Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Sehemu ya I
Ndugu wana Duru, Tunaomba tuweke rekodi vema kuhusu katiba mpya.
Kuanzia mwanzo hadi sasa msimamo wa duru ni katiba mpya itakayoandikwa na wananchi haitapatikana.
Utaratibu uliopaswa kufuatwa kwa mazingira yetu ulirukwa makusudi kuwafumba macho Watanzania.
Uandikaji wa katiba haikuwa agenda ya CCM. Hata ilipotokea ilitolewa kama agenda ya Kikwete. Ni wazo asilo asisi bali kudandia.
Kikwete alilazimika kwani presha ya katiba ingelazimu taifa kukaa na kuandika.
Kwa Kuogopa hilo akachukua wazo na kuliingiza CCM na bungeni kijanja janja. Ikawa agenda ya taifa.
Tulizungumzia tatizo hilo kabla ya tume ya Warioba. Tukasema ni lazima kuwe na muafaka wa kitaifa kuhusu mambo kadhaa na dira.
Mawazo hayakuingia akilini mwa viongozi na wasomi ambao tulitegemea wasingeingia katika tume bila kuhoji, wakakimbilia huko.
Tadhali pitia uzi huu bandiko 188 n.k. Duru za siasa - Matukio
Watanzania ni watu wa matukio wakasahau ulaghai uliotangulia na kuangalia tume ambayo kimsingi haikupaswa kuundwa na rais bali mkutano wa kitaifa.
Hili ni tukio la wananchi na walipaswa waratibu, serikali ikisiadia usimamizi wa taratibu inapobidi.
Wapinzani waliopaswa hawakuona ulagahai na undumila kuwili wa JK,wakaishia kunywa juisi za maembe Ikulu. Walipotoka Ikulu hawakueleza chochote kwa kuaminiana na Kikwete.
Kwa ufupi kulikuwa na matatizo katika sehemu hizi
1. Rais hakuwa na nia ya dhati ya kupata katiba, ameafanya ili kuacha jina tu
2. Wasomi wa tume ya Warioba walipaswa kumueleza matatizo mbeleni kabla ya kuanza kazi
3. Wapinzani walikubali ghilba wakishindwa kusoma dhamira ya JK na serikali yake
4.Wananchi wa Tanzania kuliacha suala la katiba kama sehemu ya siasa
5. Wananchi wa Tanzania kuvutwa na matukio zaidi badala ya kutafakari kwa maono.
Watanzania ambao ni watu wa matukio, leo wanachambua majina ya wabunge wa bunge la katiba na kusahau matatizo ya huko nyuma na makubwa mbeleni.
Jana Rais ameongea na viongozi wa vyama vya vya siasa akiwaasa kutanguliza masilahi ya taifa na si vyama vyao, wakubaliane na kupingana kwa hoja. Jk aliwapa majukumu makubwa ya kuwasimamia watu wao ili katiba mpya ipatikane.
Angalia video hii VIDEO: Rais Kikwete azungumzia Bunge la katiba na wajumbe
Wakati akieleza kuhusu utaifa na kukemea misimamo ya vyama, rais Kikwete ameshindwa kumkemea katibu mwenezi wake anayehubiri msimamo wa chama chake badala ya kutanguliza utaifa
Hii maana yake ni kutoa kwa mkono wa kulia na kuchukua kwa mkono wa kushoto.
Ndiyo hulka ya JK kutaka kupendeza kila upande.
Majina ya wajumbe wa bunge yametoka. Tangu mwanzo tulionya majina hayo ni lazima yakifikishwa kwa rais yawe final.
Ujanja uliotumika ni kutaka rais apelekewe majina mengi ili achague wajumbe anaowataka yeye na siyo waliopendekezwa.
Hata kama mjumbe amependekezwa sheria inampa rais nafasi ya kuondoa jina lake.
Hapo ndipo Watanzania walipofikishwa kwasababu tu ya kuwa washabiki wa matukio bila kuona mbali na pengine kukataa ulaghai, wataaminishwa katiba imetokana tukijua imetokana na Kikwete na kundi lake
Utashangaa kuona kuna makundi mbali mbali ya kijamii yakayowakilishwa.
Lipo kundi linalojulikana kama 'mrengo sawa' ambalo limepatikana kwa utashi wa Rais
Utashi wa Rais ungetakiwa utangulize utaifa mbele kwa kuweka watu wenye weledi katika mambo ya katiba na ushawishi wa kitaaluma na kimaono katika jamii. Hilo halikutokea, Rais kachagua watu ambao tunajiuliza kama kweli kulikuwa na 'professioanl vetting' au ilikuwa bora liende.
Rais kaacha manguli katika fani na jamii kwasababu tu anapinga nao kimisimamo.
Ni Rais huyo huyo anayesema kupingana kwa hoja ni muhimu hata kama watu hawaelewani.
