Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Mkuu umesahau umetupa reference mwenyewe?
Nguruvi3

Unaombwa kitambulisho cha kazi unaleta passport.

Mimi nafanya reference hapa kwenye hii hotuba.

Tanga ni ya 8 katika kuchangia Pato la Taifa. Pia ni mkoa wa 8 kwa kiwango cha maendeleo ya watu wake.Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7.Mikoa iliyo nyuma zaidi kimaendeleo nchini ni Kigoma, Singida, Dodoma, Kagera na Tabora. Hata hivyo Tabora ni mkoa wa 10 kwa kuchangia katika Pato la Taifa na Kagera ni mkoa wa 11 katika GDP.Mikoa yenye mchango mdogo zaidi kwenye Pato la Taifa ni Pwani (1.85%), Lindi (1.89%) na Singida (1.92%). Hata hivyo Lindi inashika nafasi ya 9 kwa Maendeleo, juu ya Shinyanga inayochangia 6% katika GDP.Dar inaongoza kwa kuchangia Pato la Taifa ambapo mchango wake kwenye pato la Taifa ni 16.9%. Inafuatiwa na Mwanza [kabla haijagawanywa] 9.2%, Mbeya 7.3%, Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa.Ndio maana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi. Huwezi kuwa na mkoa unashika namba 5 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namba 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu. Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu.
 
Last edited by a moderator:
Kapwela, ngoja niudhi jamvi kwa kurudi nyuma. Kwa kuanzia msome Mkandara halafuumuulize source hizo amezileta kwa hoja gani? Nakuja kukuonyesha mahali ambapo JokaKuu alikuita.
Namsifu sana Jokakuu kwasababualifahamu mbele ya safari kutakuwa na watu kama wewe watakaovuruga mjadala kwasababu tu pengine hawasomi, hawaelewi au watadandia treni bila kujua inakwenda au imetoka wapi

Ebu nikuulize swali dogo tu, ni hoja gani unayoijibu hapo?maana sijakupata kabisa.

Kama hoja ni kuwa mjadala haukupandikizwa kwa hisia zako binafsi na kumislead watu basi usingesumbuka kuniletea yaliyojadiliwa na watu humu maana nayajua.Kinyume chake ulichopaswa kufanya ni kuthibitisha kuwa msingi wa hoja haujajengwa kwenye hisia,hisia zilizotokana na tafsiri,tafsiri iliyotokana na mawazo ya kibaguzi.Ndio maana hoja yenu hapa ni Kilimanjaro na Arusha wakati mfano wake ulitaja mikoa mingi, Lindi haipo Kaskazini.

Kama ni nia ni kuthibitisha hoja ulipaswa kufanya haya:

1.Kuthibitisha kuwa Zitto kasema mkoa wa Shinyanga/Tabora unanyonywa na mkoa wa Kilimanjaro.

2. Kuthibitisha kuwa Zitto kasema umaskini wa Shinyanga/Tabora unatokana na mkoa wa Kilimanjaro.

3. Kuthibitisha kuwa Zitto kasema kuwa mkoa wa Kilimanjaro unapendelewa.

4.Kuthibitisha kuwa Zitto kasema mgawanyo wa mapato ya serikali ndio MSINGI PEKEE WA MAENDELEO YA WATU.

KEY HAPA NI PEKEE,huko nyuma umejibu swali hili bila kulielewa.Hakuna sehemu Zitto aliposema kuwa MGAWANYO WA MAPATO YA SERIKALI NDIO MSINGI PEKEE WA MAENDELEO, huu ni mfano wa propaganda mbovu zilizojengwa humu.

Ndio maanaalikuwa anasisitiza jambo hili muhimu TUJADILIANE NAMNA YA KULETA MAPINDUZI YA KIUCHUMI,Ulipaswa ujue maana ya neno hili, TUJADILIANE!

Narudia tena, kumbuka wakati wote kuwa msingi wa mjadala huu sio Kapwela kasema nin,sio Mkandara kasema nin, sio Barubaru na sio Ritz kasema nini bali msingi wa thread hii ni either of the two, ACT IMESEMA NINI au ZITTO KASEMA NIN,kutolitambua hilo ni kuzidi kuthibitisha kuwa huna msingi wa hoja.
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3

Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.

Tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu.

TUJADILIANE!! Bila shaka neno hili halijawekwa ama halieleweki kwa makusudi tu ili kuwapotosha watu.
 
Last edited by a moderator:

Kapwela kwavile nimzito wa kusoma mambo ya nyuma nakukumbusha rudi bandiko page 38 bandiko 760.
Hapo utagundua wapi uliachwa nyuma.

Na ujipime kama unalisaidia au kulikwaza jamvi . Na kwamba una moral authority ya kuuliza chochote.?

Nimejibu hapo juu.

Kukiri udhaifu sio ujinga, kwenye hoja hii hauna msingi wa kuusimamia.
 
Hili swali limeishajibiwa tena kwa ufasaha kati ya pg ya 30 mpk 45. Nafikiri tutakuwa hatutendi haki tunaporudia maswali yale yale ambayo yameishajibiwa katika pg za nyuma, ila mtu anaona uvivu wa kurudi nyuma na soma kilichoandikwa.

Pia kinachobishania si hotuba ya Tabora au ya RFA au Facebook. tunachotaka kusikia kutoka upande wa pili ni ufafanuzi wa haya maneno."Dar inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa
-16.9% Dar
-9.2% Mwanza kabla haijagawanya
-7.3%. Mbeya
-6%. Shinyanga
-5.3% Iringa
Hata hivyo Shinyanga ni moja ya mikoa yenye Umaskini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia pato la Taifa, mikoa yenye Maendeleo Zaidi ni Arusha,Kilimanjaro na Dar es salaam.Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7 kuchangia Pato la Taifa.

Na ndo tunauliza je uchangiaji katika pato la taifa unahusikaje moja kwa moja na maendeleo ya mikoa husika? maana hapa yeye ametumia kigeuzo cha uchangangiaji wa pato la taifa na maendeleo ya sehemu husika.

Na katika kumbukumbu zangu katika darasa ulilotoa umesema tena very clear kuna "uchangiaji wa pato la taifa hausiki na maendeleo ya sehemu husika.

Sasa hili kama Zitto kalisema Facebook au Jf au Shinyanga hiyo si hoja, maana kusema Facebook au JF au Tabora au shinyanga hakubadilishi kitu chochote.

Alinda,

Nafikiri ujaelewa swali hapo ( au labda nikuandikie kwa my mother language Kiarabu labda utanielewa ...joke.)

Kifupi hayo ulioandika hapo juu ni maneno ya ZZK?
Na kama ya ZZK aliyatoa wapi? utupe reference yako?

Hilo ndilo uliloulizwa na si lingine. Kwani kuna tuhumu Lukuki mnazozitoa zinazomuhusisha ZZK kuwa ni mbaguzi na mchochezi kwa kutoa kauli hizo. sasa kinachohitajika ni ile connection baina ya maneno hayo na tamko la ZZK.

Pole sana

Kapwela na Ritz naona mnaanza kuhamisha goli.

Swali lenu nireference za hotuba ya supreme leader. Mumeuliza sana na mara nyingi.
Tuliwajibu kiutu uzima tukidhani mna ufahamu, Sasa mnaona hoja zenu wenyewe zinawanyanyasa mnabadili goli

Eti mnataka hotuba aliyosema maneno hayo. Jukwaa hili ni kubwa na lenye weledi siyo spinners.
Hatuwezi kusoma maneno ya supreme kama msahafu au bibilia
au kasuku

Maana ya mjadala ni kutafuta ukweli wa maneno. Msihamishe goli subirini ni wape reference muonekane viumbe fulani.

