Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Ngoja tuweke sawa hii habari.

Baada ya kukosa utetezi
wamekimbilia kuchomeka mada. Hilo tumeliona sasa wanatafuta mistari bila kuangalia iliandikwaje na kwa mantiki gani.

Ni kweli, tulisema supreme leader alianzisha ACT akiwa CDM. Tuliandika hivi ‘’act-chadema’’ kwa mantiki kuwa genge lile lile lililoandika waraka ndilo linaendeleza harakati ACT. Angalia hizo alama ‘’‘’ zikiwa zimefungwa

Pili, maneno ya supreme katika TV ni kuwa yeye ni mwanzilishi wa ACT.

Swali, anakuwaje mwanzilishi akiwa Chadema tena akiwa nakesi?
Hivi hapa huoni ulaghai tunaouongelea kwa yeye kuweka wazi hujuma alizokuwa anatenda?

Tatu, genge lilipotimuliwa likahamia ACT-Tanzaniailiyosajiliwa na Limbu.

Hivyo, genge lilikuta chama kilichosajiliwa. Baada ya muda supreme na wenzake wakalazimisha uchaguzi ili kuhakikisha supreme anachukua nafasi yake.

Hapa ndipo hoja ya Mchambuzi inapoingia kuwa,kilichosajiliwa ni ACT-Tanzania ambacho supreme hakuanzisha.

Supreme alikuwa na chama chake kwa jina la ‘Waraka’ kikiwa na mantiki ile ile ya kuhujumu upinzani.

Genge likabdili nembo, bendera, taratibu na kuwatimua waanzilishi wa ACT-Tanzania.

Kikaundwa chama cha ACT-Wazalendo (waraka) ambacho hakipo kwa msajili.

Hivyo, elewa mtiririko kuwa kilikuwepo chama cha Waraka(bahati nzuri/mbaya kikang’amuliwa kabla ya jaribio ).

Hiki chama kilikuwa kiipore Chadema

Wanachama wa Waraka wakaenda ACT-Tanzania. Kama kawaida wakafanya vitu vyao na kumtimua Limbu.

Limbu yupo mahakamani akidai chama chake. Sasa hiiACT-Wazalendo haijulikani kama ndiyo Warakaau vipi.
Kwa msajili ipo ACT-Tanzania

Mwakalinga kasema ni ujanja ujanja tu. Na sisi tunasema ujanja huo sasa basi tumechoka.

Hivyo sioni wapi huelewi mantiki ya Mchambuzi.

Mantiki halisi ni kuwa uhuni ule uliotoka kupora Chadema ndio umeendelezwa kwa Limbu.

Katika kufanikisha azma ndipo kikaundwa cheo cha supreme masaa 24 na jopo.
Hii ni kukwepa mkono wa sharia wa uporaji.

Sasa genge haliongelei uporaji halisi wanaoufanya linaongelea Kilimanjaro/Arusha kuwapora Shinyanga./Mwanza katika jitihadaza kuficha ‘ujanja ujanja’’ anaosema Mwakalinga

Mkuu hadi hapo huoni tatizo?

Kitu cha kwanza: ACT sio mali ya Limbu, ingawaje alianzisha. Ni mali ya wanachama. Na wanachama ndio wenye kauli kuliko mwenyekiti.

Pili: Wanachama wana haki ya kubadilisha muundo wa chama. Na haki hiyo hiko extended hata kwa wanachama waliojiunga leo au jana. Hivyo Zitto alipojiunga na ACT alikuwa na haki zake za uanachama.

Tatu: Kuwa mwanzilishi sio sababu ya mtu kutotimuliwa. Hivyo usijenge hoja kwamba waanzilishi walitimuliwa.

Nne: Katiba za vyama vya siasa sio sheria ya nchi. Zinabadilishwa kwa mapenzi ya wanachama. Hivyo matukio ya ndani ya chama hayamuhusu mtu asiye mwanachama. Kama unataka kujihusisha jiunge na chama.
 
Du, haki ya wanachama wawili Kitila na Mwigamba?
Mkuu haya ni majibu ya jazba na kiburi kwa kukwepa hoja za msingi.
 
Mkuu kabla sijajibu hoja zako, hebu tupe takwimu alizotumia Zitto kufikia hitimisho kuwa wananchi wa kanda fulani wanawapora wa kanda nyingine. Kama hiyo kauli si sawa, basi tupe kauli yake sahihi na takwimu alizotumia.

Twende taratibu mkuu

Nguruvi3:

Kwanini unaomba twakimu wakati maswali mengi tu unaogopa kuyajibu? Kwenye zaidi ya posti tatu nimekuuliza kwanini mnaona uzito kukemea ubaguzi wa kidini, kikabila, kikanda unaofanya wa viongozi wa juu wa vyama vya kisiasa, wafanyabiashara au viongozi wa serikali?

Je nikienda TRA, BOT, Usalama wa Taifa, nitapata takwimu zinazoonyesha diversity ya nchi au watu walipata ajira kwa juhudi na sio kubebwa?

Unahusisha matamshi ya Zitto na matukio ya Rwanda. Matatizo ya Rwanda hayakutokea kwa sababu ya siasa tu. Yalikuwa mpaka kwenye muundo wa ajira.

Kwanini watanzania wanachagua rais kutoka makabila madogo na sio makabila makubwa? Kwanini mhaya ana nafasi ndogo sana ya kuwa rais?

Najua hii posti utaacha kuijibu.
 
