Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)


Mchambuzi:

If I ask you to bring a post where I say "decentralization emboldens tribalism", you will find none. I have always advocate decentralization. For, Tanzania is so big for one person called 'President' to decides our fate. We have a central government for more than 50 years and it doesn't work.

Now with regard to municipalities in Tanzania, those entities cover a swath of operations including running primary schools. Tell me one local government in Tanzania that can pay salaries of teachers for one fiscal year without the intervention of the central government? If you can mention just one I will revisit my previous statement?

With respect to Texas, you are the one who brought up the issue to prove your point. The truth is the discover of gas/oil came there when the state was already above the average. Texas wasn't a primitive state that badly needed the revenues from gas to launch its own economic revolution. So the comparison you try to make here is misplaced. Why don't you use Qatar instead? Can Mtwara be the next Qatar? Furthermore, why do you like to use tax collections to score points? Why don't you use GDP? The contribution of the gas/oil sector in Texas is about 7-10% of the state GDP. Tell me if that is small.

I am not here to deceive people of Mtwara. I am here to tell them the truth that gas is theirs if they don't fight for what's theirs, nobody will. They shouldn't afraid to make mistakes because they won't be the first.

Finally, let me talk about Zitto. What Zitto said isn't new. In daily conversations, many Tanzanians who aren't from Kilimanjaro harbor the same view.
 

A.

Mag3 je una proof yeyote kuonyesha haya uliyoyaandika ( ya zamani au yajayo) , ili yasionekane hekaya au fiction?

B.

Pia unieleze mechanism ya aina ya usaliti anaoufanya zitto ili kashkash zake akiwa PAC na mambo aliyoyafanya against CCM na serikali yake yaonekane ni usanii
1. uhusika wake kwenye escrow ( ambapo chadema nao waliunga mkono) na effects zake kwenye serikali kupelekea kujiuzulu viongozi wengi
2. Madudu kibao au fedha kibao zilizotangazwa kuibiwa AU kutumiwa vibaya na serikali ya CCM akiwa PAC
3. fedha za uswiss/ elezea kuwa ni usanii wa zitto na ccm ( usichanganye kusema anataka sifa) post yako inaelezea kinaga ubaga uhusika wa zitto kuwa katumwa na ccm....just spill out the proof

C

I cant list all of them, just elezea kinagaubaga aina hii ya siasa za zitto za kutumika kwenye serikali ambayo yeye ni no. moja kuwadhalilisha na kuwaonyesha ubaya wao

Unaweza ukaweka kabisa ukataja hata watu ndani ya CCM, specific ambao wana mastermind mambo ambayo wengi hawayaelewi

mfano elezea: kuwa escrow ilipangwa na CCM, ikaibuliwa na kafulila, kisha ilipangwa kwenda bungeni kama vile na ikapangwa mawaziri wajiuzulu.....n.k just elezea vizuri

D.

Mwisho nieleze wapinzani wengine au wapenda mabadiliko kama wewe ( walioko bungeni) ambao wanajua mipango hii, aidha hawachukui hatua au wanaangalia hii filamu

Elezea hoja zao, kazi zao, upinzani wao wanaoufanya, na siasa zao wanazozifanya nje ya zile za zitto ambazo wao wanaona wako sahihi na kwa kupitia hizo CCM itaondoka madarakani
 
wakuu wa mnakasha kuna maswali kadhaa najiuliza, hivi ni kwanini Kiongozi mkuu anapata support kubwa toka kwa viongozi wa CCM? (mfano Mh. Mwigulu Nchemba alimlilia sana KM alivyofukuzwa uanachama)
lakini pia kuna wajumbe wa mnakasha huu hapo kabla walikuwa watetezi wakubwa wa serikali ya CCM na CCM kwa ujumla kama huyu Ritz , imekuaje sasa wamekuwa watetezi wakuu wa Kiongozi Mkuu (KM)? lini walitangaza kuhamia ACT-wazalendo?
 
Last edited by a moderator:

Umesahu mambo mawili CHADEMA waliwatukana CUF na kuwaita chama cha M.A.S.H.O.G.A pi awaliwaita CCM B ila nimeshangaa kuwa wako pamoja,sasa huyu shoga itakuaje tena,Pia LIPUMBA alimwambia MBOWE si mwanasiasa,wala mpinzani wa kweli....leo wanafanya kazi pamoja.........SLAA alimuita KAFULILA eti ni SISIMIZI leo anafanya nae kazi sijui amebadilika......................
ZITTO kasema tuweke AKIBA YA MANENO
 
Sijakuelewa kwa hiyo hapa ni mahususi kwa pro-Chadema tu ambao wanapambana na Zitto?

