Alinda
Platinum Member
- Jun 26, 2008
- 1,695
- 2,149
- MARA YA KWANZA ALIANDIKA HIVI
- "Dar inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa
-16.9% Dar
-9.2% Mwanza kabla haijagawanya
-7.3%. Mbeya
-6%. Shinyanga
-5.3% Iringa
Hata hivyo Shinyanga ni moja ya mikoa yenye Umaskini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia pato la Taifa, mikoa yenye Maendeleo Zaidi ni Arusha,Kilimanjaro na Dar es salaam.Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7 kuchangia Pato la Taifa.
- BAADA WA WATU KUMBANA HASA AL GUIDO:: NDO AKAJA KIVINGINE NA NDO HAPO IKATOKEA SINTOFAHAMU NDO ZITTO KAANDIKA HAYO MANENO LAKINI KWA KUYATENGANISHA: HIYO ILIKUWA KABLA YA HOTUBA YA YEYOTE ILE: KAMA ANABISHI AJE HAPA ADHIBITISHE:
- Dar inaongoza kwa kuchangia Pato la Taifa ambapo mchango wake kwenye pato la Taifa ni 16.9%. Inafuatiwa na Mwanza [kabla haijagawanywa] 9.2%, Mbeya 7.3%, Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa.
Ndio maana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi. Huwezi kuwa na mkoa unashika namba 5 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namba 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu. Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.
Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu- Na ukisoma michango ya watu wanataja "Kilimanjaro" lakini Kilimanjaro hap juu katika maelezo yake mapya hakuna Kilimanjaro.. Sasa tujiulize kama hakufuta Kilimanjaro katika michango ya watu ilitoka wapi?
- Like · Comment · Share
- 559 people like this.
- 91 shares
![]()
- Mubarak Kibarabara Go Zitto Kabwe Go zitto...always ahead of them all
5 April at 14:47 · Like · 13![]()
- Mseeni Merin Erick Arusha haiko tatu bora?
5 April at 14:48 · Like · 2![]()
- Alphonce Isangu Mkuu, Kigoma imesimamaje ktk kuchangia pato la serikali na vipi nafasi yake ktk maendeleo ya Watu wake?
5 April at 14:59 · Like · 11![]()
- Al Guido Mh Zitto Kabwe, hapa kwa kiasi fulani naona kama unataka kupotosha haswa kwa mkoa wa Kilimanjaro kwa kuweka hisia haustahili maendeleo uliyonayo, nakupa mfano wa mkoa wa Kilimanjaro kwa maana naujua zaidi ya hiyo mikoa mingine.
Kwanza, ni mkoa mdogo zaidi Tanzania bara ukiacha Dar maana yake mgawanyo wa maendeleo unatapakaa kirahisi zaidi. Ukiacha hayo mahali mkoa huu ulipo ni katika ukanda wa njia kuu za uchumi! Mkoa huu unapakana na Arusha (jiji ambalo lipo ndani ya nafasi za juu za kuingiza mapato Kitaifa), Tanga (bandari) na Kenya (mshirika mkuu wa biashara na Tanzania na pia ukaribu wake na bandari ya Mombasa unarahisisha uchukuzi);
Pili, una historia pia ya kuchangia mapato makubwa kwa Taifa kipindi cha zao la kahawa kuvuma kipindi cha nyuma kabla na baada ya uhuru mpaka miaka ya sabini kabla ya Brazili na Colombia kuingia rasmi na kunyakua soko la kahawa duniani;
Tatu, uchumi wake unalalia kwenye kutoa huduma baada ya zao la kahawa na viwanda kufa, yaani elimu, utalii na kwa mbali afya ambazo kwa kiasi kikubwa ni juhudi binafsi za wahusika wa huko! Nyingi ya taasisi zinazotoa huduma hizi ni binafsi zikimilikiwa na madhehebu ya Kilutheri na Katoliki na hata zile za serikali zipo zilizotaifishwa toka taasisi binafsi za kidini na pia hata chama cha Ushirika;
Nne, kihistoria wamisionari na walowezi wa Kizungu walipenda mandhari za mkoa huu tangu mwanzo na waliweka makazi na kuamsha muamko wa maendeleo toka enzi hizo. Jaribu kufanya siasa safi na usipotoshe hali halisi maana huo mkoa unaojaribu kuweka hisia unapendelewa, hauna wawakilishi katika serikali kuweka upendeleo huo maana uko upinzani.
Zaidi ya hayo, utuelezee ni mapato yapi unayoongelea kama ni (VAT, royalty tax, revenue tax, income tax, PAYE, corporate tax ama?); maana kwenye list ya TRA 2014-2015 direct tax (million Tshs) hiyo mikoa uliyosema inachangia mapato zaidi haipo. Kumi bora ni Ilala, Kinondoni, Temeka, Arusha, Mwanza, Kilimanjaro, Morogoro, Dodoma, Iringa na Tanga. Tanzania Revenue Authority - Tax collection statistics
Tanzania Revenue Authority - Tax collection statistics
Tanzania Revenue Authority website
tra.go.tz|By Super User
5 April at 19:42 · Edited · Unlike · 69![]()
- Cristous Saprapasen ... Al Guido pamoja na maelezo yako mazuri kuhusu mkoa wa Kilimanjaro.