Mkuu wewe ni mdini na mkabila, ni wapi katiba ya nchi imesema mhaya hawezi kuwa rais wa nchi hii?
Unaweza kutoa ushahidi wa ubaguzi wa kidini, kikabila na kikanda unaofanywa na viongozi wa juu wa kisiasa ukiacha kiongozi mkuu wa ACT?
 
Ok, tueleze amesema nini kwa ufasaha. Pili, tuletee zile data alizotumia kwa hoja ya kwanza.

Nisome kwa umakini Nguruvi3 magie3 Mchambuzi
Naeleza kilichosemwa na Zitto na source ya Takwimu alizozizotoa
Source ya Takwimu alizotoa Zitto zinatoka Tanzania Human Development Report 2014(THDR 2014).
Nanukuu maelezo ya Zitto
"Dar inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa
-16.9% Dar
-9.2% Mwanza kabla haijagawanya
-7.3%. Mbeya
-6%. Shinyanga
-5.3% Iringa
Hata hivyo Shinyanga ni moja ya mikoa yenye Umaskini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia pato la Taifa,pia akasema Mikoa yenye Maendeleo Zaidi ni Arusha,Kilimanjaro na Dar es salaam.Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7 kuchangia Pato la Taifa.(Sijaona Zitto aliposema Arusha,Kilimanjaro zinapora utajili wa Shinyanga) kinachofanywa na Nguruvi3 nikuleta uchochezi na chuki ili watu wa Arusha na KLM wamchukie Zitto,na ikiwezekana wamletee fujo,ili aje aandike si tulisema...narudia tena ulistahili ban kwa kupotosha kwa lengo unalolijua mwenyewe
Mchambuzi nawe naomba usome maelezo ya Zitto hapo chini,maana wewe unataka Zitto ataje CCM
" Zitto akasisitiza ndio mana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi,huwezi kuwa na mkoa unashika nafasi ya 4 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namna 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu,Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi,ina Ng'ombe na Pamba.Tunavita moja tu,kufanya Mapinduzi ya mfumowetu was uchumi kutoka mfumo wa kinyonyaji na kifisadi na kujenga uchumi shirikishi,pia Zitto aligusia Takwimu za watu wenye elimu ya sekondari simiyu ni 3.7%, na Dar ni 29% inaongoza nchi mzima
Wapi Zitto kasema Arusha,Kilimanjaro,zinaipokonya Shinyanga,bora weredi wenu mngeonyesha kujadili Takwimu(THDR2014).Kuliko kumlisha maneno Zitto kwa Chuki zenu bila sababu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kabla nami sijakujibu.. Labda nikuulize moja ili tuwe msitari mmoja. Je Wanawake wanapopigania mishahara sawa huwa wana maana huporwa na wanaume? Pili, tunapozungumzia Haki za Wanawake, je, unadhani kwamba hawa wanawake kandamizwi na mfumo dume bali wanaume wenyewe? Kisha turudi kwa Zitto with open mind..
cc Alinda

Kwa hapa nitamuomba nguvuri3 kwa ruhusa yake nitoke nje ya mada iil kutoa maelezo ya ufahamu wangu juu ya mfumo dume...
 
Last edited by a moderator:
Nisome kwa umakini Nguruvi3 magie3 Mchambuzi
Naeleza kilichosemwa na Zitto na source ya Takwimu alizozizotoa
Source ya Takwimu alizotoa Zitto zinatoka Tanzania Human Development Report 2014(THDR 2014).
Nanukuu maelezo ya Zitto
"Dar inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa
-16.9% Dar
-9.2% Mwanza kabla haijagawanya
-7.3%. Mbeya
-6%. Shinyanga
-5.3% Iringa
Hata hivyo Shinyanga ni moja ya mikoa yenye Umaskini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia pato la Taifa,pia akasema Mikoa yenye Maendeleo Zaidi ni Arusha,Kilimanjaro na Dar es salaam.Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7 kuchangia Pato la Taifa.(Sijaona Zitto aliposema Arusha,Kilimanjaro zinapora utajili wa Shinyanga) kinachofanywa na Nguruvi3 nikuleta uchochezi na chuki ili watu wa Arusha na KLM wamchukie Zitto,na ikiwezekana wamletee fujo,ili aje aandike si tulisema...narudia tena ulistahili ban kwa kupotosha kwa lengo unalolijua mwenyewe
Mchambuzi nawe naomba usome maelezo ya Zitto hapo chini,maana wewe unataka Zitto ataje CCM
" Zitto akasisitiza ndio mana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi,huwezi kuwa na mkoa unashika nafasi ya 4 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namna 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu,Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi,ina Ng'ombe na Pamba.Tunavita moja tu,kufanya Mapinduzi ya mfumowetu was uchumi kutoka mfumo wa kinyonyaji na kifisadi na kujenga uchumi shirikishi,pia Zitto aligusia Takwimu za watu wenye elimu ya sekondari simiyu ni 3.7%, na Dar ni 29% inaongoza nchi mzima
Wapi Zitto kasema Arusha,Kilimanjaro,zinaipokonya Shinyanga,bora weredi wenu mngeonyesha kujadili Takwimu(THDR2014).Kuliko kumlisha maneno Zitto kwa Chuki zenu bila sababu

Unachowasilisha hapo juu ni kile kile ambacho tumekuwa tunakipinga kwamba ni ulaghai, upotoshaji na ubaguzi unaofanywa na Supreme Leader Zitto dhidi ya watanzania. Aidha ulipitwa na majibu yetu juu ya hoja hii au unadhania tumesahau tulichosema. Ili kujikumbusha, bofya hapo chini:

https://www.jamiiforums.com/great-t...wa-ccm-kumaliza-upinzani-22.html#post12577398

Nadhani laptop yako uliyoacha ikwiriri sasa umeipata na upo tayari kuchambua takwimu husika.
 