Yeyote mwenyewe fikra tofauti na nyie kuhusu Zitto hatakiwi kuwepo yaani mnataka wote tuwe na fikra moja na kushikiana akili hapana sisi wengine tupo tofauti.

Mnajidanganya wenyewe na kualika shutuma na dhihaka kama bado unaendelea kuamini basi kazi unayo.
 
Last edited by a moderator:
Naomba utuambie nguvu ya ACT kupunguza nguvu ya UKAWA inatokana na nini,kukubalika kwa ZITTO au Uchanga wa ACT....yaani watu wale wote maarufu UKAWA nguvu yao kwa ZITTO inapwaya...huu ni utani kwa UKAWA,yaani uwekezaji wote waliofanya UKAWA wapunguzwe nguvu na ACT isio na miaka miwili...basi UKAWA wajitathimini...vinginevyo mkubali tu ZITTO anakubalika sana katika jamiii,pamoja anakasoro kama binadamu,kama ulivyosema waraka
 

Naona nyote mmeamua kufikili kama anavyofikili Nguruvi3 KAWATEKA na hamtaki kufikili tofauti naye,wapi Zitto alisema KILIMANJARO inahinyonya SHINYANGA hayo ni maneno ya Nguruvi3 ... Zitto kazungumzia mgawanyo unawafanya na serikali katika kapu la taifa hauko sawa,akatoa takwimu SHINYANGA ni ya tatu kuchangia kitaifa,lakini inapata gawio dogo,kuliko KILIMANJARO inayochangia kidogo,lakini inapewa zaidi ya SHINYANGA..MIMI ninaetumia AKILI yangu kufikili naona mantiki ya Zitto ni kuwa serikali haigawanyi sawa rasilimali za Taifa,na serikali ni ya chama cha mapinduzi,kwahiyo hapo Zitto anawataka watu wabadili fikra kuachana na CCM na kuungana na ACT...kila MTU anajua makusanyo yanafanywa na serikali,na mgao wanafanya serikali(ya ccm)..kwahiyo watu wataichukia serikali(CCM),na kujiunga ACT ili kuiondoa kwa kura CCM.. Zitto hatoi mfukoni TAKWIMU,anatoa za serikali,na ata akifika LINDI ataweleza wanachangia nini na wanagawiwa nini kupitia TAKWIMU za serikali MBOWE kasema wasukuma ni kabila maskini kuliko kabila lolote TANZANIA takwimu kazitoa wapi hizi Zitto anawajibika kwa alichokisema sio tafsri aliotoa Nguruvi3 ILI ATENGENEZE CHUKI haikusaidii,lengo lako ni kuwa ZITTO akienda KILIMANHARO arushiwe mawe jukwaani ili useme si nilisema...hatujengi nchi kwa tafsri zako za kiuchochezi,unaweka maneno kasema kilimanjaro inawanyonya shinyanga,punguza chuki kwa mtu ulietofatianae kifikra...tulitakiwa tujadili hizo TAKWIMU alizoleta ZITTO sio maneno ya Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:

tuwekee video au audio tusikie wenyewe
 

Zitto.

Mwanzo walipotufukuza walituambia tukatafute vyama vingine hilo likafanyika, tulipopata vyama vya kufanyia siasa wakasema vipo kwa ajili ya kugawa upinzani tukasema tupo tayari kuunganisha nguvu ya pamoja kwa ajili ya kuiondoa CCM…wenzetu pia hili hawalitaki sasa ni wajibu wenu kutambua watu gani hawataki kuiondoa CCM,"-alisema Zitto.-Alisema wao (ACT) wana nia ya dhati lakini wenzao wanaweka ugomvi binafsi mbele ya masilahi ya taifa.-"Sisi ACT Wazalendo bado tupo tayari kushirikiana kwa mujibu wa misingi. Shabaha yetu ni moja tu, kubomoa mfumo wa uchumi wa kinyonyaji na ufisadi ili kujenga uchumi shirikishi wa wananchi,"-alisema na kuongeza:-"Sikufundishwa kugombana na watu barabarani au kusema ovyo mitaani, kufanya hivi hakuna tofauti na kumsema mke au mume mlioachana…mmoja kwa kukosa busara na kwa kuwa aliachana na yule mke anaamua kwenda vijiweni na kutoa siri za mzazi mwenzie, hili kwetu hapana.-"Tunakuja na jahazi jipya ambalo ndugu zangu wa Mwanza nimekuja kuwakabidhi, kubwa tunataka kulirudisha taifa katika misingi yake ya ujamaa na kujitegemea, tunahitaji ujamaa wa demokrasia,"-alisema Zitto.
 