Ni hivi

Hoja imeanzia jukwaa la siasa. Ikazungumzwa kwa kina duru zasiasa.
Mchambuzi akaleta credible information zake kutoka katika hotuba ya supreme

Mchambuzi kaleta data za uhakika (Bandiko 427)

Mkandara akaunga hoja tena akimlaani supreme kwa kauli chafu(Bandiko433)

Mkandara kaendelea na hoja bandiko 439, 443 akionyesha kutokubaliana na supreme

Mkandara kaja na data zake kutoka serikalini

Zakumi akachangia akilaani maneno ya supreme leader kutokanana vigezo.
Tena akaenda mbali na kuonyesha kwanini mkoa wa KM umeendeleatofauti na kauli za supreme leader

Wakati wote huo si Ritz wala Kapwela waliokuwa na ufahamu wakuchangia

Ritz amekiri kwa maneno ‘ahsante kunifumbua macho'

Kapwela hadi post 760 hakujua na wala hakuwa na mchango(Kaalijkwa )

Waberoya katetea hotuba ya supreme leader na kufafanua

Wakuu wafuatao wamechangia hoja na kuchambua data zikihusisha mjadala wa maneno ya supreme.
Nawaomba waje hapa wanisute
kama ninawasingizia

Mag3 gfsonwin Waberoya Jasusi JokaKuu Zakumi Alinda TUJITEGEMEE King Suleiman Barubaru

Nguruvi3 akaomba tuelezwe supreme kasema nini kama kuna wanaokana.

Adharusi kaja na takwimu namaelezo. Ritz kaunga mkono hoja yaAdharusi.
Mkandara kasema tumepata ufafanuzi mzuri wa alichosema supreme.

Hoja yenu ya reference haikuwa na maana isipokuwa kuvuruga mjadala na kutuondoa katika mada halisi ili kumwepusha supreme asikabiliane na hoja zinazomwandama na zitakazomwandama

Kwa kuelewa mnachapwa na hoja zenu sasa mumezua madai mengine ya kuonyesha unyonyaji na kauli zingine

Mnachotaka kusema hapa ni kuwa mtu akisema ‘tumia akili'hamaanishi wewe ni mpumbavu.

Sisi ni watu wazima, tupo katika jukwaa tunachambua kauli, takwimu na kila jambo. Hatumezi kama wengine.

Kutokana na upuuzi wa kumeza maneno bila kuyachauja, ndio maana watu walikubali katiba iandikwe kwa jina la mtu.
Yaani mtu awe katiba nasi watu.

Nadhani jukwaa limeona jinsi mnavyohanagaika

Hatupendi kucheza nage na mduara wenu ili kupoteza maana ya mjadala.

Nadhani jukwaa litawapuuza si kwasababu tunasema, bali mnajidhihiri.

Msivunje hadhi ya jukwaa, kama hamna hoja kaeni kimya au nendeni mkasome mengine

Samahani wanajamvi, mjadala kuhusu ulaghai na udanganyifu wawanasiasa wa kizazi hiki unaendele.
Chama cha ACT mpini wa kumaliza upinzani
 
Last edited by a moderator:
Tutaangalia kuhusu kauli za supreme leader aliposhambulia mikoa ya kaskazini

Kauli ya kuchangia pato na maendeleo ya sehemu ni ya hatari na ina hitaji mjadala

Tutakuwa na mfulululizo wa mabandiko tukiangalia kauli za supreme na lengo lake katika taifa hili

Inafuata usiku huu
Nguruvi3.

Hii post yako ya tarehe 20 April 2015 wewe ndiyo umekuwa wa kwanza kuyasem haya kuwa Zitto anaishambulia mikoa ya Kaskazini.

Ndiyo tukaingia kwenye huu mnakasha wanaukumbi ndiyo wanauliza hayo maneno Zitto kayasema wapi.

Tupe ushahidi hutaki unakuwa mkali mkuu sisi wote hapa ni watu wazima wewe hauna uwezo wa kutufukuza hapa ukumbini JF siyo mali yako hatuwezi kukaa kimya ukipotosha usijipe mamlaka ya kupangia watu hapa ukumbini.