Nimeelewa kuwa kazi yenu kupotosha maneno,nilichosema Laptop nimeacha Dar,na Mimi Nipo Lindi..wapi nilisema nimeacha Laptop Ikwiriri..mlisema mnataka kujua Zitto katoa wapi Takimwi nimewapa jibu hilo katoa Tanzania Human Development Report 2014,na nimesema Zitto alisemaje nikamnuu,ulihoji kwanini Zitto ajaitaja CCM,nikajibu yeye anazungumzua mfumo sio Chama,juzi tena tumemsikia Lema anasema Zitto hawezi isema vibaya CHADEMA mlitaka afanye mnayowaza nyie
majibu mmeyapata na mmeelewa,naomba mniambie wapi Zitto kasema mikoa ya Arusha,KLM inainyosha Shy
 
unatuchekesha sasa,Rozi kamili kawa mbunge viti maalumu lini?si uchaguzi wa 2010,itakuaje hiyo iwe imeandikwa 1995
Mchambuzi Nguruvi3 nawahakikishia siwezi kukimbia mjadala,sijaona Hoja ya kunikimbiza,nikimbie kwa maneno yenu mnayomlisha Zitto, wapi Zitto kasema KLM inaipokonya ShY,Zitto kazungumzia mgawo was serikali hauko sawa,nyie mnapotosha mnaleta maneno yenu,mgawo unafanywa na serikali,ata mtoto wa darasa la NNE anajua,nyie mnajitoa akili mnasema Zitto kasema KLM inaipokonya Shy mlistahili Ban kwa upotoshaji alichosema Zitto

..mimi nilikuwa nazungumzia sababu za Dr.Sla/a kutimkia CDM mwaka 95.

..nilieleza kwamba mwaka 95 Dr.Sla/a alikuwa mshindi wa kwanza na Patrick Qorro[r.i.p] alikuwa mshindi wa pili ktk kura za maoni kwa jimbo la Karatu.

..sasa CCM-NEC wakamteua Patrick Qorro kusimama kwa tiketi ya CCM. Matokeo yake Dr.Sla/a akajiengua chama hicho na kujiunga na CDM.

..baada ya kusema hayo Mkandara akanidai nilete ushahidi wa matokeo ya kura ya maoni za CCM ya mwaka 95. Mimi nikwambia ni vigumu kwangu kufanya hivyo, nikwambia the best I could do ni kuleta maelezo hayo toka glob inayoheshimika ya huyu jamaa wa Mbulu-Karatu-Hanang.

..nadhani mpaka hapo tuko pamoja sasa.

cc Mkandara, Nguruvi3, zumbemkuu
 
Last edited by a moderator:
Mkandara , ni hivi unaweza kuanzisha mada inayomhusu yoyote, tupo tutachangia kwa mitazamo yetu.

Huwezi kusubiri Lema azungumze ili upate utetezi wa supreme

Kila mmoja anawajibika kwa kauli zake.

Supreme na genge wanakula matapishi. Wanafanya kazi ya CCMya kueneza uongo.

Tunaomba utueleza,Zitto the supreme, alisema nini? Halafu lete takwimu

Mlipo omba takwimu zililetwa, mkasema hazifai.

Leteni alizotumia supreme kushambulia mikoa ya kaskazini kwa jitihada zao za kujiletea maendeleo.

Leteni hoja, si kutete kauli za supreme kwa vile Mbowe kasema au Lema kasema.

Mkiona ipo haja leteni mada. Hapa ni ACT mpini wa kuvuruga upinzani

Mkuu tetea hoja za supreme za kulimega taifa kwa shambulio dhidi ya mikoa ya kaskazini kwa hoja na takwimu kwanza!
Mkuu mbona unanichagulia maneno ya kuandika? Mada hii inahusu ACT mbona wamzungumzia Zitto? na sababu yangu kumzungumzia Lema imehusiana na maneno yake mwenyewe juu ya ACT na Zitto, halafu wewe unaweka ukomo watu waandike juu ya nini? Kama huu sio U Supreme kwa sababu tu wewe umeanzisha mada hii, utawezaje kuwa na audesity ya kusema wengine.
 
Unachowasilisha hapo juu ni kile kile ambacho tumekuwa tunakipinga kwamba ni ulaghai, upotoshaji na ubaguzi unaofanywa na Supreme Leader Zitto dhidi ya watanzania. Aidha ulipitwa na majibu yetu juu ya hoja hii au unadhania tumesahau tulichosema. Ili kujikumbusha, bofya hapo chini:

https://www.jamiiforums.com/great-t...wa-ccm-kumaliza-upinzani-22.html#post12577398

Nadhani laptop yako uliyoacha ikwiriri sasa umeipata na upo tayari kuchambua takwimu husika.

Mchambuzi mmeomba data mmeletewa na Mkuu Adharusi kakuwekea na source kuwa Zitto alipozipata "Tanzania Human Development Report" bado hautaki unaita ulaghai.

Mkuu wakati mwingine jifunzeni kusoma vitu msivyovipenda.

Mbona data zako ulizoleta watu hawajasema ulaghai.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona unanichagulia maneno ya kuandika? Mada hii inahusu ACT mbona wamzungumzia Zitto? na sababu yangu kumzungumzia Lema imehusiana na maneno yake mwenyewe juu ya ACT na Zitto, halafu wewe unaweka ukomo watu waandike juu ya nini? Kama huu sio U Supreme kwa sababu tu wewe umeanzisha mada hii, utawezaje kuwa na audesity ya kusema wengine.
Mkuu Mkandara.

