Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Mchambuzi Nguruvi3 nazani wanaugua kila wanapoona Zitto anashine na amekuwa hana mbadara kwa kizazi cha kina Zitto katika siasa,na wanaumia sana kuona Zitto anakubalika Nchi mzima,anaweza kufanya mkutano sehemu yoyote TZA na watu wakaenda kumsikiliza,kabla Mnyika ajawa mtumwa kifikra kwa MBOWE alikua anakuja kuwa mshindani mzuri wa siasa kwa vijana,na angekua adhina,Mara akaanza kuwa MTU wa matusi,alimtukana Mzee Sitta,na sasa hivi siasa chafu imekua kawaida ,Zitto hana hayo anazungumza issue,hasubili madereva wagome ili haongee...
"Kumchukia Zitto katika siasa za bongo na Africa ni sawa kumchukia Messi katika soka,au Diamond katika bongo freva, utajikuta unakesha kutafuta madhahifu yake ili upate cha kusema,yeye ni binadamu hakosi madhaifu ,tunakubali,ata waraka wa mabadiriko ulisema ilo"
Namshangaa Mchambuzi anakuja na dai jipya ooh anajifananisha na Nyerere,wapi kasema?kazungumzia ujamaa ambao uliletwa kipindi cha Nyerere,baadhi ya mambo ACT itayapigania,kama usaliti ata mwalimu alikua nao,katuingiza vitani na Uganda sababu ya kutaka Obote arudi madarakani,alichofanya IDD Amin,akuanzae Mmalize.umeleta wewe Mchambuzi mambo ya Mwalimu Nyerere, maana Nguruvi3 achelewi kunishutmu Mimi nimetoka nje ya mada.
Nguruvi3 Mchambuzi kuna jambo silielewi Zitto alipola Chama au alianzisha Chama?maana mnanichanganya nyie Manguri wa siasa,mnaejua mpaka maisha ya baadae ya siasa ya Zitto
Kila jambo litakalo letwa(social media),kuandikwa (magazeti),tena likiwa Hasi kwa Zitto Nguruvi3 hataki kutumia akili yake kuhoji,atalimeza kama lilivyo,na kumtaka Zitto aje kukanusha,vinginevyo anausika,wakati kuna mambo mengi Zitto amekanusha,waraka,usalama wa Taifa,n.k lakini Nguruvi3 hataki kukubali,sasa sijui kwa nini anataka awe anakuja kukanusha kitu ambacho hawezi kukubali

Last edited by a moderator: