taasisi,mashirika na ofisi kama balozi zinahudumiwa na Tanganyika. Ndiyo maana utawasikia wakizungumzia teuzi za mabalozi bila kuzungumzia gharama zinazoambata na uendeshaji. Ndivyo ilivyo katika mashrika kama International Maritime Organization.

2.Defense
Hapa hutasikia mzanzibar akilalamika hata kwa ajali. Gharama za ulinzi na usalama wa taifa lolote ni kubwa.
Kwa uchumi wa 400B , Znz inaelewa wazi huo ni mteremko kwao.
Madai yao ni kuhusu viongozi, hata kwa kisu shingoni hawazungumzii gharama.

3. Emergence Powers
Hili limeshondoka katika muungano, Wazanzibar waliliondoa kupitia katiba ya 2010 iliyompa Rais wa Zanzibar kutangaza hali ya hatari, kinyume na katiba ya JMT. Huko ni kumpora madaraka Rais wa JMT, na inatosha kusema si jambo la muungano tena.

4.Citizenship and Immigration: Hili nalo si jambo la muungano. Ingawa wazanzibar wanatembea na passport za Tanzania, kupitia katiba yao ya 2010, hakuna mahali wametajwa kama Raia wa Tanzania. Katiba yote imewatambua kama Raia wa Zaznibar.
Matumizi ya Raia wa Tanzania ni pale wznz wanapotaka kufadika na fursa za Tanganyika, kama elimu, ajira, ukwepaji deni la nje na ndani, ardhi na mengineyo. Nje ya hapo mznz si Mtanzania kwa mujibu wa katiba ya 2010.

5.External trade and borrowing
Hili nalo wznz wanalalamikia sana. Leo tunafahamu asilimia 88 ya mikopo yao inadhaminiwa na Tanganyika.
Kusema znz haiwezi kukopa si sahihi, kinachotokea ni kuwa kupitia udhamini wanaoutaka wao, wanalazimika kutumia ofisi ya mambo ya nje. Hivyo hali inawalazimu kwa kupata udhamini na wala si suala la kunyimwa fursa.

6.Public service of URT
Hili wznz wanalitumia katika kupata ajira. Wanaingia hapo kwa kutumia jina Tanzania kama tulivyoeleza.
Hata hivyo, katiba ya znz imeliondoa katika mambo ya muungano. Hakuna Mtanganyika anayeruhusiwa kupata ajira za utumishi katika taifa la Tanzania upande wa znz. Hii maana yake znz wana mamlaka zao na hawatambui uwepo wa jambo hilo licha ya kuwa lipo katika 11. Wanachokifanya ni kudai pale wanapohitaji huduma hiyo. Kimsingi si la muungano tena, wameshaliondoa.

7.Taxes
Kuunda ZRA kulilenga makusanyo ya kodi zote husika kufanywa na znz.
Kodi za TRA zinabaki huko. Wanachoogopa kupiga kelele ni pale ambapo watakapokuja Hazina kudai mishahara wakiwa hawana jina la TRA itawasumbua. Otherwise kwa muundo wao wa kodi, nalo si jambo la muungano, wameshaliondoa kiaina.

8.Harbours and Civil avaiations
Haya wameshayaondoa katika muungano kwa katiba yao ya 2010. Kinachowakwaza ni kuwa Tanganyika ni soko kubwa kwao. Wanachotaka kufanya ni kutumia Tanzania ili waweze kutumia bandari yao isiyo ya muungano na wala isiyochangia muungano kuingiza bidhaa bure Tanganyika.

Hakuna mafao ya bandari au anga yanayoingia JMT, isipkuwa wanataka kutumia Tanzania kama jina kuruhusu bidhaa zao kuingia Tanganyika bila kodi.

Ukiangalia kwa makini, katika yale 11 ya awali pengine yamebaki 3 au 4.
Warioba katoa nafasi yabaki 7 ambayo Tanganyika itahudumia znz.

Ukitaka kujua namna gani Tanganyika imebeba zigo, chukua yale mambo 22 yaliyolalamikiwa kuwa ya kinyemela.
Ondoa mambo 15 kama yalivyo katika rasimu na kubaki na 7.
Jiulize, katika yale 15 yaliyoondolewa kutoka muungano, Tanganyika imeathirika na nini.