Mabandiko yako siyo masahafu wala biblia watu wasihoji, wakihoji wanachafua mjadala eboo!!.

Huchomoki mkuu tufahamishe hayo maneno unayosema umeyapata wapi tuwekee ushahidi.

Tupo tunasubiri hiyo hotuba ya Shinyanga ambayo unasema Zitto kayasema hayo.
 
Last edited by a moderator:
[QUOTE=Ritz;13151502]Nguruvi3.

[/QUOTE]

Well , hapa ndipo unapizidi kuonyesha uongo , uzushi na jinsi mnavyohangaika kuweka maneno. Kwanza, nuikupongeze unarudi kusoma kama tulivyokushauri.

Tatizo husomi kwa fact unasoma ukiongozwa na hisia za kutaka kuandika tu

Ukweli ni huu

Unasema ;Nguruvi3 ndiye wa kwanza kuandika maneno ya ukabila tarehe 20 April''

Angalia sana hiyo tarehe halafu usome maneno haya ya wakuu wafuatao waliyoandika tarehe 19 April .
Unless sijui maana ya wa kwanza, tarehe zinakueleza
Wanasiasa wa Tanzania ni umizakichwa, Mwanzo tulihubiriwa kuwa Chadema ni chama cha Wachaga ni chama wawakristo ni chama cha kibaguzi haya yalisemwa na CCM, watu tulipinga nakuwaionya CCM kuwa huu ubaguzi mnauleta hautaishia kwa Chadema tu utakwendambali zaidi..

Kuna kipindi niliwahai kuongea na Mh. Zitto kuhusu swala la Ukabila na udininikataka maoni yake yeye kama kiongozi wa chama Kweli majibu yake nilibakinimepigwa na butwaa "Zitto alikiri mwenyewe kuwa ni kweli Chadema niwabaguzi na ni wadini, alienda mbali zaidi na kusema Mbowe na Slaa unamuoneawivu maana yeye atakuwa rais (kumbuka hapo ilikuwa ni mwaka 2008) Nilimuulizaje kama ni wadini na wanakuonea wifu je ilikuwaje uwe kiongozi mkubwa haliutoki Kaskazini na pia sio mkristo? Sikupata jibu ila alisema wewe huwafahamuhawa watu...

Kwa hiyo utaona swala la udini na ukabila lilikuzwa na Zitto na yeye ndoalilipeleka CCM.. Hakuna mtu mnafiki kama Zitto nafikiri kama Mkandaraatakuwa mkweli (maana Zitto ni rafiki zako) utakiri hilo..

Sasa rangi za Zitto zinazidi kuonekana wazi, alianza kuhubiri ukabila na udinikwa usiri (hapa kwa wafuasi wake) sasa ameamua kuhubiri ukabila kujenga chukimiongoni mwa watanzani na wachaga akiwa majukwaani..

Leo tunashuhudia wasemaje wa ACT hapa mtandaoni wakijipata kuwa kuna watuhawatompigia kura Slaa (padre) kwa vile ni mkatoliki na hao watawapigia ACT..Na ukisoma hiki kitu na ukarejea ule waraka wa akina Kitila unaona huyu msemajiwa ACT ambaye ni Kapwelaanawakilisha mawazo ya kwenye waraka.

Hivi kwenye karne hii na chama cha wasomi kama ACT bado wanaendekeza siasa hiziza udini na ukabila? hivi hatuoni majirani yetu huko Rwanda na Burundi jinsiukabila unavyowatesa mpaka leo? tena kwa bahati nzuri Zitto ana vinasaba vyahizo nchi au na yeye anataka tuanze kupinga kama wenzetu? Wanasiasa fanyenisiasa zenu lakini tuacheni Tanzania yetu ikiwa na amani.
mkuu Nguruvi3, nina sikitika sana asuprime leader wa ACT ZZk anapotosha sana wananchi na kuhubiri chuki za ukandana ukabila kama propoganda za Chama tawala na mawakala wao,

leo hapa Mwanza karudia mambo haya kwa kuwaambia wananchi kwamba mkoa wa Mwanzaunachangia sana pato la taifa ila miko y Arusha na Moshi ipo juuu, na piamatamshi yake mengi si ya kujenga cham ial kujijenga binafsi na kuboa upinzani," walisema mimi na wenzangu si lolote sasa wanaogopa nn kwamba nitagawakura za upinzani" mara nimefanya mengi bungeni kuzidi wao, this is notpolitics za kujenga bali kufanya fitna na kujijenga binafsi.

