TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Mkuu, Trump ni Ushindi, hashindwi yule!! He is so smart! Though there's a risk of leading US into another military failure if he, Trump, insist the No Fly Zone in Syria as well as continue to molest China and Russia!Naona Donald Trump ameamua kukomaa na kukataa ushauri alopewa. Inasemekana hiyo ndiyo ilisababisha hotuba yake kuchelewa kwa kiasi Fulani.
Kwa hotuba yake hii nadhani njiani ataendelea kukwaa visiki...haya Ni maoni yangu Tu ndugu zangu na niko tayari kukosolewa.
Mku hapa nisaidie kidogo. Si alisema NATO ni obsolete! Je ni obsolete?Mkuu, Trump ni Ushindi, hashindwi
Breaking News!
Mtego wa panya waanza kunasa waliomo na wasiokuwemo...Je Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Donald Trump, Jeff Sessions, ataponyoka? Stay tuned!
Kitanzi kinaanza kubana taratibu...Manafort, Flynn na sasa Sessions? Hawa ni makandokando tu, target is isolation by elimination... Sessions hana namna, uamuzi wowote atakaochukua utazidi kumweka tu pabaya yeye na walengwa wengine. He is stuck between a rock and a hard place and no matter which way he goes, it is going to be hard to do. Lenye nafuu kidogo kwake ni kukomaa na kugoma kujiuzulu kwa utetezi wa kisheria kwamba kwa kufanya hivyo hajavunja sheria. Lakini akijiuzulu amejipalia mkaa wa moto pamoja na bosi wake aliyemteua...Sidhani kama atapona na kashfa hii lazima atakwenda na maji kama ilivyokuwa kwa General Flyn.
Moja ya makosa makubwa sana aliyofanya Trump ni kutangaza vita na baadhi ya media kubwa kwa kuziita "fake news"... kwa kufanya hivyo amezidi kuwapa ari ya kumchimba zaidi ili kuibua madudu yake. Yaleyale ya kuanzisha ugomvi wa mawe huku anaishi nyumba ya udongo!
Mkuu tulisema, Wamarekani hawatupi jambo katika media bila sababuHe is stuck between a rock and a hard place and no matter which way he goes, it is going to be hard to do. Lenye nafuu kidogo kwake ni kukomaa na kugoma kujiuzulu kwa utetezi wa kisheria kwamba kwa kufanya hivyo hajavunja sheria. Lakini akijiuzulu amejipalia mkaa wa moto pamoja na bosi wake aliyemteua...Marekani watu hawakurupuki...tuvute subira!
Mkuu Nguruvi3, mambo ni hivi...wapo watu humu wananisikitisha sana; mtu kama hujui mambo ni heri kunyamaza tu na kusoma yanayojiri. Kujaribu kutazama mambo ya Marekani kwa jicho la Kitanzania ni kosa kubwa sana na ndiyo maana kuna wakati niliwaomba tuyajadili haya mambo katika anga zao na si anga zetu.Mkuu tulisema, Wamarekani hawatupi jambo katika media bila sababu...
Katika hotuba yake Trump alikuwa amepanga kulegeza kamba katika maswala mengi tu ili kujaribu kulainisha upinzani lakini washikaji wake wa karibu wakamzuia. Ziko tetesi kwamba hotuba aliyoisoma, haikuwa aliyoiandika ila alilazimika kuisoma kwa ushauri potofu kwamba wale wapenzi wake die hard wangemruka.Katika kufunika habari, leo au kesho utasikia WH ikitangaza jambo 'controversial' kama EO ya wahamiaji. Itakuwa kuahirisha tatizo maana tayari 'upele umempata mwenye kucha'
Nakuambia...! Kila watch dog ni independent, sasa hapo. Ndio maana Mkulu alifanya makosa makubwa alipoanza kwa kuziponda INTEL na MEDIA bila kujua anachochea moto.Mkuu Mag3 siasa za Washington ni next level kama ulivyonena...
Kwa kila anayetajwa na kujiuzulu Mkulu anavuliwa kipande cha nguo na asipoangalia si muda mrefu atabaki bila nguo.Ukitaka kuona ugumu wa sakata fikiria hivi, ilianza kusemwa 'maafisa' wa kampeni. Halafu akatajwa Manafort, kisha Flynn akabeba msalaba, na sasa Sessions
Hao wanafanya kinachoitwa investigative journalism na tofauti yake na wa kwetu ni kwamba ukiwachokoza wanajibu mapigo ila hawafanyi hivyo kwa kukurupuka, hapana, wanachukua time na siku muafaka wanatupa mkuki kwa kulenga penyewe!Media zinakuwa makini kuunda mzunguko mzima, lakini wanapokwenda kunaonekana. Tusemezane
Kwa sehemu fulani amemuokoa bosi wake na pressure kutoka senate and houseBreaking News: U.S. Attorney General Sessions recuses himself from Russia investigations!
Hatimaye Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali ya Donald Trump, Jeff Sessions, asalimu amri na kutangaza kujiweka kando (recuse himself) katika uchunguzi unaotarajiwa kufanyika kuhusu tuhuma za Urusi kuingilia mchakato wa uchaguzi wa Marekani. Kabla ya kutangaza uamuzi huo bosi wake, akijibu swali aliloulizwa, alisema bado ana imani kubwa naye na kwamba hakuwa na taarifa yoyote kuhusu mkutano wa AG wake na balozi wa Urusi. Je huu ndio mwisho au kuna zaidi? Tuzidi kuvuta subira...!
Haya mambo yanaendelea kuwa mambo...!Kwa sehemu fulani amemuokoa bosi wake na pressure kutoka senate and house
Kwa upande mwingine, sasa amefungua 'Pandora's box'
1. Atakuwa subject wa investigation
2. Ataungana na Flynn kutengeneza 'team' iliyosemwa iliwasiliana na Russia
3. Media zitaendelea na curiosity kumhusu na Flynn
4. Uchunguzi wa Russia utapamba moto kwasababu umepata miguu
Kwa muda mambo yataonekana kupoa, mbele ya safari itakuwa tatizo
Huyo anayeitwa Independent Special Prosecutor, ISP, ndiye anawatia Republicans hofu na hivyo wanajaribu kumkwepa kwa kuing'ang'ania DOJ, Department of Justice, kuendesha uchunguzi. Kwa Sessions kujitoa, itabidi uchunguzi usimame hadi msaidizi wake aapishwe.Hoja ya kuwa na 'independent special prosecutor' kuliangalia suala zima inazidi kupata nguvu
Hofu ya Democrats ni uchunguzi kusimamiwa na DOJ, au mtu yeyote yule anayeteuliwa na Rais, hawaamini kama mtu huyo anaweza kuwa huru na ndiyo maana tayari wanamtaka Independent Special Prosecutor ndiye aongoze uchunguzi.Dems wanahoja kuwa uchunguzi gani utafanyika ikiwa anyechunguzwa ana madaraka na yumo ndani?
Ikitokea uchunguzi ukawa mikononi mwa ISP hakutakuwa tena na namna na mipango ya WH lazima iwe derailed.Mengi yanakuja na yata derail sana WH na mipango. Mkakati wa ku delegitimize media una backfire
Hapa kuna kitu sijaelewa, Deputy ataapishwa kusimamia DOJ au uchunguzi peke yake na role ya Sessions katika DOJ itakuwaje"Mag3, post: 19960916, member: 10873"]Independent Special Prosecutor, ISP, ndiye anawatia Republicans hofu wanajaribu kumkwepa kwa kuing'ang'ania Department of Justice, kuendesha uchunguzi. Kwa Sessions kujitoa, itabidi uchunguzi usimame hadi msaidizi wake aapishwe.
Hapo ndipo mtihani ulipo maana kila aliyekuwa na mkono ataitwa na kujieleza alishiriki vipi, alijua nini na kwa vipiTatizo la ISP ni kwamba anapewa nguvu zisizo na mpaka ikiwemo ya kumwita na kumhoji mtu yeyote ikiwa ni pamoja na Rais mwenyewe bila kuingiliwa na chombo chochote.
Kuna pande kadhaa katika hiliHofu ya Democrats ni uchunguzi kusimamiwa na DOJ, au mtu yeyote yule anayeteuliwa na Rais, hawaamini kama mtu huyo anaweza kuwa huru na ndiyo maana tayari wanamtaka ISP aongoze uchunguzi.Ikitokea uchunguzi ukawa mikononi mwa ISP hakutakuwa tena na namna WH lazima iwe derailed