TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kwa bahati mbaya sana uzi huu umevamiwa na watu wasioijua Marekani. Marekani ni nchi ya wahamiaji na sababu kubwa ya watu kuhamia Marekani ilikuwa ni kuzikimbia tawala za kiimla. Hakuna taifa duniani lenye watu wa kutoka kila pembe ya dunia (hadi Tanzania) na kila kabila, rangi na jinsia inapatikana Marekani. Kila desturi, kila lugha, kila tamaduni, kila tabia inapatikana Marekani na ni rhuksa. Bila Marekani fikiria dunia ingekuwaje, ingekuwa tofauti kabisa na i!ivyo hivi sasa.Uzi huu umekuwa mchungu kweli!!!
Yawezekana umesoma kila neno nililoandika lakini kama kawaida umetoka kapa bila kuambulia chochote wala kuelewa chochote. Sijui hukubaliani na lipi...kwamba hakuna Msukuma mmarekani? Hakuna Mchina mmarekani? Hakuna Muarabu mmarekani? Kuna miji Marekani ukiingia utadhani uko Beijing au Mumbai...si lugha tu bali tamaduni, mila na desturi.Khaaa!!! Mkuu Mag3 Ha ha haaaa
Yaani Mkuu, hutaki kabisa kusikia Second opinion!!! Sasa uhuru upo wapi sasa hapo!? Nimesoma post yako yote neno kwa neno. Kuna mahali ilibidi niwe nasimama kusoma ili niweze kucheka kidogo...!
Nivunje hekima zangu za kutojihusisha au kujishughulisha na maandishi yako.Uzi huu umekuwa mchungu kweli!!!
Labda nirejee, naona huelewi tatizo lako na nini tunachosema hapa.Ushahidi wa dalili hizi huu hapa chini, ingawa chanzo cha ushahidi kinaweza kuwa kero kwa baadhi yenu lakini huo ndiyo ukweli.
>>> China beats US in key patents to secure technological dominance – report
Nikiri wazi kabisa hapa kuwa Nguruvi3 Mag3 Mchambuzi Elungata El Jefe Pascal Mayalla Mzee Mwanakijiji Chige Malcom Lumumba na wengine wengi wa namna hiyo, mmetoa mchango mkubwa sana kwangu katika kuwa na jitihada za kutafuta taarifa sahihi na kujiongezea maarifa. Bado nina 'spirit' hiyo ya kutafuta maarifa kwa njia zilizopo. Nina washukuru sana.Ni hivi, lazima uzielewe siasa na kujua maana ya 'opinion, analysis na facts''
Ni kweli yawezekana kwa baadhi yenu nikaonekana 'low' kwa baadhi ya mambo kwa sababu kadhaa. Mbili kati ya hizo ni:Hata hivyo u-simba na u-yanga huo kama unatoa tija si tatizo, lakini unapofikia kiwango 'low'' inatia kinyaa
Kiwango low kama hadithi za mitaani za US kuzima radar isione makombora ya Iran, it is unfortunate!
Bloomberg hajawahi na hatakuja kuwa mgombea tishio... ameunguza hela zake bure tu mwisho wa siku hakubaliki hata ndani ya chama chake.Bado mpo humu?
Teh teh teh naona kila kitu kinabuma.
Mwokozi wenu Mini Mike Bloomberg naona kimemtokea puani.
Hahahahaaaaaa.
Weakness ya uendeshaji nchi 'kidemokrasia' kwa mising ya uhuru wa soko ( soko huria) - frèe market hata kwenye afya za watu umeanza kudhihirika kwenye ' sanctuary nation(SN) '. Hii si dalili nzuri kwa wale mara zote wanatuhimiza kuendesha nchi kwa mtindo utumiwao na SN. COVID19 ( CORONA virus) imeumbua udhaifu mkubwa wa mfumo wa utawala ambao tuliaminishwa hata punguani anaweza kundesha nchi hii iliyopewa jina la SN. Kitendo cha SN kuwazunguka hata washirika wake kukwapua nyenzo za kukabili corona virus kimenifumbua macho.. Kama ulitaka kujua kwa nini Marekani inaitwa Sanctuary Nation ya dunia, tulia ufuatilie gharama za uhuru zilivyo kubwa.
Mimi ninakaa Isevya; lakini naona kama Marekani iliingia choo cha kike kuchagua mtu kama Trump. Aliwadanganya kuwa anajua biashara kumbe hamna lolote, anaishi kwa mikopo na kukataa madeni tukwa kutumia sheria za bankruptcy. Sasa hivi nchi iko matatizoni hajui la kufanya bali kusema watu wanywe chroloquin kinyume na maoni ya madakatari. Jamaa ni mbabaishaji sana. Deni la marekani limeaongezaka kwa asilimia karibu hamsini kwa kipindikifupi alichokaa madarakani na kuijenga Marekani kama taifa linalochukiwa duniani, akiondoka ataiacha nchi ikiwa mflilisi kabisa kwa vile aitaweza kukataaa madeni hayo kama livyokuwa akifanya.Ina maana wote humu mpo Marekani sio
Drone Camera , mkuu sijui kwanini umefikia conclusion kwamba watu wanaishi Marekani na siyo China au UK. Ukisoma mabandiko na nyuzi nyingi utaona tunajadili UK, China, Balkan region, Magreb region, Middle east, Far East n.k. Ni suala la kuiangalia dunia kwa upana.Mimi ninakaa Isevya; lakini naona kama Marekani iliingia choo cha kike kuchagua mtu kama Trump. Aliwadanganya kuwa anajua biashara kumbe hamna lolote, anaishi kwa mikopo na kukataa madeni tukwa kutumia sheria za bankruptcy. Sasa hivi nchi iko matatizoni hajui la kufanya bali kusema watu wanywe chroloquin kinyume na maoni ya madakatari. Jamaa ni mbabaishaji sana. Deni la marekani limeaongezaka kwa asilimia karibu hamsini kwa kipindikifupi alichokaa madarakani na kuijenga Marekani kama taifa linalochukiwa duniani, akiondoka ataiacha nchi ikiwa mflilisi kabisa kwa vile aitaweza kukataaa madeni hayo kama livyokuwa akifanya.
Mimi ninakaa Isevya; lakini naona kama Marekani iliingia choo cha kike kuchagua mtu kama Trump. Aliwadanganya kuwa anajua biashara kumbe hamna lolote, anaishi kwa mikopo na kukataa madeni tukwa kutumia sheria za bankruptcy. Sasa hivi nchi iko matatizoni hajui la kufanya bali kusema watu wanywe chroloquin kinyume na maoni ya madakatari. Jamaa ni mbabaishaji sana. Deni la marekani limeaongezaka kwa asilimia karibu hamsini kwa kipindikifupi alichokaa madarakani na kuijenga Marekani kama taifa linalochukiwa duniani, akiondoka ataiacha nchi ikiwa mflilisi kabisa kwa vile aitaweza kukataaa madeni hayo kama livyokuwa akifanya.
Huyu jamaa ni mbabaishaji bhana...Najaribu kuwaza angekuwa rais wa third world hiyo nchi sijui ingekuwaje.
Sumu haionjwi lakini katika dunia ya sasa nchi nyingi, ikiwa ni pamoja na Tanzania, ziliamua kuonja sumu na matokeo yake tunayaona.
KUTOKA VIUNGA VYA DC
Habari ya gonjwa la Corona imefunika habari ya uchaguzi wa Rais wa Marekani.
Baada ya kuanza kwa kusuasua hatimaye Joe Biden sasa atakuwa mgombea kwa tiketi ya Democrats
Ushindi wake ulikuja baada ya maumivu ya chaguzi za Iowa na New Hampshire zilizowaweka Sanders na wengine katika ramani. Joe Biden alipata ushindi South Carolina na kuanzia hapo amewadunda wenzake 24 hadi kubaki mwenyewe baada ya gonjwa kukatisha chaguzi akiwa tayari kamweka Bernie Sanders katika wakati mgumu.
Biden alipata kuungwa mkono na weusi lakini pia watu wa rika hasa wanaoishi vijijini ambako ni ngome ya Trump.
Biden alipata msaada usio rasmi kutoka ndani ya Democrats waliohofia kuhusu sera zake za kijamaa.
Lakini pia alipata usaidizi wa Hillary Clinton aliyemwelezea Sanders kama mtu aliyechangia kumnyima Urais
Tangu mwaka 2016 mahusiano ya Sanders na Clinton hayakuwa mazuri.
Wafuasi wa Sanders ambazo ni ''Russia'' waliolenga kuleta mtafaruku na kuwagawa Dems ndicho chanzo cha ugomvi baina ya wawili hao. Wafusa hao ''Russia'' walijaribu tena wakimtaka Sanders kama mgombea wa Dems
Clinton alijitokeza na kueleza 'tifu' hilo siku chache kabla ya chaguzi za Iowa akilenga kumuumiza Biden.
Msaada mkubwa sana wa Biden ulitoka kwa Trump. Kampeni ya Rais huyo wa Marekani inamuhofia sana Biden kutoka na uwezo wake wa kupenya vijijini na kwamba anaonekana kama mshindani wa dhati wa Trump.
Kampeni ikafanya makosa mawili makubwa.
1. Kumshambulia Bernie Sanders kama mjamaa anayetaka kufuta ubepari.
Hili lilifanyika kwa mtarajio kuwa Sanders atakuwa mbeba bendera wa Dems pale ilipoonekana dhahiri Biden amekwisha.Matarajio yalikuwa kuanza kumshambulia Sanders kwa kumpaka matope.
2. Kosa la pili ni Trump kutumia mikutano na hata state of union kumshambulia Sanders kwa dhana ile ile kuwa atakuwa ndiye mgombea wa Dmocrats.
Kwa kufanya hivyo, kampeni ya Trump haikujua kuwa inamsaidia Biden kama mbadala wa Sanders.
Kibao kilipobadilika kampeni ya Trump imepigwa na butwaa hesabu zote zimevurugika na mbaya wa Trump , Joe Biden ndiye atakayepambana naye.
Hayo yakiendelea gonjwa la Corona limefanya uharibifu mkubwa wa maisha ya watu na uchumi wa Marekani.
Ni uchumi ule uliojengwa na Obama na kurithiwa na Trump akijinasibu ndiye mjenzi na sasa umeanguka.
Karata kubwa ya Trump ilikuwa uchumi, kwa hili la Corona hali ni mbaya sana kiuchumi
Trump analaumiwa kwa kushindwa kudhibiti gonjwa kama alivyofanya Obama na Ebola.
Analaumiwa kwa mizaha na uongo kila uchao hata kufanya kazi za kitaalamu katika jukwaa la kisiasa
Wiki takribani tatu Trump amevurunda kiasi cha kulitia aibu Taifa hilo kubwa
Ni ngumu kueleza kila jambo lakini kuna yanayochekesha na kushangaza kama lile la Rais wa Marekani kufikiri kuwa dawa za kusafisha mazingira zinaweza kutumiwa kuua wadudu wa Corona (Disinfectant).
Hili la Corona lita define nafasi yake katika uchaguzi na Historia ya Marekani
Tutaangalia kwa undani kuhusu tatizo hilo
Tusemezane