Mkuu Mkandara , the more supremes zelotes open up, they expose him in precarious situation.
Hayo maneno si ya supreme leader. Tangu mjadala uanze jukwaa la siasa ulikoshiriki vema hadi wakati huu, hujawahi kutumia maneno stahiki
Unachokifanya ni spinning inayoonyesha ulivyotekwa na fikra za ulaghai kama supreme, wanasema disingenuous
Umetaja Knjaro na Shinyanga ili kupunguza wigo wa eneo supreme aliloshambulia .
Tuweke rekodi sawa, supreme alishambulia Knjaro na Arusha kutokea Shinyanga na Mwanza. No more no less
Tutayatumia maneno yako kukuonyesha twisting haimsaidii supreme
1 Shinyanga wanachangia sana hawapewi stahiki,Kilimanjarowanachangia kidogo wanapewa stahiki
Tunarudia kusisitiza haya si maneno yake,lakin tuyajadili kama ulivyoyaumba
Historia : Tume ya Kamala ikikusanya maoni (EAC)kushirikisha Burundi na Rwanda, Zitto alisema bungeni Msiogope EAC,MbonaKilimanjaro wameendelea kuliko Kigoma?
Ukisoma kauli yake(kwa mujibu wako) Supreme leader anasema Knjaro inapata stahiki, Shinyanga haipati stahiki(ukiondoa Arusha) ili kupunguza wigo wa shambulio la kisiasa alilofanya
Tunakuuliza, kwanini alisema Knjaro inapata stahiki yake?
Je,alikuwa na takwimu za kuthibitisha hilo? Kwanini alitumia Knjaro na si mikoa 6 iliyoko mbele ya Knjaro?
Ni stahiki gani inayopata ambayo Shinyangahaipati?
Je, hii si historia ya chuki dhidi ya Knjaro kama alivyoanza wakatiwa EAC?
Tungependa wewe na Zitto mtuonyeshe stahiki zipi na kiwango gani ambazo Shinyanga inanyimwa na Arusha/Knjaro zinapata.
Ndio maana tunasema, kadri mnavyoleta utetezi usio na mashiko, mnamweka mahali pabaya kisiasa.
Leo tunajua kumbe Zitto ana data zinazoonyesha Knjaro inapata stahiki dhidi ya Shinyanga, na wala si Sumbawanga, Tabora au Lindi
Mnajribu kutuonyesha attack ya Zitto-ACT dhidi ya mikoa ya kaskazini ni ya kukusudia kabisa.