Huko nyuma niliwahi kukuuliza, kwani Zitto alizungumza nini? Hukuwahi kujibu, nikaamua kukuacha tu.
Hapa nitakujibu kwasababu kuna tuhuma unazotakiwa kuthibitisha. Kwanza, tupitie hoja zako

Adharusi;12610111]Naona nyote mmeamua kufikili kama anavyofikili Nguruvi3 KAWATEKA na hamtaki kufikili tofauti naye,wapi Zitto alisema KILIMANJARO inahinyonya SHINYANGA hayo ni maneno ya Nguruvi3 ...
Kufikiri tofauti maana yake ni kukubaliana na supreme au!!

Kama Jua linatoka mashariki kuelekea magharibi, hebu jaribu kutofautina na kauli hiyo ili tujue unafikiri tofauti.

Kuhusu maneno ya Kilimanjaro kuinyonya Shinyanga, hivi huoni tunafikiri tofauti kitu unachokihubiri?
Wewe unaamini hakuwa na maana hiyo, sisi tunasema ndiyo maana yake, huko si ndiko kufikiri tofauti mkuu
Zitto kazungumzia mgawanyo unawafanya na serikali katika kapu la taifa hauko sawa,akatoa takwimu SHINYANGA ni ya tatu kuchangia kitaifa,lakini inapata gawio dogo,kuliko KILIMANJARO inayochangia kidogo,lakini inapewa zaidi ya SHINYANGA..
Well, hapa huoni unathibitisha zile fikra zetu kuhusu dhana aliyokuwa nayo supreme? Mkuu kama unatumia akili kufikiri, wewe unadhani wengine wanatumia nini?

Na kama unatumia mantiki kujua Zitto kasema nini, kuna kosa gani tukitumia mantiki kuonyesha Zitto amesema Kilimanjaro inainyonya Shinyanga. Haki ya wewe jufikiri kakupa nani, na haki gani inatunyima sisi kufikiri.
Hata hivyo, Zitto alitaja serikali na maneno unayosema? Mchambuzi hapo juu kaweka takwimu, vipi mbona huzipitii ili kutusaidia sisi mabubusa?
Mkuu hebu ongea na Mchambuzi kwa takwimu ili sisi vihiyo tupate manufaa kidogo. Ukumbi wako sasa Hizi ni tuhuma nzito! Hata hivyo, mwenye jukumu la kumtia mshatkiwa hatiani ni mwendesha mashtaka.

Na hapa mwendesha mashtaka ni wewe. Ni vema ukathibitisha bila chembe ya shaka kuwa ipo chuki dhidi ya Zitto.
Hilo ni muhimu kwasababu tutafikia mahali mashtaka yakithibika basi tunawajibika kwayo

Kama chuki ni kueleza kile alichokisema, kuchambua, kutathmini , kuonya na kukemea, basi na iwe.

Hatutarudi nyuma tukishangilia wahuni wakiligawa taifa hili vipande vipande.

Narudia kusema, kauli alizitoa Zitto ambaye alipaswa kujua madhara yake kuliko mtu mwingine.

Ametoka Kigoma, ameona ya Rwanda na Burundi. Hata kama kwa jinsi fulani anaamini mgawanyiko au ana vinasaba vinavyoelekeza huko, Tanzania itakuwa ya wajinga, wakikaa kimya, kupiga manyanga, kufumga vibwewe na njuga kumshangilia supreme.

Supreme ameshaonja utamu wa kugawanya watu, anakoelekea sasa hatukubaliani naye.

Afanye siasa zake, atuachie taifa letu. Akipita ana hubiri habari njema usiku na mchana, hutatusikia wengine.

Akitumbukiza sumu, tutatoka tulipo na kukemea. Hatutarajii itawapendeza wote, lakini wengi watapendezwa na wachache kama wewe watakirihika.

Kuhusu kuandika, siombi yatokee yasiyotarajiwa kwani si lengo letu.

Zitto ni mwanasiasa na ana haki ya kushiriki mambo ya nchi kama mwananchi na mwanasiasa.
 
... Zitto kazungumzia mgawanyo unawafanya na serikali katika kapu la taifa hauko sawa,akatoa takwimu SHINYANGA ni ya tatu kuchangia kitaifa,lakini inapata gawio dogo,kuliko KILIMANJARO inayochangia kidogo,lakini inapewa zaidi ya SHINYANGA..
Adharusi, unajua tatizo lako ni nini? Ni kudandia hoja bila kufuatilia kinachoendelea...siju hii ni kwa makusudi au kwa udhaifu wa ufuatiliaji. Swali la nani anachangia zaidi lilimalizwa pale takwimu zilipotolewa lakini wewe bado kwa malengo unayoyajua unaturudisha kule kule. Ngoja nikukumbushe kwa kutumia takwimu alizotuletea Mchambuzi