Bahati nzuri ndugu yetu hapa ukumbini Mkuu Adharusi kutulitea ushahidi wa takwimu alipozipata Zitto lakini Mchambuzi hataki anaita ulaghai ngoja tumsubiri Nguruvi3 maana kapiga sana kelele akiomba hizo takwimu.
 
Last edited by a moderator:
..mimi nilikuwa nazungumzia sababu za Dr.Sla/a kutimkia CDM mwaka 95.

..nilieleza kwamba mwaka 95 Dr.Sla/a alikuwa mshindi wa kwanza na Patrick Qorro[r.i.p] alikuwa mshindi wa pili ktk kura za maoni kwa jimbo la Karatu.

..sasa CCM-NEC wakamteua Patrick Qorro kusimama kwa tiketi ya CCM. Matokeo yake Dr.Sla/a akajiengua chama hicho na kujiunga na CDM.

..baada ya kusema hayo Mkandara akanidai nilete ushahidi wa matokeo ya kura ya maoni za CCM ya mwaka 95. Mimi nikwambia ni vigumu kwangu kufanya hivyo, nikwambia the best I could do ni kuleta maelezo hayo toka glob inayoheshimika ya huyu jamaa wa Mbulu-Karatu-Hanang.

..nadhani mpaka hapo tuko pamoja sasa.

cc Mkandara, Nguruvi3, zumbemkuu
Mkuu huo sio Ushahidi ni hearsay ya mwana Blog ambaye kasikia pia kutoka kwa watu. Na wapo walosema Dr.Slaa aligombea Babati na kuchujwa huko ndio akaenda NCCR kuomba kugombea Babati wakamkatalia akajiunga na Chadema meaning Chadema ilikuwa option yake ya tatu. Hivyo kwa mwenye kuutaka ukweli nadhani angeulizwa mwenyewe au viongozi wa CCM.

Nachokisema 1995 CCM walikuwa wakichuja watu kutafuta anayekubalika kutokana na ushindani wa NCCR ulokuwepo. Hapa Mkapa inasemekana alishindwa ktk kuraza maoni ya wanachama, ati Mwalimu ndiye akampandisha hadi akashinda lakini ukiwauliza wanachama wa CCM wapige kura nchi nzima tusijue kuna upigaji kura wa wanachama wa CCM kumtafuta mgombea Urais wanayempenda?
 
Mkuu Mkandara.

Bahati nzuri ndugu yetu hapa ukumbini Mkuu Adharusi kutulitea ushahidi wa takwimu alipozipata Zitto lakini Mchambuzi hataki anaita ulaghai ngoja tumsubiri Nguruvi3 maana kapiga sana kelele akiomba hizo takwimu.
Sawa kabisa sasa inajulikana kwamba Zitto alitumia GDP kuonyesha jinsi mfumo mbovu wa mikataba unavyoweza kuwagharimu wananchi wa Shinyanga. kama nilivyosema toka zamani Chadema ilikuwa sera yao kuhakikisha mikoa hiyo inafaidika na maliasili zilizopo sasa nashangaa sana kusikia leo wanalalamika juu ya kutajwa Kilimanjaro wakati walikuwa wakizungumzia Mtwara na Lindi dhidi ya Dar sijui ilikuwa dhidi ya wazaramo?

Na toka lini watu wakafikiria kwamba unapoisema Kilimanjaro una maana Wachagga? Je, isije kuwa kweli ndivyo wanavyo fikiri kuwa Kilimanjaro ni ya wachagga na haitakiwi kuzungumziwa! wamekuwa kama Wayahudi ukisema ubaya wa serikali na Utawala wao tayari ni Anti- Semitic kwa sababu wao wenyewe wanaamini Israel is for Jews only!
 
Mkuu huo sio Ushahidi ni hearsya ya mwana Blog ambaye kasikia pia kutoka kwa watu. Na wapo walosema Dr.Slaa aligombea Babati na kuchujwa huko ndio akaenda NCCR kuomba kugombea Babati wakamkatalia akajiunga na Chadema meaning Chadema ilikuwa option yake ya tatu. Hivyo kwa mwenye kuutaka ukweli nadhani angeulizwa mwenyewe au viongozi wa CCM.

Nachokisema 1995 CCM walikuwa wakichuja watu kutafuta anayekubalika kutokana na ushindani wa NCCR ulokuwepo. Hapa Mkapa inasemekana alishindwa ktk kuraza maoni ya wanachama, ati Mwalimu ndiye akampandisha hadi akashinda lakini ukiwauliza wanachama wa CCM wapige kura nchi nzima tusijue kuna upigaji kura wa wanachama wa CCM kumtafuta mgombea Urais wanayempenda?

..hili ni jambo dogo sana kwa mimi na wewe kuvutana na kujaza server ya watu hapa.

..naomba tumalize mvutano huu kwa kukubaliana kwamba Dr.Sla/a alikuwa CCM halafu akahamia CDM.

..baada ya kujiunga CDM alishinda ubunge wa Karatu kwa vipindi vitatu mfululizo.

cc Adharusi, Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mkandara.

Bahati nzuri ndugu yetu hapa ukumbini Mkuu Adharusi kutulitea ushahidi wa takwimu alipozipata Zitto lakini Mchambuzi hataki anaita ulaghai ngoja tumsubiri Nguruvi3 maana kapiga sana kelele akiomba hizo takwimu.
Alicholeta Adharusi si takwimu. Chukua zile za Mchambuzi uweke sambamaba na za Adharusi! Mlima na Kichugu

Yaani imetia uvivu kujadili takwimu zake ndio maana tumeamua kukaa kimya.
Hivi unaweza kusema Dar inachangia 9% na K'njaro 1% ukaja na conclusion kweli! real!

Ndio maana tunapiga kelele, supreme si kuwa anapotosha tu bali anaharibu uwezo wa vijana kufikiri
 
Mkuu mbona unanichagulia maneno ya kuandika? Mada hii inahusu ACT mbona wamzungumzia Zitto? na sababu yangu kumzungumzia Lema imehusiana na maneno yake mwenyewe juu ya ACT na Zitto, halafu wewe unaweka ukomo watu waandike juu ya nini? Kama huu sio U Supreme kwa sababu tu wewe umeanzisha mada hii, utawezaje kuwa na audesity ya kusema wengine.
Hapana mkuu hakuna ukomo, tunajaribu kuzuia watu 'wasichepuke''

Wamejaribu kusema supreme asijadiliwe, wengine wakaingiza escrow na wengine gas na mafuta, kahawa n.k. katika kuhakikisha tunaondoka katika mada ili kumnusuru supreme na hoja nzito mbele ya meza yake

Hapa hakuna u-supreme, ukitaka u-supreme lazima uteuliwa na jopo masaa 24 (siri kali) kisha utawazwe kupitia mkutano mkuu. I mean unatangazwa na kutawazwa hapo hapo.
 
Mkuu wewe ni mdini na mkabila, ni wapi katiba ya nchi imesema mhaya hawezi kuwa rais wa nchi hii?
Unaweza kutoa ushahidi wa ubaguzi wa kidini, kikabila na kikanda unaofanywa na viongozi wa juu wa kisiasa ukiacha kiongozi mkuu wa ACT?

Also the constitution doesn't stipulate that the presidency should alternate between Christians and Muslims? Does it. The answer is no. The question now is why the country elects a muslim president after a christian and vice versa? Is this by design or by coincidence? The truth of the matter is it's by design.

The constitution of any country is as good as the people who follow it. What's more, the constitution alone can't describe every aspect of the society or daily routines of individuals. For instance, you don't wake up every morning thinking about following the constitution. As a matter of fact many Tanzanians don't understand the importance of the constitution. So for the constitution work, it's to be complemented by social norms. Currently, our social norms say that a Haya can't be a president even though there are a good number of qualified Hayas out there.

Likewise, the social norms in CDM say Zitto couldn't be a chairman of the party. Call me name anything you want, but that is the truth.

With regard to ACT, it is a social group too. They will create or probably they have already created their social norms too.

The entire debate we are having here isn't about the violation of the constitution or laws, but rather the social norms. The constitution of Tanzania doesn't say anything about the distribution of wealth and Zitto is entitled to say that Shinyanga isn't getting its share of the deal.

The guardians of social norms will say Zitto is playing divisive politics. Some of us who love red-meat politics we say bring it on.
 
Unachowasilisha hapo juu ni kile kile ambacho tumekuwa tunakipinga kwamba ni ulaghai, upotoshaji na ubaguzi unaofanywa na Supreme Leader Zitto dhidi ya watanzania. Aidha ulipitwa na majibu yetu juu ya hoja hii au unadhania tumesahau tulichosema. Ili kujikumbusha, bofya hapo chini:

https://www.jamiiforums.com/great-t...wa-ccm-kumaliza-upinzani-22.html#post12577398

Nadhani laptop yako uliyoacha ikwiriri sasa umeipata na upo tayari kuchambua takwimu husika.
Kijana kaweka asilimia akisema ni takwimu. Hakuna analysis nyingine aliyoona bali kutupa namba tu kwavile kasikia kutoka kwa supreme

Hapa napata nguvu sana ya kupambana na ulaghai, maana kizazi kinavia, kina 'najisiwa' na kudhalilishwa

Ukimuuliza afafanue kwa mistari miwili, hawezi. Maana hajui hata 9.6 imepatikana kutokana na nini
Yeye kameza tu kutoka kwa supreme. Huyu supreme ni hatari kwa ustawi wa taifa

Hapo kijana amaamini ni kweli Shinyanga inaporwa kwa mujibu wa supreme
Kakwepa hoja za supreme kaumba umba maneno.

Tusichoke ama sivyo kizazi kitaangamia mikononi mwa malaghai!
 
Mkandara,
Pengine wewe na Zitto wote mnahitaji elimu kidogo juu ya tofauti iliyopo baina ya Tax revenues & Gross Domestic Product (GDP). Kutojadili dhana hizi kwa kuzitofautisha ni kupotosha ukweli uliopo na pia kuchanganya wananchi. Hicho ndicho Zitto anajadili zaidi – anaipa GDP umuhimu kuliko Tax Revenues. Tuangalie dhana hizi japo kwa ufupi, moja baada ya nyingine.
Tuangalie dhana ya Tax Revenues” – hii maana yake ni individual income taxes, business income taxes and other taxes ambazo serikali hukusanya kupitia both direct and indirect channels. Kwahiyo Kodi zote zinazokusanywa na serikali kutoka kwa wamachinga wanaoendesha biashara zao, mapato kutoka kwenye kodi za mazao, kodi ya ongezeko la thamani (VAT), iwe ni kwa kununua vocha/airtime ya mtandao wa simu, mkate, maji ya uhai, mafuta ya taa, kibiriti, sabuni, zote hizi kwa ujumla wake ni tax revenues za serikali. Nadhani hadi hapa unaona jinsi gani katika mazingira ya nchi kama Tanzania, ‘tax revenues’ zinagusa maisha ya wananchi walio wengi, moja kwa moja kuliko GDP. Tutaona kwa undani juu ya ukweli huu hapo chini.