Usiishie hapo, chukua yale 7 yaliyomo katika rasimu ambayo basically ni huduma za jamii.
Jiulize Tanganyika inaweza kunyonya nini kutoka znz na kwamba znz inachangia nini katika kuendesha hayo mambo.

Mfuko unaosemwa wa JFC hauna maana kwa Mtanganyika. Huwezi kuwa na ushirika ambao mwanachama mmoja mchango wake ni kukaa tu kwasababu ana kiti

Na mwisho jilulize, wewe kama Mtanganyika fiscal autonomy yako ipo wapi?
Na kwamba, kwanini ulalamikiwe kwa matatizo ya jirani yasiyo kuhusu. Matatizo ya nchi ya znz yabaki znz. Hakuna sababu za mlipa kodi wa Tanganyika kuhudumia nchi jirani ya znz.

.

Halafu, fikiria suluhu ya haraka.
 
Nguruvi3 na Mchambuzi

Mimi nimefafanua kwa kina sana unaposema mapato yatakuwa ya aina ngapi nikabainisha moja ya vyanzo vya mapato kwa nchi yenu ni makusanyo ya ndani, Mikopo na misaada. Lakin kwa kuwa mumejikita tujadili mapato ya Znz MIMI NITAWASAIDIENI KITU KIMOJA HEBU PITIENI BAJETI YA SUK YA ZNZ YA 2014/2015 humu mutaona vimebainishwa vyanzo hivyo vyote na kukuelekeza kuwa wanakusudia kukusanya takriban 400 B. lakin matumizi yao ni takriban 700 B. hivyo wana mapungufu ya takriban 300 B ambazo zimeainishwa watazipata kupitia mikopo nafuu na misaada kutoka nchi wahisani.

The same to TGK ukipitia Bajeti kuu ya JMTz imeonyesha wazi njia zao za mapato yao na wakakadiria kuwa kwa mwaka huu wa fedhwa watakusanya around 11 Tr wakti matumizi yao ni around 18 Tr, hivyo wana mapungufu ya takriban 7 Tr. Na imeanishwa pasa hizo za kujazia bajeti watazipata kwa njia ya mikopo na misaada kutoka kwa wahisani.

Tatizo lenu kubwa kama nikiwasoma naona lipo hapa.
Mimi siku zote nasema UCHUMI NI TAALUMA NA AIHITAJI NGUVU WALA JAZBA KATIKA KUJUA. ni just kujibidiisha kutafuta DATA ambazo ziko wazi kabisa. Na ukitaka kujua chanzo cha mapato na matumizi ya nchi yoyote duniani basi wewe pitia katika Bajeti za nchi hizo husika na humo kuna mengi mtajifunza kuliko kubaki kulalama.

nawapa pole
Ndugu Mchumi, hapa hujatueleza kitu ndiyo maana tunakuomba sana ukae kimya.
Kama unatumia data basi tunakuomba uweke kando misaada na mikopo. Hivyo ni vitu ambavyo huwezi kusema unavyo hadi uwe nacho. Ukisema mkopo wa bilioni 100 ni hadi uupate, na hata ukiupata ni wehu kushangilia mkopo kwasababu riba yake hasa kwa nchi masikini ni tatizo.

Kilichowasukuma akina Nyerere kuanzisha South South commission ni pamoja na kutaka kujikwamua kwa uhsirikiano wa nchi masikini na si kupitia Washinton n.k.

Tukirudi kwa data zako, mapato ya znz ni 400B na ya Tanganyika ni 12T.

Tunapokuwa na JFC:
1. Znz inachangia nini ikiwa mapato hayo tu,ambayo bila kuondoa hata senti tano hayatoshi kuendesha wizara moja ya muungano.

2. JFC inahudumiwa na mapato ya wanchama au inategemea misaada na mikopo? Na je ikiwa hakuna hiyo ina maana JFC haina kazi.

3. Kwa vile JFC imetoa kiwango cha ajira kama 21%, tuambie JFC inasema viwango gani viingine katika account kutoka kwa pande mbili zilizotajwa na sheria husika.

Kama hujui %, basi ukae kimya maana huna data. In fact kaa kimya tu hii iwe taarifa ili usije vuruga zaidi.
 
Back
Top Bottom