[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="colspan: 5"]Direct Tax (Regional wise) - Domestic Revenue Department for 2012/2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TAX ITEM[/TD]
[TD="colspan: 4"] 1st Quarter 2012/13 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] July [/TD]
[TD] August [/TD]
[TD] September [/TD]
[TD] Total [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MJKNIA[/TD]
[TD] 4,439.4[/TD]
[TD] 4,951.6[/TD]
[TD] 3,842.0[/TD]
[TD] 13,233.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD] 4,147.7
[/TD]
[TD] 3,195.3
[/TD]
[TD] 3,371.5
[/TD]
[TD] 10,714.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Coast[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 69.9[/TD]
[TD] 74.1[/TD]
[TD] 144.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dodoma[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 0.3[/TD]
[TD] 1.1[/TD]
[TD] 1.5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iringa[/TD]
[TD] 7.4[/TD]
[TD] 28.8[/TD]
[TD] 13.9[/TD]
[TD] 50.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kagera[/TD]
[TD] 885.6[/TD]
[TD] 1,143.1[/TD]
[TD] 1,343.8[/TD]
[TD] 3,372.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kigoma[/TD]
[TD] 36.9[/TD]
[TD] 243.3[/TD]
[TD] 178.0[/TD]
[TD] 458.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimanjaro
[/TD]
[TD] 3,564.7
[/TD]
[TD] 3,765.7
[/TD]
[TD] 2,666.5
[/TD]
[TD] 9,996.8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lindi[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 2.2[/TD]
[TD] 5.7[/TD]
[TD] 7.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mara[/TD]
[TD] 4,146.7[/TD]
[TD] 4,703.0[/TD]
[TD] 4,603.2[/TD]
[TD] 13,453.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya[/TD]
[TD] 1,482.4[/TD]
[TD] 1,084.4[/TD]
[TD] 1,067.1[/TD]
[TD] 3,633.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morogoro[/TD]
[TD] 1.7[/TD]
[TD] 15.8[/TD]
[TD] 20.4[/TD]
[TD] 38.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mtwara[/TD]
[TD] 5.1[/TD]
[TD] 245.1[/TD]
[TD] 126.6[/TD]
[TD] 376.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanza
[/TD]
[TD] 1,031.3
[/TD]
[TD] 910.1
[/TD]
[TD] 1,243.3
[/TD]
[TD] 3,184.7 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ruvuma[/TD]
[TD] 19.4[/TD]
[TD] 34.9[/TD]
[TD] 31.4[/TD]
[TD] 85.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shinyanga
[/TD]
[TD] 4.9
[/TD]
[TD] 14.1
[/TD]
[TD] 15.8
[/TD]
[TD] 34.8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Singida[/TD]
[TD] 1.8[/TD]
[TD] 3.5[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 5.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tabora[/TD]
[TD] 4.4[/TD]
[TD] 2.6[/TD]
[TD] 0.1[/TD]
[TD] 7.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanga[/TD]
[TD] 883.5[/TD]
[TD] 3,197.6[/TD]
[TD] 4,517.9[/TD]
[TD] 8,599.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa[/TD]
[TD] 9.9[/TD]
[TD] 3.8[/TD]
[TD] 7.2[/TD]
[TD] 20.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manyara[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTAL (GROSS)[/TD]
[TD] 20,672.9 [/TD]
[TD] 23,615.3 [/TD]
[TD] 23,129.6 [/TD]
[TD] 67,417.7
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]------[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 5"]Indirect Tax (Regional wise) - Domestic Revenue Department for 2012/2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TAX ITEM[/TD]
[TD="colspan: 4"] 1st Quarter 2012/13 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] July [/TD]
[TD] August [/TD]
[TD] September [/TD]
[TD] Total [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ilala[/TD]
[TD] 13,052.4[/TD]
[TD] 16,958.5[/TD]
[TD] 17,079.3[/TD]
[TD] 47,090.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kinondoni[/TD]
[TD] 5,205.8[/TD]
[TD] 8,330.5[/TD]
[TD] 8,810.6[/TD]
[TD] 22,346.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Temeke[/TD]
[TD] 432.9[/TD]
[TD] 3,213.8[/TD]
[TD] 3,636.2[/TD]
[TD] 7,282.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD] 6,033.4
[/TD]
[TD] 5,208.5
[/TD]
[TD] 7,045.7
[/TD]
[TD] 18,287.6 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Coast[/TD]
[TD] 95.2[/TD]
[TD] 230.2[/TD]
[TD] 209.9[/TD]
[TD] 535.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dodoma[/TD]
[TD] 199.7[/TD]
[TD] 558.3[/TD]
[TD] 352.3[/TD]
[TD] 1,110.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iringa[/TD]
[TD] 415.5[/TD]
[TD] 766.6[/TD]
[TD] 506.0[/TD]
[TD] 1,688.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kagera[/TD]
[TD] 473.1[/TD]
[TD] 602.5[/TD]
[TD] 520.7[/TD]
[TD] 1,596.3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kigoma[/TD]
[TD] 157.5[/TD]
[TD] 195.4[/TD]
[TD] 188.1[/TD]
[TD] 541.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimanjaro
[/TD]
[TD] 1,060.9
[/TD]
[TD] 1,192.9
[/TD]
[TD] 1,298.7
[/TD]
[TD] 3,552.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lindi[/TD]
[TD] 25.0[/TD]
[TD] 64.6[/TD]
[TD] 187.1[/TD]
[TD] 276.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mara[/TD]
[TD] 388.4[/TD]
[TD] 447.3[/TD]
[TD] 324.0[/TD]