mm binafsi nilikua sipati shida na kuanzishwa kwa cham hiki, il loooh movementszao sasa zinaanza kunip mashak kama vile wako strategically kuvuruga nguvu yaupinzani na kugawa kura haswaa, na kwa hilo sijui CCM mtaisimisha vipi kama kunwapinzani wa wapinzani.
Ahsante @Alinda na King Sleiman

Ritz, haya tafuteni jingine ,mnatusaidia sana kupata ukweli na kujenga hoja

Inaaza tarehe 20 halafu 19 tehe tehe my foot!

Nguruvi3.

Hii post yako ya tarehe 20 April 2015 wewe ndiyo umekuwa wa kwanza kuyasem haya kuwa Zitto anaishambulia mikoa ya Kaskazini.

Ndiyo tukaingia kwenye huu mnakasha wanaukumbi ndiyo wanauliza hayo maneno Zitto kayasema wapi.

Tupe ushahidi hutaki unakuwa mkali mkuu sisi wote hapa ni watu wazima wewe hauna uwezo wa kutufukuza hapa ukumbini JF siyo mali yako hatuwezi kukaa kimya ukipotosha usijipe mamlaka ya kupangia watu hapa ukumbini.

Mabandiko yako siyo masahafu wala biblia watu wasihoji, wakihoji wanachafua mjadala eboo!!.

Huchomoki mkuu tufahamishe hayo maneno unayosema umeyapata wapi.

Tupo tunasubiri hiyo hotuba.

Mkuu Ritz, Akileta ushahidi wa Kauli kuntu ya ZZK, ambayo ni msingi wake rejea nistue mkuu.

Huyu asitake kutwambia kuwa ooh ushahidi wake ni bandiko la Adharus.

Kimsingi kwa kuwa Nguruv alikuwa wa kwanza kuaccuse then burden of proof ya accusations zake iko juu yake.

Tusaidie bwana Nguruv, bandiko au hata sauti ya Kauli ya Zitto ili na sisi tujisomee/ tujionee wenyewe neno kwa neno, sentensi kwa sentensi, paragraph kwa paragraph. Ili tuone content halisi ya Zitto na Context yake.

Hata hivyo nikukumbushe tu ndugu Nguruv, Adharus yeye anasema kuwa hilo bandiko lake alilitoa Facebook ambayo nitakushangaa kama utaipa uzito wa rejea wakati huko nyuma kuna ushshidi wa kutosha aliouleta Ritz kwamba mambo ya Facebook huyataki!

Tunasubiri majibu bado.
 
Last edited by a moderator:

Well , hapa ndipo unapizidi kuonyesha uongo , uzushi na jinsi mnavyohangaika kuweka maneno. Kwanza, nuikupongeze unarudi kusoma kama tulivyokushauri.

Tatizo husomi kwa fact unasoma ukiongozwa na hisia za kutaka kuandika tu

Ukweli ni huu

Unasema ;Nguruvi3 ndiye wa kwanza kuandika maneno ya ukabila tarehe 20 April’’

Angalia sana hiyo tarehe halafu usome maneno haya ya wakuu wafuatao waliyoandika tarehe 19 April .
Unless sijui maana ya wa kwanza, tarehe zinakueleza

[/QUOTE]
Teh teh teh unaniwekea bandiko la Alinda na huyo jamaa unategemea hao wamsema vizuri Zitto.

Mkuu kuhusu JF huwezi kunieleza kitu huu uzi toka post ya kwanza naufuatilia kituo kwa kituo huu ndiyo utaratibi wangu.