Tukija kwenye dhana ya pili - pato la taifa (GDP), maana yake ni – total value (market value) of goods and services produced in a national economy. Uzalishaji katika kila sekta, kila mkoa unachukuliwa, aggregated na kupata ‘a national figure’. Kwa mfano tukichukulia Kanda ya Ziwa Victoria na Kanda ya Kaskazini, maana yake, tunachukua jumla ya uzalishaji uliofanyika katika sekta mbali mbali za uchumi husika i.e. sekta ya madini, viwanda, huduma za kibenki, huduma za mawasilano, kilimo, ufugaji, uvuvi n.k.

Swali linalofuata ni je, kati ya wananchi wa kanda ya Ziwa na kanda ya Kaskazini, ni wepi ambao wanashiriki zaidi katika uzalishaji (GDP) (in value added terms)? Ukweli ni kwamba, kwa sababu zilizo wazi, wananchi wa Kaskazini wapo more involved (in value added terms) katika GDP kuliko Kanda ya Ziwa. Tofauti na Kanda ya Ziwa, kwa Kanda ya Kazkazini, biashara kubwa kubwa, uwekezaji mkubwa, kwa kiasi kikubwa sana upo mikononi mwa wakazi wa Kanda hiyo, pengine kuliko kanda nyingine zote nchini Tanzania. Kwa upande wa kanda ya Ziwa, ni wananchi wachache sana ambao wanaomiliki njia kuu za uzalishaji/uchumi kwani njia kuu za uchumi Katika Kanda hii zimeshikiliwa zaidi na wageni (hasa wawekezaji kutoka nje), kwa mfano, madini, uvuvi, madini, n.k.

Hadi hapa nadhani tunaweza kuona kwamba (in real terms), mchango wa wananchi wa Kanda ya Kaskazini kwenye GDP ya taifa ni mkubwa kuliko wa Kanda ya Kaskazini. Kumbuka - hapa tunatofautisha baina ya ‘mchango wa Kanda’ na ‘mchango wa wananchi wa Kanda’ husika i.e real contribution. Zitto anafumbia macho real contribution ya wananchi, badala yake anajadili mchango wa geographic and physical features (kanda) bila ya kujali nani anamiliki njia kuu za uzalishaji au anashiriki ni real terms katika uzalishaji, na anaishia kulaumu kanda zenye mchango mkubwa wa “watu” katika pato la taifa kwamba ndio sababu ya umaskini wa kanda zilizojaliwa rasilimali lakini watu wake hawapo productive. Note, kuna tofauti baina ya being active and being productive.

Kama tupo pamoja hadi hapa, basi tutakubaliana kwamba pamoja na ukweli kwamba kanda ya ziwa victoria ina rasilimali nyingi kuliko kanda ya Kaskazini, haina maana kwamba wananchi wa kanda ya ziwa (majority) wana mchango mkubwa wa nguvu kazi (kwa maana ya utilization of such resources) in the process of kuchangia GDP. Their value remains more nominal than real. Hii ni tofauti na wananchi wa kanda ya Kaskazini. Kwa maana nyingine rahisi, wasukuma wamejaliwa rasilimali nyingi sana, mkoa wao unachangia sana pato la taifa, lakini tofauti na wasukuma, wachaga wapo more involved katika kuchangia katika pato la taifa kwa sababu ambazo tumejadili hapo juu.

Kwa maana hiyo, njia sahihi ya kuangalia mchango wa kanda moja dhidi ya nyingine, ni kwa kuangalia zaidi ‘Tax Revenues collected’ (kwani hii inahuisha wananchi walio wengi),na sio mchango wao kwa pato la taifa. Utilization of natural resources ipo chini ya watu wachache kama tulivyojadili. Kwa kumalizia, tuangalie sana mchango wa kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini katika makusanyo ya Kodi. I extracted sehemu ndogo tu ambayo bado inatupa picha kamili.

[TABLE="width: 570"]
[TR]
[TD="colspan: 5"]Direct Tax (Regional wise) - Domestic Revenue Department for 2012/2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TAX ITEM[/TD]
[TD="colspan: 4"] 1st Quarter 2012/13 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] July [/TD]
[TD] August [/TD]
[TD] September [/TD]
[TD] Total [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MJKNIA[/TD]
[TD] 4,439.4[/TD]
[TD] 4,951.6[/TD]
[TD] 3,842.0[/TD]
[TD] 13,233.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD] 4,147.7
[/TD]
[TD] 3,195.3
[/TD]
[TD] 3,371.5
[/TD]
[TD] 10,714.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Coast[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 69.9[/TD]
[TD] 74.1[/TD]
[TD] 144.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dodoma[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 0.3[/TD]
[TD] 1.1[/TD]
[TD] 1.5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iringa[/TD]
[TD] 7.4[/TD]
[TD] 28.8[/TD]
[TD] 13.9[/TD]
[TD] 50.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kagera[/TD]
[TD] 885.6[/TD]
[TD] 1,143.1[/TD]
[TD] 1,343.8[/TD]
[TD] 3,372.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kigoma[/TD]
[TD] 36.9[/TD]
[TD] 243.3[/TD]
[TD] 178.0[/TD]
[TD] 458.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimanjaro
[/TD]
[TD] 3,564.7
[/TD]
[TD] 3,765.7
[/TD]
[TD] 2,666.5
[/TD]
[TD] 9,996.8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lindi[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 2.2[/TD]
[TD] 5.7[/TD]
[TD] 7.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mara[/TD]
[TD] 4,146.7[/TD]
[TD] 4,703.0[/TD]
[TD] 4,603.2[/TD]
[TD] 13,453.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya[/TD]
[TD] 1,482.4[/TD]
[TD] 1,084.4[/TD]
[TD] 1,067.1[/TD]
[TD] 3,633.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morogoro[/TD]
[TD] 1.7[/TD]
[TD] 15.8[/TD]
[TD] 20.4[/TD]
[TD] 38.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mtwara[/TD]
[TD] 5.1[/TD]
[TD] 245.1[/TD]
[TD] 126.6[/TD]
[TD] 376.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanza
[/TD]
[TD] 1,031.3
[/TD]
[TD] 910.1
[/TD]
[TD] 1,243.3
[/TD]
[TD] 3,184.7 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ruvuma[/TD]
[TD] 19.4[/TD]
[TD] 34.9[/TD]
[TD] 31.4[/TD]
[TD] 85.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shinyanga
[/TD]
[TD] 4.9
[/TD]
[TD] 14.1
[/TD]
[TD] 15.8
[/TD]
[TD] 34.8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Singida[/TD]
[TD] 1.8[/TD]
[TD] 3.5[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 5.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tabora[/TD]
[TD] 4.4[/TD]
[TD] 2.6[/TD]
[TD] 0.1[/TD]
[TD] 7.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanga[/TD]
[TD] 883.5[/TD]
[TD] 3,197.6[/TD]
[TD] 4,517.9[/TD]
[TD] 8,599.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa[/TD]
[TD] 9.9[/TD]
[TD] 3.8[/TD]
[TD] 7.2[/TD]
[TD] 20.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manyara[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTAL (GROSS)[/TD]
[TD] 20,672.9 [/TD]
[TD] 23,615.3 [/TD]
[TD] 23,129.6 [/TD]
[TD] 67,417.7
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]------[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 5"]Indirect Tax (Regional wise) - Domestic Revenue Department for 2012/2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TAX ITEM[/TD]
[TD="colspan: 4"] 1st Quarter 2012/13 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] July [/TD]
[TD] August [/TD]
[TD] September [/TD]
[TD] Total [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ilala[/TD]
[TD] 13,052.4[/TD]
[TD] 16,958.5[/TD]
[TD] 17,079.3[/TD]
[TD] 47,090.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kinondoni[/TD]
[TD] 5,205.8[/TD]
[TD] 8,330.5[/TD]
[TD] 8,810.6[/TD]
[TD] 22,346.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Temeke[/TD]
[TD] 432.9[/TD]
[TD] 3,213.8[/TD]
[TD] 3,636.2[/TD]
[TD] 7,282.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD] 6,033.4
[/TD]
[TD] 5,208.5
[/TD]
[TD] 7,045.7
[/TD]
[TD] 18,287.6 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Coast[/TD]
[TD] 95.2[/TD]
[TD] 230.2[/TD]
[TD] 209.9[/TD]
[TD] 535.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dodoma[/TD]
[TD] 199.7[/TD]
[TD] 558.3[/TD]
[TD] 352.3[/TD]
[TD] 1,110.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iringa[/TD]
[TD] 415.5[/TD]
[TD] 766.6[/TD]
[TD] 506.0[/TD]
[TD] 1,688.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kagera[/TD]
[TD] 473.1[/TD]
[TD] 602.5[/TD]
[TD] 520.7[/TD]
[TD] 1,596.3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kigoma[/TD]
[TD] 157.5[/TD]
[TD] 195.4[/TD]
[TD] 188.1[/TD]
[TD] 541.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimanjaro
[/TD]
[TD] 1,060.9
[/TD]
[TD] 1,192.9
[/TD]
[TD] 1,298.7
[/TD]
[TD] 3,552.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lindi[/TD]
[TD] 25.0[/TD]
[TD] 64.6[/TD]
[TD] 187.1[/TD]
[TD] 276.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mara[/TD]
[TD] 388.4[/TD]
[TD] 447.3[/TD]
[TD] 324.0[/TD]
[TD] 1,159.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya[/TD]
[TD] 739.1[/TD]
[TD] 930.4[/TD]
[TD] 870.1[/TD]
[TD] 2,539.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morogoro[/TD]
[TD] 720.8[/TD]
[TD] 767.0[/TD]
[TD] 847.0[/TD]
[TD] 2,334.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mtwara[/TD]
[TD] 53.8[/TD]
[TD] 1,535.7[/TD]
[TD] 271.8[/TD]
[TD] 1,861.3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanza
[/TD]
[TD] 1,231.5
[/TD]
[TD] 1,542.3
[/TD]
[TD] 1,831.3
[/TD]
[TD] 4,605.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ruvuma[/TD]
[TD] 165.3[/TD]
[TD] 212.8[/TD]
[TD] 210.9[/TD]
[TD] 588.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shinyanga
[/TD]
[TD] 531.3
[/TD]
[TD] 374.7
[/TD]
[TD] 264.4
[/TD]
[TD] 1,170.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Singida[/TD]
[TD] 103.5[/TD]
[TD] 108.2[/TD]
[TD] 138.2[/TD]
[TD] 349.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tabora[/TD]
[TD] 342.4[/TD]
[TD] 377.0[/TD]
[TD] 338.3[/TD]
[TD] 1,057.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanga[/TD]
[TD] 149.4[/TD]
[TD] 1,025.3[/TD]
[TD] 919.1[/TD]
[TD] 2,093.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa[/TD]
[TD] 93.1[/TD]
[TD] 122.4[/TD]
[TD] 122.9[/TD]
[TD] 338.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manyara[/TD]
[TD] 37.7[/TD]
[TD] 259.5[/TD]
[TD] 236.8[/TD]
[TD] 534.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTAL (GROSS)[/TD]
[TD] 31,707.6 [/TD]
[TD] 45,024.4 [/TD]
[TD] 46,209.5 [/TD]
[TD] 122,941.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]----------[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 5"]Customs and Excise (Regional wise) - Department for 2012/2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TAX ITEM[/TD]
[TD="colspan: 4"] 1st Quarter 2012/13 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] July [/TD]
[TD] August [/TD]
[TD] September [/TD]
[TD] Total [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]D'Salaam SC[/TD]
[TD] 206,972.3[/TD]
[TD] 233,347.1[/TD]
[TD] 209,441.3[/TD]
[TD] 649,760.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MJKNIA[/TD]
[TD] 4,439.4[/TD]
[TD] 4,951.6[/TD]
[TD] 3,842.0[/TD]
[TD] 13,233.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD] 4,147.7
[/TD]
[TD] 3,195.3
[/TD]
[TD] 3,371.5
[/TD]
[TD] 10,714.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Coast[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 69.9[/TD]
[TD] 74.1[/TD]
[TD] 144.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dodoma[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 0.3[/TD]
[TD] 1.1[/TD]
[TD] 1.5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iringa[/TD]
[TD] 7.4[/TD]
[TD] 28.8[/TD]
[TD] 13.9[/TD]
[TD] 50.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kagera[/TD]
[TD] 885.6[/TD]
[TD] 1,143.1[/TD]
[TD] 1,343.8[/TD]
[TD] 3,372.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kigoma[/TD]
[TD] 36.9[/TD]
[TD] 243.3[/TD]
[TD] 178.0[/TD]
[TD] 458.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimanjaro
[/TD]
[TD] 3,564.7
[/TD]
[TD] 3,765.7
[/TD]
[TD] 2,666.5
[/TD]
[TD] 9,996.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lindi[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 2.2[/TD]
[TD] 5.7[/TD]
[TD] 7.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mara[/TD]
[TD] 4,146.7[/TD]
[TD] 4,703.0[/TD]
[TD] 4,603.2[/TD]
[TD] 13,453.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya[/TD]
[TD] 1,482.4[/TD]
[TD] 1,084.4[/TD]
[TD] 1,067.1[/TD]
[TD] 3,633.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morogoro[/TD]
[TD] 1.7[/TD]
[TD] 15.8[/TD]
[TD] 20.4[/TD]
[TD] 38.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mtwara[/TD]
[TD] 5.1[/TD]
[TD] 245.1[/TD]
[TD] 126.6[/TD]
[TD] 376.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanza
[/TD]
[TD] 1,031.3
[/TD]
[TD] 910.1
[/TD]
[TD] 1,243.3
[/TD]
[TD] 3,184.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ruvuma[/TD]
[TD] 19.4[/TD]
[TD] 34.9[/TD]
[TD] 31.4[/TD]
[TD] 85.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shinyanga
[/TD]
[TD] 4.9
[/TD]
[TD] 14.1
[/TD]
[TD] 15.8
[/TD]
[TD] 34.8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Singida[/TD]
[TD] 1.8[/TD]
[TD] 3.5[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 5.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tabora[/TD]
[TD] 4.4[/TD]
[TD] 2.6[/TD]
[TD] 0.1[/TD]
[TD] 7.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanga[/TD]
[TD] 883.5[/TD]
[TD] 3,197.6[/TD]
[TD] 4,517.9[/TD]
[TD] 8,599.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa[/TD]
[TD] 9.9[/TD]
[TD] 3.8[/TD]
[TD] 7.2[/TD]
[TD] 20.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manyara[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTAL (GROSS)[/TD]
[TD] 227,645.2 [/TD]
[TD] 256,962.4 [/TD]
[TD] 232,570.9 [/TD]
[TD] 717,178.5 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Source: TRA
---------------

Mkandara
,

Ukiangalia sample tu hapo utagundua haya:

1. Kanda ya Kaskazini inachangia zaidi katika direct taxes kuliko kanda ya Ziwa.
2. Kanda ya Kaskazini inachangia zaidi katika indirect taxes kuliko kanda ya ziwa.
3. Kanda ya kaskazini inachangia zaidi katika customs and excise kuliko Kanda ya Ziwa.

Kigoma ndio insignificant kabisa.

Je wewe, Zitto na wenzenu wengine hamuoni kwamba mnapotosha ukweli wa mambo?
Je, hamuoni kwamba in actual sense, wananchi wa kaskazini ndio wananyonywa zaidi na wananchi wa victoria kwa sababu mgao ambao zitto anaujadili basically unatokana na mapato ya kodi? Au Zitto anadhania GDP ni kitu kinachokusanywa na kugawanywa kama njugu?

Zitto atadanganya wengine, na kuwaaminisha nyinyi kwa kila kitu kwa sababu tu ni Zitto kasema. Tupo wachache ambao hatudanganyiki.
Mchambuzi,

..hii mada yako naomba umshirikishe jamaa mmoja anaitwa Kapwela.

..tuliwahi kujadili hizi fitina za Zitto Kabwe lakini hatukuelewana, nadhani wewe umeelezea vizuri sana ukisaidiwa na data.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom