Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

Hakuna ubishi kuwa Trump ali-collude na Russia ili kuhack computers za democrats na kuvujisha taarifa amabazo ni embarrasing tu. Ndiyo maana amekuwa defensive sana kuhusu swala hilo. Kwa upande mwingine kuna wasiwasi kuwa Pence anataka kumtumbua Trump kusudi yeye ndiye achukue kiti kwa mujibu wa katiba. Tusubiri gemu litaishia wapi. Hata hivyo Trump ana mambo ya kitoto sana katika umri wake na hadhi yake; kila siku yeye amekuwa ama ni mtu wa kulaumu wengine na wa kujishow-off ili apate credit kwa jambo lolote hata kama hakulifanya yeye. Hizo ni tabia za matineja wa form 2.
 
Nguruvi3 na Mag3 kwa mfano mambo haya yakiselelea mpaka kwenye Impeachment ya Trump je Dems wapo tayari kuzihimili athari zake? Na kwenye uchaguzi ujao nafasi ya Dems itaongezeka ama ndiyo itapotea kabisa?
Mkuu, kama tunavyosema kila mara, mfumo wa utawala wa US upo katika misingi inayojiendesha yenyewe na haitegemei vyama vya siasa

Ikifika katika impeachment na 'ikatokea' kwamba analazimika kuachia ngazi,kuna utaratibu wa kumpata anayeongoza nchi. Si suala la Dems kama wapo tayari

Nafasi ya Dems itakuwa nzuri kwa kuzingatia wana agenda.
Kwamba, hilo watalitumia kama walivyotumia suala la emails kwa Clinton

Ni muhimu kukumbuka kuwa Trump ana 'base' ambayo hata iweje haiwezi kumwacha
Kama utakumbuka katika uzi wa primaries tulionyesha anavyoshinda kwa asilimia 30 wenzake wakigawana na mwisho aliwabwaga

30% ya Republican inamwani hata pale kashfa kama zile za Hollywood tape zilipotoka
Kwanini alishinda kama ni 30%. Hapa kuna factors nyingi sana.

Kuna independents waliomuunga mkono, walioathirika kiuchumi,supremacist waliosimama naye,waliotaka mabadiliko nje ya establishments n.k. Ni orodha ndefu

Siyo suala la kashfa litakaloipaza Dems, ni lazima waangalie constituents zinataka nini
Ni lazima wawe na mtu atakayeweza kubeba ujumbe kwa umakini
 
"Kichuguu, post: 20004924, member: 348"]Hakuna ubishi kuwa Trump ali-collude na Russia ili kuhack computers za democrats na kuvujisha taarifa amabzo ni embarrasing tu.
Ndiyo maana amekuwa defensive sana kuhusu swala hilo.
Mkuu kwa hili kuna jambo
Wiki nzima tumeongelea media za US na jinsi zinavyofanya uandishi wa uchunguzi na zinavyotoa habari

Kwanza, Intel community zilifanyia kazi habari za media kuhusu kuhusika kwa Russia na kusema ni kweli . Trump na Obama walikuwa briefed kuhusu nini Russia imefanya nani na kwa wakati gani

Trump aka react kwa style ya kampeni, kutaka kufanya media zionekane bogus kwa kuzishambulia
Wakati huo huo alishambulia Intel community kwa sababu hizo hizo za kuaminisha ni bogus

Habari zikawa zinavuja kutoka IC kufikia media. Trump alitambua njia ya kuzuia ni kuwa na 'mtu wake' katika DOJ ambaye ni Sessions ili kuzima habari zozote zinazohusu Russia.

Media zikaanza na Flynn hadi alipomwagwa. Kwa bahati mbaya Trump aka react kuwa ni fake news ingawa alikubali kuna leak. Media zikaendelea kutaja hadi wakafikia 5 na 'mkwe Jared' akiwemo

Sessions akawa na mawili, kujiuzulu au ku recuse katika investigations.
Hapa nyuma tulisema yote mawili ni mwiba. Kujiuzulu kuna mweka mahali pa kuhojiwa kwasababu anapoteza exec privilige.Recuse haimsaidii Trump kwasababu Sessions hana uwezo wa kuzuia tena

Wasaidizi wake wakshindwa kutetea hoja ya Sessions huku idadi ya watuhumiwa ikiongezeka
Trump yupo frustrated kwa namna moja, kwamba alisema ' hakuna afisa wa kampeni aliyehusika'
Well, wote wanaotajwa ni maafisa wa ngazi za juu kabisa.
Hapa tweet inameudi kama livyowahi kusema Mag3 siku za nyuma

Trump akajaribu mbinu za kampeni na Transition zilizomsadia, kuondoa watu katika hoja
Kwanza, akazungumzia kujiuzulu kwa Schwartzniger katika kipindi cha apprentice. Ikashindikana
Kaongelea kuhusu shambulio la Yemen na habari zilizopatikana, imeshindikana
Kazungumzia kuhusu EO ya wahamiaji mpya. Ikagoma. Katumbukiza Obamacare, haijadiliki

Waandishi wameshabaini na wameshikilia suala la Russia kwa kina. Trump jana katupa karata yake ya kuzusha utata. Ni utata kama ule wa ''lock up her' ,idadi ya kura za wahamijai milioni 3-5 bila ushahidi

Amefanikiwa kwa siku moja kwani kusema Obama amedukua simu zake Trump tower ni sawa na kashfa ya wategate iliyomuondoa Nixon August 9 1974. Habaria hizo hakupata kutoka Intel briefing
Zimetoka kwa blogger wa right wing. Kwa kosa kama lile la Sweden na mlipuko kafanya tena

Leo DNI wa zamani Clapper amekanusha suala hilo na taarifa zilizopo ni kuwa Dir wa FBI James Comey ameitaka DOJ imweleze Rais habari hizo si kweli na zirekebishwe. Comey amejirudi kinyume na alivyomfanyia Clinton. Tatizo ni kuwa pale DOJ nani atasema? Sessions hawezi kwasababu ame recuse


Inaendelea....
 
Inaendelea..

Hivyo FBI wame prove kuwa hakukuwa na wiretape na Dir of national intelligence Clapper ame prove

Katika kucheza na akili Trump amesema hataliongelea hadi intel committee ya Bunge itakapochunguza

Maana yake WH haItaki kuulizwa source kwani yeye akiwa Rais anazo zote bila kipingamizi

Lakini anajua suala likienda kwa Inte committee litaendelea kuwa habari na kufunika suala la Russia

Tatizo analokumbana nalo ni kuwa swahiba wake Nunes wa Inte committee anatakiwa awe na sababu

Hakuna chanzo chochote cha maana cha habari na hilo litakuwa ni tatizo, huku FBI ''wakikanusha''

Kwa sheria za US suala la wiretapping linafanywa na FBI tu tena baada ya court order
Kwa taarifa hizi za jioni za US na Europe media, inaonekana itakuwa ni ngumu ku prove

Tatizo lingine litazuka ikitihibitika madai yake si kweli kama ilivyo sasa.
Kwamba, Rais hawezi kupata habari za uhakika. Na media zitauliza ,je hizi si fake news?

Hapa ataongeza curiosity kuhusu Russia na kwavile media zimeshamjua,suala la Russia litaendelea

Kinachomtisha ni ukubwa na uzito wa wahusika, tweet zake za nyuma, mahusiano yake na Russia, mambo kama ya biashara, tax n.k. Yote yanawekwa katika kapu moja la Russia na ni mtihani kweli

Wiki hii ata deal na mambo mawili, kwanza habari ya Obama anayotakiwa athibitishe beyond doubt

Halafu ikipoa, media zitaibuka na Russia na orodha au tukio jingine. Kwa uzoefu wiki hii atakuja na kitu chenye utata ili kuua hoja zote mbili,hata hivyo kwa hili la Obama akifanikiwa litamsaidia, akishindwa atakuwa katika wakati mgumu sana. La russia litaendelea na zipo habari nzito zinazosubiri muda

Hebu tuangalie kwanini ameingiza suala la wiretapping na Obama kwa wakati huu?

Inaendelea...
 
WATERGATE
YA TRUMP NA OBAMA

Kashfa iliyomuondoa Nixon madarakani inajulikana kama watergate baada ya maafisa wa Nixon kuvunja, ku wiretape na kunukushi nyaraka za DNC (Ofisi za Dem).

Baada ya uchunguzi ilibainika waliofanya hivyo ni maafisa wa juu wa Rais Nixon.
Hilo likapelekea Nixon kuwa impeached na kuachia ngazi Aug 9 1974

Trump anachikifanya kwa mtazamo tu ni kumhusisha Obama na kuingilia mawasiliano Trump Tower
Hilo halitakuwa tofauti na kashfa ya watergate na kuanzia jana amelizungumzia kwa mtazamo huo

Kwamba, hata kama si Obama, lakini kupitia maafisa wake walifanya hivyo na yeye kufanya cover up kama livyofanya Rais Richard Nixon. Huo ni mtazamo binafsi wa suala hili kwa ufupi

Kuna jambo linalowafananisha Trump na Nixon,wote wana ugomvi na media nyakati za tawala

Upande wa pili wa shilingi kuhusu Watergate
Ikibainika pasi na shaka maafisa wa kampeni na transition team wa Trump walikuwa na mawasiliano ' na Russia' yaliyopelekea kuingilia uchaguzi, Trump kama Nixon atajikuta katika sehemu mbili

Kwanza, anaweza kuhusika moja kwa moja na suala zima kama mshiriki
Pili, maafisa wake wanaweza 'kumshirikisha' kwa namna moja au nyingine (Cover up)

Naye kama Nixon anaweza kujikuta mbele ya Bunge

Mtazamo wa pili , huenda Trump keshanusa miongoni mwa maafisa wake zipo data kuhusiana na mambo ya kifedha n.k. Hivyo kusema kuna wiretapping ni katika pre preemptive action

Ikifika kwa impeachment (nadharia tu) Trump atakuwa na wakati mgumu kutokana na ugomvi na nguli wa DC kama wanavyojulikana the establishment. Ni rahisi kwa ngamia kupenya tundu la sindano......

Ni kwa mtiririko huo tulioona, Trump anatafuta kila njia suala la Russia linalizike
Ingalikuwa hakuna lolote, angeachia tu watu wahangaike na mwisho wa siku yupo salama

Hapa napo kuna hoja ya Kichuguu kwamba VP Pence yupo katika mkao wa lolote achukue ukanda
Kama mtakumbuka, wakati wa kampeni tulieleza kwanini Pence amekuwa mvumilivu sana

Alijua huenda hawatashinda kwa jinsi mwelekeo wa kampeni ulivyokuwa.
Alichotaka ni kujenga network kwa 2020. Bahati nzuri ikawa kinyume sasa ni VP na network anayo

Katika mazingira ya kawaida, yeye angeongoza jitihada za kumnasua Bosi wake na kadhia ya Russia

Tofauti, yupo kimya akiendelea kujisafisha na makando kando yake akiwa Gavana na emails

Kwa kiasi kikubwa wanaosema anasubiri muda hawapo mbali na ukweli. Ndivyo inavyoonekana

Kuna jambo moja lilitokea wakati Obama anatoa hotuba ya kuaga kule Chicago.

Katika hotuba ile Obama alizungumzia sana Demokrasi kama msingi 'core value' ya US kwa hisia.

Ukiangalia mambo yanavyokwenda ni kama alikuwa na abcd za haya yanayoendelea
Pengine hakutaka tu kuyarudia kwa kuchelea kuharibu protikali.

Tusemezane
 
Naona mapambano ya MSM dhidi ya Rais wa Marekani yamepanda ngazi nyingine ya juu. BBC hawamtablishi tena Donald Trump kama rais wa Marekani bali rais wa Republican.
=================
What did Trump allege?
The Republican president, who faces intense scrutiny over alleged Russian interference in support of his presidential bid, made the claims in a series of tweets on Saturday.

He offered no evidence to support his allegation that phones at Trump Tower were tapped last year.
BBC
 
Naona mapambano ya MSM dhidi ya Rais wa Marekani yamepanda ngazi nyingine ya juu.
BBC hawamtablishi tena Donald Trump kama rais wa Marekani bali rais wa Republican.
=================
What did Trump allege?
The Republican president, who faces intense scrutiny over alleged Russian interference in support of his presidential bid, made the claims in a series of tweets on Saturday.

He offered no evidence to support his allegation that phones at Trump Tower were tapped last year.BBC
Mkuu hapa ni suala la lugha, kwa mtazamo wangu sioni tatizo

Utasoma gazeti limeandika 'Dar rejects EAC single visa'
Unaweza tafsiri Dar es Salaam ndiyo imekataa, kwa lugha za kiuandishi ni Tanzania

Pili, media hazina ugomvi na Trump kwasababu kwao Trump ni sehemu ya kazi
Trump ana 'ugomvi' na media na hili tumelijadili huko nyuma ni kwanini, si bahati mbaya

Tatu, hakuna mpambano kama unavyosema kwa mtazamo wako.
Tulisema siku za nyuma, Trump ni Rais na kila kauli yake inabeba uzito

Siyo mgombea wala transition, ni Rais anayetawala

Anayeanzisha habari ni Trump. Kwa mfano, juzi ka tweet kuhusu Obama.

Tutarajie alichosema kitakuwa proved na kamati za senate na house kweli
Kinyume cha hivyo, huoni katengeneza story mwenyewe?

Hata hivyo Former DNI na FBI wanapokanusha kuwa haikutokea, huoni jambo hapo?
 
Iraq wasamehewa....! (sijajua sababu hasa).
==============
Donald Trump is to sign a new executive order on immigration later on Monday, his aide Kellyanne Conway has said.

A revised order has been expected from the White House since the earlier ban was blocked by a federal court.

The previous order suspended the entire US refugee resettlement programme and blocked citizens of seven Muslim-majority nations from entering the US.

It sparked confusion at airports, as people with valid visas were turned away, and mass protests.

President Trump's administration argued that the ban was necessary to keep the US safe from terrorism.
--------------
What is different about the new order?
While the text of the new executive order has not yet been published, Ms Conway, a senior aide to Mr Trump, told Fox News that Iraq would be left off the list of countries whose citizens will banned from the US.

Citizens of Iran, Libya, Syria, Somalia, Sudan and Yemen, the other six countries on the original list, would once more be subject to a 90-day travel ban.

However, according to a fact sheet for Congress seen by the Associated Press, the travel ban will not apply to those who already have valid visas
 
......
Amefanikiwa kwa siku moja kwani kusema Obama amedukua simu zake Trump tower ........

Kuna hiki kitu (Kama ilifanya agency ya US chini ya Obama) lawama lazima zimwendee Obama.
========

Trump claims that the Obama administration bugged Trump Tower before the election. Sound nutty?

Perhaps … but former Attorney General Michael Mukasey said that Trump is probably right that Trump Tower was bugged (by the Justice Department, not Obama personally). And chief Fox News Washington correspondent James Rosen – who Obama’s Attorney General Eric Holder ordered be bugged … like many other reporters for well over a decade – said he thought Trump might be right:
--------------
Nisiwachoshe someni wenyewe>>>http://www.globalresearch.ca/top-nsa-whistleblower-intelligence-agencies-did-spy-on-trump/5578237
 
Mkuu TUJITEGEMEE

Nimesoma hiyo article ya Fox sikuelewa nini hasa kimekushawishi kufikia hatma
Nilichokiona ni theory za watu kuhusiana na experience za nyuma

Ukisoma article kwa hisia za awali (preconceived notion) utajikuta una miss mengi
Tunajadili mambo kwa upana wake,si kumhukumu au kutetea

Suala hili lina sura nyingi

1. Trump ametuhumu Obama akimfananisha na Nixon na watergate
Hakutuhumu Obama administration ambayo vipo vyombo kama IC

Trump hana uthibitisho wa madai, kama Rais anayeweza kuamuru classified information kuwa declassified. Kitendo tu cha tweet ni 'ku declassify' alipaswa kuwa na uthibitisho

2. Kama suala hilo limetokea, nani alihusika na Administration (siyo Obama kama mtu) ilijua nini na kwa wakati gani? Haya yanakuwa na back up ya Intel Community

3. Kuna uwezekano mawasiliano yalinaswa
Ndivyo follow up ya balozi wa Russia ilivyomweka matatani Flynn na sasa Sessions

Kazi ya kutafuta mawasiliano ni ya Ic ambayo kwa pamoja (16) zimesema kulikuwa na interference ya Russia.Walinasa makachero wa Russia wakishangilia ushindi.

Ikitokea kulikuwa na mawasiliano na Trump team katika shangwe hizo yaliyonaswa hiyo siyo kuingilia mawasiliano, ni kupata habari za kiintelejensia zikihusisha kampeni

FBI na James Comey wameshangazwa na suala la Trump.
Clapper, DNI kasema hakukuwepo na habari hizo.

Dir of FBI na Dir of National intelligence wana provide security briefing kwa Rais
Kumbuka, surveillance ya watu wa high profile kamamapeni inahitaji court order

Hadi hapo unaweza kuona mwelekeo. Lakini pia inaweza kuwa imetokea nje ya utaratibu. Kama wapo waliofanya hivyo Trump akiwa mkuu wa nchi anajua

Ni dhima yake kuthibitisha ili uchunguzi ufanyike kubaini kama Admin ya Obama ilihusika au Obama kama mtu alihusika. Hivyo uchunguzi unahitaji mahali pa kuanzia

Na mwisho nikukumbushe kidogo.

Trump aliwahi kusema Obama si Rai w US.Je, aliwahi kuthibitisha hilo ?
Akasema kuna watu milioni 3-5 wamepiga kura, je, amewahi kuthibitisha?
Trump akasema Obama alipendelea wakimbizi. Aliwahi kuthibitisha?

Swali, kwa kauli hizo , je, inatosha kufikia conclusion kabla ya kupata habari zaidi?
Na kwa nini mambo hayo hayakufanyiwa uchunguzi?

Mkuu haya mambo ukiyaangalia haraka haraka ni mepesi sana na unaweza kufikia conclusion kirahisi, mbele ya safari ukaangalia nyuma na kujiuliza tena

Tusemezane
 
Iraq wasamehewa....! (sijajua sababu hasa).
==============
....
Nimezipata Sababu!
--------------
a. The Suspension of Entry No Longer Applies to Nationals of Iraq.

Executive Order No. 13,769 suspended, for a period of 90 days from the effective date of that Order, the entry of certain nationals of the seven countries referred to in Section 217(a)(12) of the Immigration and Nationality Act (“INA”), 8 U.S.C. § 1101 et seq.: Iran, Iraq, Libya, Somalia, Sudan, Syria, and Yemen. 8 U.S.C. § 1187(a)(12).

Iraq, however, presents a “special case.” New Executive Order § 1(g). Unlike the other six countries, there exists a close cooperative relationship between the United States and the Iraqi government, a strong United States diplomatic presence in Iraq, a significant presence of United States forces in Iraq, and a commitment by Iraq to combat the Islamic State of Iraq and Syria (“ISIS”). See id. And notably, since Executive Order No. 13,769 was issued, “the Iraqi government has expressly undertaken steps to enhance travel documentation, information sharing, and the return of Iraqi nationals subject to final orders of removal.” Id. Accordingly, the suspension of entry provisions no longer apply to Iraqi foreign nationals. See id. §§ 1(f), (g).1
1.Although the temporary suspension no longer applies to Iraqi foreign nationals, the New Executive Order states that Iraq is still host to an ongoing conflict that has impacted the Iraqi government’s capacity to secure its borders and to identify fraudulent travel documents. See New Executive Order § 1(g). Accordingly, the New Executive Order notes that “[d]ecisions about issuance of visas or granting admission to Iraqi nationals should be subjected to additional scrutiny to determine if applicants have connections with ISIS or other terrorist organizations,
==>NOTICE OF FILING OF EXECUTIVE ORDER - 4 State of Washington, et al. v. Trump, et al., No. 2:17-cv-00141 (JLR)
===>>Case 2:17-cv-00141-JLR Document 108 Filed 03/06/17 Page 4 of 17
 
Mkuu TUJITEGEMEE

Sababu unazosikia au kuzisoma ni kwa ajili ya public katika kupunguza joto

Iraq imegharimu askari wa US wakati wa Saddam na kisha Alqaeda ya Al Zarqawi.
Kuna gharama kubwa kwa maisha na rasilimali

Kwasasa wapo ISIS kule Mosul na kwingineko ambao ni tishio la usalama
US inasaidia majeshi ya Iraq kupambana nao

Tangazo la kwanza lilitengenezwa kwa misingi ya kampeni na si uhalisia wa hali
Baada ya kuwa na timu ya majeneali unaona kimuhe muhe cha kampeni kimepungua

Marufuku ya kwanza iliwaweka askari wa US kule Mosul Iraq katika hali tata
Wangekosa ushirikiano na wenzao wa Iraq na hilo lingepelekea maafa

Mambo mawili yangeweza kutokea

1.Mosul kuangukia kwa ISIS na kuwa makao yao kwavile jeshi la Iraq halikuweza
2. Jeshi la Iraq kufanikiwa kukomboa Mosul wakiwa peke yao

Katika'' Geopolitics'' Iran ingekuwa na ushawishi mkubwa kwa Iraq kuhusu Uislam
Tayari Russia wana influence ndani ya Iran, na China ni mshirika wa biashara na Iran

Kuachia Iraq kuangukia katika makundi hayo mawili si kwema kwa usalama wa US
Katika tension na Iran kuhusu Nuke US inategemea Iraq kiintelejensia kwa ukaribu

Lakini pia angalia Syria. Tayari Russia wana influence. Hiyo maana yake ni kueleza kuwa mahusiano mabaya na Iraq yatapanua wigo wa mahasimu mashariki ya kati na mbali

Katika ku strike balance Iraq ikaondolewa kwa maneno matamu.

Huwezi kuiweka Iraq kijiografia na kisiasa kikapu kimoja na Yemen, Sudan au Somalia

Suala zima lipo katika muktadha wa usalama na uchumi ambao ni sehemu ya usalama

Tusemezane
 
Naona mambo yanaanza kuwa mambo...wiki mbili zijazo zitaibua mengi na yale yote yaliyofichwa uvunguni kuna hatari ya kuanikwa nje nje. Mambo yalipofikia tukae mkao wa kula tuone Marekani inavyo dili na issue ambazo kama zingetokea hapa kwetu hakuna ambaye angekuwa na ubavu wa kuzigusa. Kwa kweli huku ndiko kukomaa kidemokrasia...naipenda Marekani.

Tuvute subira...!
 
tik, tak, tik, tak, tik, tak, tik, tak...sekunde, dakika na siku zinazidi kuyoyoma. Tuzidi kuvuta subira tusije tukarukia mambo bila kuhakiki ukweli wake. Tetesi ni kwamba yataibuliwa mengi yanayoweza kuleta hali isiyoweza kutabirika kirahisi kwa sasa. Obama aliposikia kwa mara ya kwanza tuhuma za kuhusishwa na kinachoitwa "wire tapping" hakusema kitu ila alitoa jicho lililotafsiriwa kama la kushangaa na kujiuliza "is that so!"

Hint No. 1: Flynn alikuwa registered foreign agent wa Uturuki akilipwa mamilioni ya fedha mwisho mwisho wa kampeni.
 
Hint No. 1: Flynn alikuwa registered foreign agent wa Uturuki akilipwa mamilioni ya fedha mwisho mwisho wa kampeni.
Mwaga ushahidi wote usiweke nusu nusu, Mwalimu!
==================
In September 2016, Flynn's consulting firm, Flynn Intel Group, Inc., disclosed it was working for Inovo BV, a Dutch-based consulting firm owned by Ekim Alptekin, a businessman with ties to Turkey’s government and its president, Recep Tayyip Erdogan.According to documents filed with the DOJ, the Flynn Intel Group was hired to “perform research” on Fethullah Gülen and his network of charter schools as well as “form a film and production crew for the purposes of producing a video documentary based on its research associated with Mr. Gülen.”

Turkish authorities have accused Gülen of inciting an attempted coup in 2016. Thousands of his supporters have been jailed, and Gülen fled to the US. The Turkish government has called on the US to extradite Gülen to Turkey.
On November 8, 2016, election day, Flynn wrote an editorial that appeared in The Hill, calling Gülen a “radical Islamist,” who was in control of “a vast global network” of extremists, which has “all the right markings to fit the description of a dangerous sleeper terror network.

The article also called Turkey a “vital” ally to the US and said they were the “strongest ally against the Islamic State in Iraq and Syria.”Flynn’s contract ended on November 15, three days after he was appointed to be Trump’s national security adviser. Once Flynn was appointed, Flynn Intel Group shut down its operations. They filed a final public disclosure report on December 1 and did not renew their contract with Inovo BV.

The group says they refiled with the DOJ due to their work with Inovo BV, which they say “focused on Mr. Fethullah Gülen” and “could be construed to have principally benefitted the Republic of Turkey.” In an interview with the Associated Press, Alptekin said that the documents were amended in response to "political pressure." Alptekin said he did not agree with the decision to file the registration documents with the Justice Department.

"I disagree with the filing," Alptekin told AP. "It would be different if I was working for the government of Turkey, but I am not taking directions from anyone in the government."
Source:Flynn received over $500k lobbying as ‘foreign agent’ of Turkish government
 
Kutupilia mbali ObamaCare bado kuko juu ya meza, Trump awashauri Dems washiriki kuwanusuru Wamarekani na gharama kubwa za mpango wa bima hiyo!
==============================
President Donald J. Trump Delivers the Weekly Address
Donald Trump hawahitaji Democrats ku-repeal na ku-replace Affordable Care Act. FYI upinzani anaopambana nao kwa sasa unatoka kwa Republicans ambao wanauita mpango wake Obama Care lite!
 
Kutupilia mbali ObamaCare bado kuko juu ya meza, Trump awashauri Dems washiriki kuwanusuru Wamarekani na gharama kubwa za mpango wa bima hiyo!
Mkuu, haya mambo si ya kusikiliza tu, yanahitaji kuyafahamu pia

Kinachozungumzwa kwa ACA kinaonekana kibaya kikawa stigmatized Obamacare

Nilisikia Virginia wakihojiwa na Radio moja, wanasema hawataki Obamacare wanataka ACA kwasababu imewasaidia . Hawa hawajui Obamacare na ACA ni nyaraka moja

Watajikuta wanaingia katika mtego kama ule wa Employment rate

Katika kampeni Trump alisema namba zinazotolewa na bureau of stats ni za kupika, na kwamba unemployment rate ni kubwa. Akaalani job creation ya Obama

Jana, namba kutoka ofisi anayosema ni fake na amekaririwa zaidi ya mara 7, amezisifu

Kwahiyo bureau of stats inafanya kazi, namba nzuri ni kweli kinyume ni mbaya

Hili linaweza kukupa picha hali ilivyo

Ni Trump wiki mbili zilizopita alisema Healthcare ni kitu complicated, leo anasema ata repeal and replace Obamacare unaaamini bila kujiuliza mambo kadhaa

1. Unaweza kutupa cost za proposed healthcare a.k.a Trumpnocare?
2. Kwanini Republicans hawataki kusikia taarifa ya CBO ?
3. Kwanini Republican wanao control Senate, house, magavana na WH wanapata ?
4. Kwanini Dem wamekaa kimya, na Obama aliwaambia nini kabla ya kuondoka?

Ukijiuliza maswali hayo, ukatafuta majibu utaona kauli yako 'Kufutilia mbali Obamacare' si rahisi kama unavyoiona au kudhani.

Hili suala lipo mikononi mwa Republicans na linawapa tabu sana sasa hivi

GOP wanataka kuchanganya Repeal and Replace na Budget ili kutumia 50% kupitisha
Kinyume chake watahitaji 60% ya vote.

Kwa hali ilivyo ndani ya Republicans kuna mpambano

1. Wapo wanaotaka kitu tofauti kabisa kisicho na chembe za Obamacare
2. Wapo wanaotaka improvement ya Obamacare na si kuifuta
3. Wapo wanaotaka kitu kipya lakini kichukue mazuri ya Obamacare

Draft inayozungumziwa sasa imetengenezwa na Paul Ryan si Trump.

Katika draft kuna mambo ya medicaid na coverage ambayo Trump aliyataka

Trump aliacha house itengeneze draft akijua kuna backlash kutoka constituents.

Leo VP alikuwa Kentucky ambako Obamacare imeokoa maisha, kama kule Virginia

Hizi ni Red states na zipo nyingi zinazoona Obamacare ipo mashakani kama maisha yao.

Ni rahisi kusikia Obamacare ni mbaya, kama ambayo nitakuuliza wewe, Ubaya wake ni upi ukilinganisha na draft iliyopo?

Kufuta Obamacare kutaathiri employment na hayo hayaonekani sasa hivi

Mkuu, hili suala Wamarekani wamegawanyika na si la' kubaki mezani au kufutilia mbali'

Ingekuwa rahisi kama unavyosema lingeshamalizika siku 50 zilizopita.

Tusemezane
 
Back
Top Bottom