Ukisoma majina ya wajumbe aliotoa ni dhahiri kuna tatizo, na kwamba Rais ameongozwa na chuki dhidi ya wanataaluma na wanajamii wanaopingana na misimamo yake hata kama ni hazina kubwa kwa taifa
Ni kutokana na majina hao duru tunarudia kauli yetu kuwa katiba hii inakabiliwa na tatizo kubwa sana.
Ni katiba itakayopataikana si kwa utashi wa wananchi bali utashi wa viongozi kwa kuwatumia wananchi.
Swali la kujiuliza, hivi ni nini dhamira ya JK katika suala la katiba?
Je ana dhamira ya kweli au ndio mwendelezo akikwepa majukumu siyo tu yanayomhusu bali yanayoamua mustakabali wa taifa kwa siku za usoni.
Inaendelea sehemu ya Pili
Reference tu kwa mjadala huu

���������
TAASISI ZISIZOKUWA ZA KISERIKALI- (WAJUMBE 20) TANZANIA BARA (13) 1. Magdalena Rwebangira 2. Kingunge Ngombale Mwiru 3. Asha D. Mtwangi 4. Maria Sarungi Tsehai 5. Paul Kimiti 6. Valerie N. Msoka 7. Fortunate Moses Kabeja 8. Sixtus Raphael Mapunda 9. Elizabeth Maro Minde 10. Happiness Samson Sengi 11. Evod Herman Mmanda 12. Godfrey Simbeye 13. Mary Paul Daffa TANZANIA ZANZIBAR (7) 1. Idrissa Kitwana Mustafa 2. Siti Abbas Ali 3. Abdalla Abass Omar 4. Salama Aboud Talib 5. Juma Bakari Alawi 6. Salma Hamoud Said 7. Adila Hilali Vuai TAASISI ZA KIDINI- (WAJUMBE 20) TANZANIA BARA (13) 1. Tamrina Manzi 2. Olive Damian Luwena 3. Shamim Khan 4. Mchg. Ernest Kadiva 5. Sheikh Hamid Masoud Jongo 6. Askofu Mkuu (Mstaafu) Donald Leo Mtetemela 7. Magdalena Songora 8. Hamisi Ally Togwa 9. Askofu Amos J. Muhagachi 10. Easter Msambazi 11. Mussa Yusuf Kundecha 12. Respa Adam Miguma 13. Prof. Costa Ricky Mahalu TANZANIA ZANZIBAR (7) 1. Sheikh Thabit Nouman Jongo 2. Suzana Peter Kunambi 3. Sheikh Nassoro Mohammed Ibrahimu 4. Fatma Mohammed Hassan 5. Louis Majaliwa 6. Yasmin Yusufali E. H alloo 7. Thuwein Issa Thuwein VYAMA VYOTE VYA SIASA
VYENYE USAJILI WA KUDUMU – (WAJUMBE 42)TANZANIA BARA (28) 1. Hashim Rungwe Spunda 2. Thomas Magnus Mgoli 3. Rashid Hashim Mtuta 4. Shamsa Mwangunga 5. Yusuf S. Manyanga 6. Christopher Mtikila 7. Bertha Ng'angompata 8. Suzan Marwa 9. Dominick Abraham Lyamchai 10. Mbwana Salum Kibanda 11. Peter Kuga Mziray 12. Isaac Manjoba Cheyo 13. Dr. Emmanuel John Makaidi 14. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba 15. Modesta Kizito Ponera 16. Prof. Abdallah Safari 17. Salumu Seleman Ally 18. James Kabalo Mapalala 19. Mary Oswald Mpangala 20. Mwaka Lameck Mgimwa 21. Nancy S. Mrikaria 22. Nakazael Lukio Tenga 23. Fahmi Nasoro Dovutwa 24. Costantine Benjamini Akitanda 25. Mary Moses Daudi 26. Magdalena Likwina 27. John Dustan Lifa Chipaka 28. Rashid Mohamed Ligania Rai TANZANIA ZANZIBAR (14) 1. Ally Omar Juma 2. Vuai Ali Vuai 3. Mwanaidi Othman Twahir 4. Jamila Abeid Saleh 5. Mwanamrisho Juma Ahmed 6. Juma Hamis Faki 7. Tatu Mabrouk Haji 8. Fat –Hiya Zahran Salum 9. Hussein Juma 10. Zeudi Mvano Abdullahi 11. Juma Ally Khatibu 12. Haji Ambar Khamis 13. Khadija Abdallah Ahmed 14. Rashid Yussuf Mchenga
���������������
TAASISI ZA ELIMU- (WAJUMBE 20) TANZANIA BARA 1. Dr. Suzan Kolimba 2. Prof. Esther Daniel Mwaikambo 3. Dr. Natujwa Mvungi 4. Prof. Romuald Haule 5. Dr. Domitila A.R. Bashemera 6. Dr. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa 7. Prof. Bernadeta Kilian 8. Teddy Ladislaus Patrick 9. Dr. Francis Michael 10. Prof. Remmy J. Assey 11. Dr. Tulia Ackson 12. Dr. Ave Maria Emilius Semakafu 13. Hamza Mustafa Njozi TANZANIA ZANZIBAR (7) 1. Makame Omar Makame 2. Fatma Hamid Saleh 3. Dr. Aley Soud Nassor 4. Layla Ali Salum 5. Dkt. Mwinyi Talib Haji 6. Zeyana Mohamed Haji 7. Ali Ahmed Uki WATU WENYE ULEMAVU-(WAJUMBE 20) TANZANIA BARA (13) 1. Zuhura Musa Lusonge 2. Frederick Msigala 3. Amon Anastaz Mpanju 4. Bure Zahran 5. Edith Aron Dosha 6. Vincent Venance Mzena 7. Shida Salum Mohamed 8. Dr. Henry Mwizengwa Nyamubi. 9. Elias Msiba Masamaki 10. Faustina Jonathan Urassa 11. Doroth Stephano Malelela 12. John Josephat Ndumbaro 13. Ernest Njama Kimaya TANZANIA ZANZIBAR (7) 1. Haidar Hashim Madeweyya 2. Alli Omar Makame 3. Adil Mohammed Ali 4. Mwandawa Khamis Mohammed 5. Salim Abdalla Salim 6. Salma Haji Saadat 7. Mwantatu Mbarak Khamis VYAMA VYA WAFANYAKAZI-(WAJUMBE 19) TANZANIA BARA (13) 1. Honorata Chitanda 2. Dr. Angelika Semike 3. Ezekiah Tom Oluoch 4. Adelgunda Michael Mgaya 5. Dotto M. Biteko 6. Mary Gaspar Makondo 7. Halfani Shabani Muhogo 8. Yusufu Omari Singo 9. Joyce Mwasha 10. Amina Mweta 11. Mbaraka Hussein Igangula 12. Aina Shadrack Massawe 13. Lucas Charles Malunde TANZANIA ZANZIBAR (6) 1. Khamis Mwinyi Mohamed 2. Jina Hassan Silima 3. Makame Launi Makame 4. Asmahany Juma Ali 5. Mwatoum Khamis Othman 6. Rihi Haji Ali VYAMA VINAVYOWAKILISHAWAFUGAJI-(WAJUMBE 10) TANZANIA BARA (7) 1. William Tate Olenasha 2. Makeresia Pawa 3. Mabagda Gesura Mwataghu 4. Doreen Maro 5. Magret Nyaga 6. Hamis Mnondwa 7. Ester Milimba Juma TANZANIA ZANZIBAR (3) 1. Said Abdalla Bakari 2. Mashavu Yahya 3. Zubeir Sufiani Mkanga VYAMA VINAVYOWAKILISHAWAVUVI –(WAJUMBE 10) TANZANIA BARA (7) 1. Hawa A. Mchafu 2. Rebecca Masato 3. Thomas Juma Minyaro 4. Timtoza Bagambise 5. Tedy Malulu 6. Rebecca Bugingo 7. Omary S. Husseni TANZANIA ZANZIBAR (3) 1. Waziri Rajab 2. Issa Ameir Suleiman 3. Mohamed Abdallah Ahmed
������
VYAMA VYAWAKULIMA-(WAJUMBE 20) TANZANIA BARA (13) 1. Agatha Harun Senyagwa 2. Veronica Sophu 3. Shaban Suleman Muyombo 4. Catherine Gabriel Sisuti 5. Hamisi Hassani Dambaya 6. Suzy Samson Laizer 7. Dr. Maselle Zingura Maziku 8. Abdallah Mashausi 9. Hadijah Milawo Kondo 10. Rehema Madusa 11. Reuben R. Matango 12. Happy Suma 13. Zainab Bakari Dihenga TANZANIA ZANZIBAR (7) 1. Saleh Moh'd Saleh 2. Biubwa Yahya Othman 3. Khamis Mohammed Salum 4. Khadija Nassor Abdi 5. Fatma Haji Khamis 6. Asha Makungu Othman 7. Asya Filfil Thani WATU WENYE MALENGO YANAYOFANANA – (WAJUMBE 20) TANZANIA BARA (14) 1. Dr. Christina Mnzava 2. Paulo Christian Makonda 3. Jesca Msambatavangu 4. Julius Mtatiro 5. Katherin Saruni 6. Abdallah Majura Bulembo 7. Hemedi Abdallah Panzi 8. Dr. Zainab Amir Gama 9. Hassan Mohamed Wakasuvi 10. Paulynus Raymond Mtendah 11. Almasi Athuman Maige 12. Pamela Simon Massay 13. Kajubi Diocres Mukajangwa 14. Kadari Singo TANZANIA ZANZIBAR (6) 1. Yussuf Omar Chunda 2. Fatma Mussa Juma 3. Prof. Abdul Sheriff 4. Amina Abdulkadir Ali 5. Shaka Hamdu Shaka 6. Rehema Said Shamte