Kuna post yako ingine kabla ya hii taiweka pia nimeleta hii kama mfano tu.

Kukata mzizi wa fitina mkuu wangu na kwa faida ya Wanaukumbi tuwekee hiyo hotuba ambayo Zitto anawagawa Watanzania.

Mkuu tunasubiri...
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh unaniwekea bandiko la Alinda na huyo jamaa unategemea hao wamsema vizuri Zitto.

Mkuu kuhusu JF huwezi kunieleza kitu huu uzi toka post ya kwanza naufuatilia kituo kwa kituo huu ndiyo utaratibi wangu.

Kuna post yako ingine kabla ya hii taiweka pia nimeleta hii kama mfano sijakuambia ndiyo ya kwanza.

Kukuta mzizi wa fitina mkuu wangu na kwa faida ya Wanaukumbi tuwekee hiyo hotuba ambayo Zitto anawagawa Watanzania.

Mkuu tunasubiri...
Hoja si maneno yao, hoja ni tarehe, je tarehe 20 inaanzana kufuatiwa na tarehe 19 kwi kwi kw

Mchambuzi alizungumzia vema dhana inayopandwa na supreme leader

Mag3 kaweka bila kumumunya kuhusu ujahilia wa kutenga watu

Mtazua maneno ukweli unawapiga. Hamuwezi kumsafisha supremeleader kwa kauli zake za kuligawa taifa.
Tena si mara moja, akiwa Kigoma kasema‘Kuna ubaya mtu wa Kigoma kugombea uenyekiti?

Hivi tunachagua viongozi kwa mikoa na makabila si hizi. Alinda video nadhani ipo

Na ukweli unabaki kuwa tangu tumemweka kitako hajarudia tena takwimu wala mikoa.
Kakoma na hatudhani kama atafungua kinywa tena kwa kauli hatarishi

Lakini pia usisahau anapambana na nguvu ya umma wa Watanzania wasiotaka siasa za kihutu na kitusi.

Anakabiliana nazo haswa,muulizeni
 
Na haya maneno yako ulisema tarehe ngapi mkuu.

Coming up!
Siasa chafu za Zittoya kuligawa na kuparaganyisha taifa
Achukua mfumo wa ukbila jiranina nyumbani kwao

Zitto atangaza vita namikoa ya kaskazini. Hasira dhidi ya watu 2, sasa ni mikoa

Apotosha umma kuhusupato na mgawanyo. Abeba sera za CCM kulifarakanisha taifa
Stay tuned.

Teh teh teh!!
 
Mimi nafikiri Alinda anaweza kuwa na majibu mujaraab kwa mushkira huu. Labda atuweke wazi maneno haya Chini ameyatoa wapi? atupe ref.

."Dar inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa
-16.9% Dar
-9.2% Mwanza kabla haijagawanya
-7.3%. Mbeya
-6%. Shinyanga
-5.3% Iringa
Hata hivyo Shinyanga ni moja ya mikoa yenye Umaskini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia pato la Taifa, mikoa yenye Maendeleo Zaidi ni Arusha,Kilimanjaro na Dar es salaam.Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7 kuchangia Pato la Taifa.

Mkuu Ritz, Akileta ushahidi wa Kauli kuntu ya ZZK, ambayo ni msingi wake rejea nistue mkuu.

Huyu asitake kutwambia kuwa ooh ushahidi wake ni bandiko la Adharus.

Kimsingi kwa kuwa Nguruv alikuwa wa kwanza kuaccuse then burden of proof ya accusations zake iko juu yake.

Tusaidie bwana Nguruv, bandiko au hata sauti ya Kauli ya Zitto ili na sisi tujisomee/ tujionee wenyewe neno kwa neno, sentensi kwa sentensi, paragraph kwa paragraph. Ili tuone content halisi ya Zitto na Context yake.

Hata hivyo nikukumbushe tu ndugu Nguruv, Adharus yeye anasema kuwa hilo bandiko lake alilitoa Facebook ambayo nitakushangaa kama utaipa uzito wa rejea wakati huko nyuma kuna ushshidi wa kutosha aliouleta Ritz kwamba mambo ya Facebook huyataki!

Tunasubiri majibu bado.
Nimemuonyesha Ritz kuhusu kwanza, tofauti ya tarehe 20 ya kwanza na 19.

Unadandia treni sasa unaadhirika nani atamsaidia mwenzake

Ni ukweli usio na shaka kuwa siasa za supreme leader tangu akiwa na CDM ndizo zilizozua hoja za udini na ukanda unaotumiwa na CCM( Soma Ainda hapo juu). Kwauhusiano gani? Hatujui

Tuwe wa kwanza au mwisho, tunasimama kukemea hoja mufllsi za kutaka uenyekiti kwasababu si dhambi ‘mtuwa Kigoma kuwa mwenyekiti' Huyu ndiye anatarajiwa kuwa kiongozi wa taifa wa kuleta umma pamoja

Watanzania tunasema aendelee kubadili katiba na kupeleka watu left right.

Katika utaifa kamwe hatutakaa kimya, tutamkemea sana na tutauambia umma

Alipaswa kujua uchafu wa mbegu za ukabila kuliko mtumwingine. Hatuwezi kukaa kimya

Kutokana na kukabiliana na nguvu ya umma, ule mpango wa kuunda kamati za kumshauri agombee wapi umekufa.

Anarudi nyumbani. Ametambua umma haukubaliani naye wala siasa muflisi.

Namkumbuka mrehemu Remmy, '' narudia nyumbani eee''
 
Mkuu Ritz, Akileta ushahidi wa Kauli kuntu ya ZZK, ambayo ni msingi wake rejea nistue mkuu.

Huyu asitake kutwambia kuwa ooh ushahidi wake ni bandiko la Adharus.

Kimsingi kwa kuwa Nguruv alikuwa wa kwanza kuaccuse then burden of proof ya accusations zake iko juu yake.

Tusaidie bwana Nguruv, bandiko au hata sauti ya Kauli ya Zitto ili na sisi tujisomee/ tujionee wenyewe neno kwa neno, sentensi kwa sentensi, paragraph kwa paragraph. Ili tuone content halisi ya Zitto na Context yake.

Hata hivyo nikukumbushe tu ndugu Nguruv, Adharus yeye anasema kuwa hilo bandiko lake alilitoa Facebook ambayo nitakushangaa kama utaipa uzito wa rejea wakati huko nyuma kuna ushshidi wa kutosha aliouleta Ritz kwamba mambo ya Facebook huyataki!

Tunasubiri majibu bado.
Anasema sisi ndiyo reference wakati sisi tumemkuta anamshambulia Zitto.

Teh teh teh!! Kabla ya sisi reference sijui alikuwa nani.

Ngoja tusubiri hiyo hotuba.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umesahau umetupa reference mwenyewe?
Teh teh teh kabla sisi kuingia kweye huu uzi reference ulikuwa unatoa wapi wakati unamshambulia Zitto?

Kumbuka wanaukumbi wanakosoma unavyotapatapa huku unasigina kichwa chini.

Nilijua utajaa tu kwenye kumi nane bandiko lako la tarehe 20 reference ulipata wapi mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Mkandara, Post #1389 ulijadili hivi:

Mimi nimeshachoka na hawa jamaa zetu wameufanya ukumbi huu kuwa wa ushabiki badala ya great thinker maana wanaenda kila kona kutafuta sababu zao tu. Na ndio maana nchi hii kupata maendeleo itakuwa shida kwa sababu watu wanatumia unazi katika kuchagua badala ya kuamini na ndio maana neno HAKI ama FURSA hawalioni katika utekelezaji isipokuwa pale penye maslahi yao.
Mimi kama Mjamaa naamini ELIMU,AFYA ni HAKI ya kila mwananchi. Sasa unakuta mkoa umeachwa nyuma katika huduma hizi kwa sababu chama au watawala ni waumini wa Ubepari na kwamba Elimu na Afya ni privilege sio Right ya wananchi halafu tunqqnzq kubishana pasipo kuzingatia itikadi hizo ila tunavyojisikia ktk unazi huu inakuwq vigumu kwangu kujibu kila hoja maana naona kama wanafanya mzaha, ni watu wanaopenda kucheza na akili za watu kama kwamba maisha ya wananchi ni sehemu ya majaribio.