1. Hapa Zittohakuutaja mkoa wa Kilimanjaro zaidi ya kuonesha kutaka kupiga campaign Shinyanga.
5 April at 18:41 · Like · 16![]()
- Al Guido Cristous Saprapasen, nimemjibu kwenye hitimisho alianza hapo https://www.facebook.com/zittokabwe/posts/914235375263827... Na ningefurahi kama angetuonyesha mgao wa hayo mapato ya serikali (Taifa) kwa shughuli za maendeleo kwa kila mkoa katika hii hoja yake!
Zitto Kabwe
Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7.
5 April at 19:02 · Edited · Like · 29![]()
- Josephat Lotto Zitto jibu sasa umekutana na wenye upeo na takwimu zenye reference
5 April at 21:30 · Like · 9![]()
- Manywele Omary Watanzania acheni chuki na dhihaki, hapa suala ni mkoa gani unachangia kiasi gani ktk GDP kupitia kodi, na siyo mkoa gani una nini. So maendeleo yako yawe yanalipiwa kodi pia. Huwezi kuwa tajiri then ukawa was mwisho ktk kutoa kodi hapo lazima kuna walakini...nawaomba muwe mnaangalia jambo kwa kina na siyo kuwa na biased arguments.
5 April at 21:41 · Like · 7![]()
- Al Guido Manywele Omary, soma vizuri utaelewa nimemuomba ufafanuzi wa aliyosema, haya ni majadiliano na kama kuna upotoshaji ama wa makusudi au bahati mbaya tutarekebishana! Na kuhusu makusanyo ya kodi kwa mkoa uliotajwa http://www.ippmedia.com/.../functions/print_article.php...
Why Kilimanjaro regional revenue collection efficient
Amidst challenges the Tanzania Revenue Authority (TRA) in Kilimanjaro region has success story to be proud of during the 2012/2013 financial year. During the year TRA in Kilimanjaro recorded a tax collection of 90.6 bn/- compared to the previous year of 2011/12 when it collected 77.2 bn/-. This incr…
ippmedia.com
6 April at 08:03 · Edited · Like · 12![]()
- Daniel George Ngwenya Nadhani kunakuchanganya mambo hapa!
Mikoa iliyo "changamka" inatokana na watu wenyewe kuwa na uchungu wa maendeleo na Siyo wamepewa kiasi gani kutoka kwenye mgawo wa mapato!
Majengo na kasi ya uchumi mfano Arusha ni watu wenyewe. Nyumba gani unaifahamu...See More
6 April at 06:47 · Like · 7![]()
- Manywele Omary Asante Al Guido, umeonesha ni kiasi gani unashiriki kufuatilia mambo muhimu, hii ni report ya individual performance kwa mkoa wa Kilimanjaro only, kuonesha walivyokaribia target ya makusanyo ya 103bn (90.6n collected with PAYE being above VAT). Labda t...See More
6 April at 07:54 · Edited · Like · 4
Max Mushi Zitto acha chuki na ubaguzi
Hisia za watu huwezi kuzitumia wewe great thinker kujengea hoja NZITO kama hii.
Kwani hujasikia kuna watu wanahisi kuwa Benard Membe na Rais Kikwete ni watoto wa Baba mmoja?sasa great thinker ukija hapa na kutuletea data hizo kwa ushahidi wa hisia za watu hatutawashangaa watu hao bali tutakushangaa wewe.
Inabidi uombe msamaha kwa kumislead watu kwa kunyofoa tu kipande wakati ungeweza kuleta taarifa nzima watu wajisomee wenyewe na wakafanya judgement.Hili sio jambo la kiungwana.
NA tena, unatoa kijipande alafu unajifanya kuuliza alimaanisha nin?kwani huwezi kusoma taarifa nzima ukaelewa?na kama huwezi kuielewa si ungewapa watu taarifa nzima wakueleweshe?bu tuache propaganda kwenye mambo muhimu.Vinginevyo tuombe JF waanzishe jukwaa la propaganda ili wanaotaka kufanya propaganda wakafanye huko.
Unajua mambo mengine yanakera sana.
Maana kama hii ndio level yake ya ukweli wake chini ya kiapo,unajiuliza je asipoapa sasa inakuwaje?soma hapo post yake ya kwa Barubaru leo, hajadeclare kuwa ni VIPANDE VYA SEHEMU NZIMA alafu ANAAPA KWELI KWELI TUPU!shame.
Inakera sana, wakati wote ni propaganda propaganda propaganda propaganda.
Hakuna tofauti ya aliyekwenda shule na ambaye hakwenda.
hapo hakuna hisia ni mwendo wa Fact tu..
Je hilo bandiko liko Facebook au halipo?
Je umesoma hapo juu kuna Kilmanajaro au haipo? Kama haipo je wachangiaji wanaoitaja Kili wameitoa wapi? na umemsoma Zitto mwenyewe alirudisha alichokuwa amenyofoa lakini kwa namna nyingine? (na hii ni baada ya wachangiaji kupoteza muelekeo) hiyo ni tarehe 5.4 hata kabla ya Nguvuri3 hajaleta uchambuzi wake humu.
Sasa basi kuchukua hayo maandishi ya juu, unganisha na maandishi ya Zitto aliyonyofoa na kuyarudisha, unganisha hayo maneno.. Sema ni wapi nimeongeza hata neno moja?? twende taratibu si kwa kukashifiana..