[TD] 1,159.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya[/TD]
[TD] 739.1[/TD]
[TD] 930.4[/TD]
[TD] 870.1[/TD]
[TD] 2,539.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morogoro[/TD]
[TD] 720.8[/TD]
[TD] 767.0[/TD]
[TD] 847.0[/TD]
[TD] 2,334.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mtwara[/TD]
[TD] 53.8[/TD]
[TD] 1,535.7[/TD]
[TD] 271.8[/TD]
[TD] 1,861.3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanza
[/TD]
[TD] 1,231.5
[/TD]
[TD] 1,542.3
[/TD]
[TD] 1,831.3
[/TD]
[TD] 4,605.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ruvuma[/TD]
[TD] 165.3[/TD]
[TD] 212.8[/TD]
[TD] 210.9[/TD]
[TD] 588.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shinyanga
[/TD]
[TD] 531.3
[/TD]
[TD] 374.7
[/TD]
[TD] 264.4
[/TD]
[TD] 1,170.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Singida[/TD]
[TD] 103.5[/TD]
[TD] 108.2[/TD]
[TD] 138.2[/TD]
[TD] 349.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tabora[/TD]
[TD] 342.4[/TD]
[TD] 377.0[/TD]
[TD] 338.3[/TD]
[TD] 1,057.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanga[/TD]
[TD] 149.4[/TD]
[TD] 1,025.3[/TD]
[TD] 919.1[/TD]
[TD] 2,093.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa[/TD]
[TD] 93.1[/TD]
[TD] 122.4[/TD]
[TD] 122.9[/TD]
[TD] 338.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manyara[/TD]
[TD] 37.7[/TD]
[TD] 259.5[/TD]
[TD] 236.8[/TD]
[TD] 534.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTAL (GROSS)[/TD]
[TD] 31,707.6 [/TD]
[TD] 45,024.4 [/TD]
[TD] 46,209.5 [/TD]
[TD] 122,941.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]----------[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 5"]Customs and Excise (Regional wise) - Department for 2012/2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TAX ITEM[/TD]
[TD="colspan: 4"] 1st Quarter 2012/13 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] July [/TD]
[TD] August [/TD]
[TD] September [/TD]
[TD] Total [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]D'Salaam SC[/TD]
[TD] 206,972.3[/TD]
[TD] 233,347.1[/TD]
[TD] 209,441.3[/TD]
[TD] 649,760.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MJKNIA[/TD]
[TD] 4,439.4[/TD]
[TD] 4,951.6[/TD]
[TD] 3,842.0[/TD]
[TD] 13,233.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD] 4,147.7
[/TD]
[TD] 3,195.3
[/TD]
[TD] 3,371.5
[/TD]
[TD] 10,714.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Coast[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 69.9[/TD]
[TD] 74.1[/TD]
[TD] 144.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dodoma[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 0.3[/TD]
[TD] 1.1[/TD]
[TD] 1.5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iringa[/TD]
[TD] 7.4[/TD]
[TD] 28.8[/TD]
[TD] 13.9[/TD]
[TD] 50.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kagera[/TD]
[TD] 885.6[/TD]
[TD] 1,143.1[/TD]
[TD] 1,343.8[/TD]
[TD] 3,372.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kigoma[/TD]
[TD] 36.9[/TD]
[TD] 243.3[/TD]
[TD] 178.0[/TD]
[TD] 458.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimanjaro
[/TD]
[TD] 3,564.7
[/TD]
[TD] 3,765.7
[/TD]
[TD] 2,666.5
[/TD]
[TD] 9,996.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lindi[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 2.2[/TD]
[TD] 5.7[/TD]
[TD] 7.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mara[/TD]
[TD] 4,146.7[/TD]
[TD] 4,703.0[/TD]
[TD] 4,603.2[/TD]
[TD] 13,453.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya[/TD]
[TD] 1,482.4[/TD]
[TD] 1,084.4[/TD]
[TD] 1,067.1[/TD]
[TD] 3,633.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morogoro[/TD]
[TD] 1.7[/TD]
[TD] 15.8[/TD]
[TD] 20.4[/TD]
[TD] 38.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mtwara[/TD]
[TD] 5.1[/TD]
[TD] 245.1[/TD]
[TD] 126.6[/TD]
[TD] 376.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanza
[/TD]
[TD] 1,031.3
[/TD]
[TD] 910.1
[/TD]
[TD] 1,243.3
[/TD]
[TD] 3,184.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ruvuma[/TD]
[TD] 19.4[/TD]
[TD] 34.9[/TD]
[TD] 31.4[/TD]
[TD] 85.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shinyanga
[/TD]
[TD] 4.9
[/TD]
[TD] 14.1
[/TD]
[TD] 15.8
[/TD]
[TD] 34.8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Singida[/TD]
[TD] 1.8[/TD]
[TD] 3.5[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 5.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tabora[/TD]
[TD] 4.4[/TD]
[TD] 2.6[/TD]
[TD] 0.1[/TD]
[TD] 7.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanga[/TD]
[TD] 883.5[/TD]
[TD] 3,197.6[/TD]
[TD] 4,517.9[/TD]
[TD] 8,599.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa[/TD]
[TD] 9.9[/TD]
[TD] 3.8[/TD]
[TD] 7.2[/TD]
[TD] 20.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manyara[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTAL (GROSS)[/TD]
[TD] 227,645.2 [/TD]
[TD] 256,962.4 [/TD]
[TD] 232,570.9 [/TD]
[TD] 717,178.5 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Source: TRA
--------------- Adharusi, naomba na wewe utupe Source ya madai ya Zitto tusije tukawa tunazungushana tu kama vile hatujui tulikotoka na tunakokwenda.
 
Last edited by a moderator:
Mag3.

Soma hii kiduchu.

Thursday, 2 April 2015

Ripoti yataja mikoa 7 yenye maendeleo duni ya watu-Tanzania.

DODOMA, KIGOMA, SINGIDA, KAGERA, TABORA, SHINYANGA na PWANI ndio mikoa inayoongoza kwa maisha duni ya watuTanzania

Hayo yamo katika ripoti iliyozinduliwa Ijumaa na serikali, ripoti hiyo pia imeitaja mikoa inayoongoza kwa hali bora za maisha ya watuTanzania-kuwa ni:

-DAR ES SALAAM, ARUSHA, KILIMANJARO, IRINGA,-RUVUMA, MBEYA and TANGA.

Vigezo vilivyotumika katika utafiti uliozaa ripoti hiyo ni, wastani wa muda wa kuishi (Life expectancy, max 83.6 - min 20), expected years of schooling, upatikanaji wa maji-safi-na salama, umeme, lishe, vifo vya mama wajawazito na watoto, maendeleo ya jinsia.

Vigezo vingine ni, mazingira, kipato, umaskini, uhuru na upatikanaji wa mahitaji ya msingikama-chakula, maji na nyumba.

Utafiti huo ulifanywa na Economic & Social Research Foundation (ESRF) kwa kushirikiana na;

- National Bureau of Statistics (NBS).

- The Office of the Chief Government Statistician of-Zanzibar.

- The Department of Economics of theUniversity-of-Dar es Salaam.

Na kudhaminiwa na UN.
 
Last edited by a moderator:

Nguruvi3:

Isn't Zitto using your cook book? Do you recall the debate you brought here to discussion the contribution of Zanzibar in the union? The fiery attitude you displayed in that debate is similar to that Zitto.
 
Waberoya, kwanza pole sana...najua maumivu uliyo nayo na naelewa kwa nini unaumia kiaso hicho. Naomba tukubaliane kutokubaliana...I chose never to stoop to anybody for material gain and that's why I am where I am. Ukitaka kunihusisha na Chadema, sawa. Ukweli ni kwamba UKAWA kwa sasa ndiyo inainyima CCM usingizi na kikundi chochote kinachoweza kulitia hofu hilo genge la wezi, ni rafiki yangu. Hivyo hivyo kikundi chochote kitakachohusishwa kwa namna yoyote ile na CCM ni adui yangu. Nakubali UKAWA inaweza kuwa si lolote si chochote lakini kwa sasa angalau inaitesa CCM na kuleta tumaini. Usiku mwema.
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3:

Isn't Zitto using your cook book? Do you recall the debate you brought here to discussion the contribution of Zanzibar in the union? The fiery attitude you displayed in that debate is similar to that Zitto.
Tena ninshangaa sana hili swali sijaulizwa, na nakushukuru sana kwa kulisema

Nasimama katika hoja yangu, Zanzibar haina mchango katika muungano. Period

Zanzibar ni nchi ikiwa na vyombo vyake. Haki wanayodai ni pamoja na ile ya kutawala, kupewa nafasi za uongozi, kupewa mgao wa fedha zisizowahusu na wasiochangia. Znz wana katiba na Rais wao, wana mambo yasiyotuhusu hata kidogo.
Hoja yao ni kuwa wao ni washirika wa muungano.

Kigoma, Kilimanjaro, Mtwara, Singida n.k. ni watu wa nchi moja ya Tanganyika.
Hakuna katiba ya pembeni inayowatawala, na sote tunakusanya na kugawana kutoka kikapu kimoja.

Hakuna mahali mkoa wa Tanganyika umewahi kupewa haki na hadhi kama Zanzibar.

Sisi ni wa Taifa moja Tanganyika, tuna vyombo vyote kama taifa moja.

Hivyo suala la Zanzibar halifanani na hoja ya Zitto. Tena hapa ninatetea utaifa wa Tanganyika kwa maana kuwa hatuhitaji Zitto aanze kutugawa, historia, jiografia na asili haikubaliani na hoja zake, inakubaliana na hoja zangu

Nikupe mfano, makamu wa Rais amepataikana kwa uzanzibar wake. Mawaziri wa muungano wengine wanachaguliwa kwa uzanzibar wao tu. Hakuna mkoa wa Tanganyika kiongozi anapatikana kwa u-mkoa wake.

Hawa wznz wanapewa fursa hizo kwasababu wao ni washirika ingawa ushirika wao ni wa kudai bila kuchangia
Mkoa wa mwisho kwa uchangiaji Tanganyika, unachangia zaidi ya Znz. Haipo katika orodha ni wa kubebwa tu, usione aibu kusema

Kama ZNZ watakubali kuwa mkoa mmojawapo wa Tanganyika hatutakuwa na matatizo.

Na wakikubali hatutaki kusikia upuuzi wa kugawana uongozi, katiba ya pembeni, bendera ya pembeni wala bunge la pembeni.

Nadhani unaona jinsi chungwa na kalimati yanavyotofautiana.

Hoja anazojenga Zitto na ACT zinataka kuwagawa watu wamoja na hizo tunazikataa.
Lini Shinyanga na Kilimanjaro wakawa nchi tofauti. Supreme anaelewa hilo, anachokifanya ni kutaka kuligawa taifa.

Nilisubiri sana hii hoja nikijua ataibuka nayo Mkandara, mjanja aliona itazidi kuingiza maji ndani ya jahazi

Baada ya kushindwa utetezi kwa supreme mnaona mtafute kila kitu mtupe jamvini kutuondoa katika mada
Adharusi ameulizwa na Mag3 atuletee twakimu za Zitto ! kakimbia, mambo yakipoa anaibuka na jingine

Guess what, tunajua tunaongelea nini, na siku zote huwa tumejiandaa

Hoja imepoteza mashiko na imefungwa.
 
Zakumi,

Local government authorities account for about 6% to 10% of tax revenues collected annually countrywide. Majority of this goes to finance operations costs - salaries and allowances. So you are wrong to say that LGAs can't even pay salaries for their employees. You should have said that LGAs don't have enough funds to finance development projects in their jurisdictions, and thats where subsidies in terms of transfers from central government becomes handy.

About GDP- tax revenues argument,while the international development community is in the final stage of getting rid of GDP as a measure of economic well being in the society, looks like you have decided to stick your head into the past. I will return to explain further...

Lastly about Zitto, it's the "HOW said" that we are talking about here, not the "WHAT said".
 
Last edited by a moderator:

Kinacho nishangaza Zaidi ni ukimya wa Zitto juu Ya unconditional support anayopata kutoka kwa Viongozi waandamizi wa Chama cha mapinduzi. Does this break him or make him?

Upinzani kazi yake ni kutoa mbadala wa Serikali kwa wananchi. Je upinzani wa ACT ni mbadala wa serikali Ya CCM? Kwa yepi?
Ritz, adhurusi, Mkandara, tusaidieni tafadhali na ufafanuzi juu Ya Suala hili.
 
Last edited by a moderator:

Mag3 nimeandika nini na umejibu nini?

Kesho itatungwa story/hekaya/fiction kama hiyo inayohusu mimi kutembea na mkeo au mama yako na utaiamini na kuniua bure

at least kubali kupokea matusi na majina maana umeruhusu akili yako kutumiwa na kudanganywa na wanasiasa kwa malengo yao, pole hii ni yako wewe maana hakuna ulichoweza kukijibu na kamwe hautaweza kujibu hayo maswali....believe me, hautaweza kujibu...NEVER

kumbuka kuwa wote tuna akili na kama umedanganywa wewe, wenzako hatujadanganywa........

I thought you will come out with tangible proof, hakuna sehemu niliyosema UKAWA!!!

by the way, kwa akili zako fupi unafikiri naichukia ukawa???? leo hii ukawa wakichukua nchi nitakuwa wa kwanza kushangilia ila iwe kwa kutokuua wengine wala kuchafua wengine iwe clean and credible moves

ukinifumania na ukawa na vithibitisho nimetembea na mkeo una haki ya kunifanya na kusema lolote lile inapofika kuwatangazia watu na kutunga mpaka chupi niliyovaa na gesti niliyoenda na mkeo kisa umehisi TUau unanichukia TU unakosea!!!

at least kwa wewe kushindwa kujibu yale maswali acha nikuache na wanaoudumaza ubongo wako ambao ndio level yako ya kufikiri bwana Mchambuzi na Nguruvi, at least they keep you on smiling

However, I DESIRE michango ambayo ya kujenga na strategy za kuondoa CCM kwa kuweka nafasi/kuruhusu hata ya kuukosoa upinzani, ili kuuamsha TUFIKIE LENGO! nalijua mkuu ungehusika katika hilo na kwa busara ambazo nilijua unazo

ila umekuwa mzee wa ndiyo tu, pasi kuuliza mpaka unakubali kudanganywa kitoto kabisa na kupata hasira kwa vitu ambavyo ukishirikisha ubongo kidogo tu unajua ni uongo

Tuhuma za Mbowe juu ya zitto zote ni uongo na is all about politics na madaraka! get that straight, kubali kataa akina Nyerere waliishawahi kufanya hivyo kwa akina kambona na jumbe, Mbowe alifanya hivyo pia kwa chacha wangwe!!! au Wangwe naye alikuwa msaliti??

Mag3 mchukie zitto kwa mengine ila sio tuhuma hizi mnazompaka, mchukie mwa mafanikio yake, mchukie kwa kimbelembele chake cha utaifa na kuwatibulia dili zenu za ufisadi, mchukie kwa hayo!! mchukie kwa kusimamia anayoyaamini.....
ebu weka jina lako kamili hapa na uniambie unafanya kazi wapi nitafuatilia nijue zitto amekuathiri kwa namna gani,

maana Mag3 KWA AKILI ZA KAWAIDA KABISA, HAINIINGII AKILI KUWA ETI HAUAMINI KUWA TUHUMA ZA ZITTO NI ZA KUPIKWA kweli siamini, na kama unaamini kabisa kabisa, believe me siijui familia yako, ila mnaweza kuwa mna tatizo la akili la kurithi, na likely umezaa watoto wenye mtindio.....believe me, chuki zenu kwa zitto sio issues za usaliti, kawatibulia chakula yenu ya ufisadi


bora kukaa na mtoto ukaongea vitu vya busara na ukapata jambo jipya, kuliko kuongea na mzee mpumbavu aliyekuwa na mitazamo hasi na frustration aliyejaa chuki zisizo na tija

I gave u second chance nione kama umekua ila kwa mara ya pili ninakudharau!! ungeweza kuthibitisha au kujibu maswali yangu kwa hoja ningekuona wa maana

nauliza maswali unanieleza habari za UKAWA ....you have exhibited high level of stupidity and foolishness ever!! na umenidharau mkuu.....ULIANDIKA POST wewe mwenyewe, ulitegemea hautaulizwa?? umetoa tuhuma na very well narrated kuhusu kuwa zitto msaliti, nakuuliza maswali machache tu, unashindwa kujibu na kutoa habari za UKAWA...mkuu kubali this time tena umechemka

na mimi nimekudharau na plz get life sitajibizana na wewe

Nguruvi na mchambuzi mfarijini huyu rafiki yenu, sidhani kama post hii ina wa exclude na nyie, kila penye jina mag3 replace na yenu kama na kama tu mnakubaliana na mawazo ya mag3, kwa kumpenda mtakubali tu!!
 


chuki zenu hizi zitawaua ndio maana hata maada mnarukaruka mno!

Mchambuzi unaweza kuweka vithibitisho vya unayoyasema??

ukishindwa post no #498 ina kuhu
 
Hah ha haa...! I knew it, I knew it was coming. Birds of a feather fly together. Maneno yako hayana tofauti na aliyotumia Supreme Leader wako way back in 2008/2009. For your information, I am not offended, so rest easy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…