Nikianza na hoja yako juu ya ushabiki, when it comes to Zitto, wewe na wenzako akina Ritz are not only fans, but fanatics of his personality. Maana ya kuwa a fanatic ni hivi:

[“A person marked or motivated by an extreme, unreasoning enthusiasm, as for a cause”]. Mnasukumwa na extremism ya itikadi ambayo haina tija kwa taifa letu (sitataja itikadi husika), na matokeo yake hoja zenu zimejaa contradictions na zimekuwa very unresoanable.

Unajadili dhana za HAKI na FURSA bila ya kwanza kuangalia muktadha husika. Nikuulize:
· Unaweza kutuambia tarehe au mwaka ambayo huduma za afya na elimu nchini Tanzania ziliacha kuwa “haki” na kugeuka kuwa “fursa”?
· Unazungumzia huduma za afya na elimu ngazi gani?

Hoja zako nyingine mbili zina utata.

Kwanza ni hoja yako kwamba mikoa mingine ipo nyuma kimaendeleo kwa sababu kwa mikoa husika, huduma kama elimu na afya zimefanywa kuwa fursa na kwa mikoa mingine huduma hizi zimefanywa kuwa haki. Je nipo sahihi?

Pili, tofauti ya kimaendeleo (hususan huduma za jamii kama elimu na afya) baina ya Mikoa nchini Tanzania ni matokeo ya chama tawala kukumbatia ubepari badala ya ujamaa. Je nipo sahihi?

Mwisho, ni hoja yako kwamba tupo hapa kuchezeana akili. Kwanza ni bhati mbaya sana kwamba nyinyi ndio mmechezewa akili na zitto na kuaminishwa vitu ambavyo havipo. Mmeshindwa kabisa kuchukua yake nusu na kuchanganya na yenu nusu ili muone ukweli. Badala yake, yote ya zitto ni Kweli Tupu. Inasikitisha sana. Hakuna mtu katika siasa za Tanzanai leo hii ambae anachezea akili za watanzania kama Zitto. Tangia lini Zitto akawa ni mjamaa? Mjamaa wa aina gani, wa majukwaani? Na wewe nae unamuunga mkono kama mjamaa mwenzake. Ujamaa wa Zitto upo supported/based on what social theory? Ni utapeli tu. It’s nothing than an amalgam of a glorious description of the past (very flawed historically), a powerful statement of an idealist policy (without a political programme) and a grandiose vision of the future (without a grand theory of the society). Ni kulaghai na kupotezea wananchi muda.
 
Last edited by a moderator:

Well , hapa ndipo unapizidi kuonyesha uongo , uzushi na jinsi mnavyohangaika kuweka maneno. Kwanza, nuikupongeze unarudi kusoma kama tulivyokushauri.

Tatizo husomi kwa fact unasoma ukiongozwa na hisia za kutaka kuandika tu

Ukweli ni huu

Unasema ;Nguruvi3 ndiye wa kwanza kuandika maneno ya ukabila tarehe 20 April’’

Angalia sana hiyo tarehe halafu usome maneno haya ya wakuu wafuatao waliyoandika tarehe 19 April .
Unless sijui maana ya wa kwanza, tarehe zinakueleza
Ahsante Alinda na King Sleiman

Ritz, haya tafuteni jingine ,mnatusaidia sana kupata ukweli na kujenga hoja

Inaaza tarehe 20 halafu 19 tehe tehe my foot!

[/QUOTE]
Nguruvi3.

Mkuu wangu wewe si ulisema mambo ya Facebook hutaki au ndiyo ng'ombe akizidiwa...

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom