Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani

Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani

Hivi kwanini mnapenda ku-assume sana vitu humu?
El Jefe, nimeamua kuwa kuanzia sasa nitakuwa nakujibu kwa ushahidi ama wa video, sauti au maandishi na wewe nakuomba ufanye hivyo hivyo kuondoa ubishi usiokuwa na maana. Kwa kuanzia ni ahadi ya Trump to repeal and replace Obamacare, akiungwa mkono na Dr. Ben Carson ambaye anaahidi akipewa hiyo nafasi atasimamia utekelezaji kuhakikisha Obamacare inapigwa stop mara moja.

 
"El Jefe, post: 18591802, member: 387168"]Naomba unifahamishe kilichopo katika tax file ya Trump.

Halafu unaniuliza kwanini Trump hakutoa tax return zake? Seriously
Ulisema hana Lobbyist au special interest.

Nikauliza ,unaposema hivyo umeona Tax file kiasi cha kamini hana vitu hivyo?

Mimi sijui kuna nini katika tax file yake ndiyo maana sijasema hana special interest au lobbyist. simple

Unaposema Hillary hakutoa speech zake, ni hoja zinazochosha
Speech na Tax file ni vitu tofuati

Hakuna Rais wa US wakiwemo wagombea wa GOP aliyekataa kutoa tax file yake, maana yake si sheria bali utamaduni kama ule wa concession speech.

Lakini muhimu hapa ni wewe kuelewa kuwa hoja za speech zinajibiwa kwa mtazamo huo na hoja za tax zinajibiwa kwa mtazamo huo.

Hapa ndipo tunakueleza kila siku, haya mambo si Simba na Yanga! Umeelewa!
 
Ndiyo hoja yako kuwa Trump anaita watu wengi ili kujaza nafasi. Ukatoa hadi namba. Tukakueleza si hivyo, kuna nafasi anateua moja kwa moja na nyingine analetewe zikiwa zimefanyiwa vetting.

Sikumaanisha kwamba Trump ataita hao mamia wote kwa siku moja kwa sababu bado ana zaidi ya mwezi kukamilisha kazi ya kuteua kwa 'key positions' na sio 'key cabinet positions' kama ulivyosema mwanzo.
 
Ulisema hana Lobbyist au special interest.

Nikauliza ,unaposema hivyo umeona Tax file kiasi cha kamini hana vitu hivyo?

Mimi sijui kuna nini katika tax file yake ndiyo maana sijasema hana special interest au lobbyist. simple

Unaposema Hillary hakutoa speech zake, ni hoja zinazochosha
Speech na Tax file ni vitu tofuati

Hakuna Rais wa US wakiwemo wagombea wa GOP aliyekataa kutoa tax file yake, maana yake si sheria bali utamaduni kama ule wa concession speech.

Lakini muhimu hapa ni wewe kuelewa kuwa hoja za speech zinajibiwa kwa mtazamo huo na hoja za tax zinajibiwa kwa mtazamo huo.

Hapa ndipo tunakueleza kila siku, haya mambo si Simba na Yanga! Umeelewa!

Sijakuelewa unavyosema utawatambua special interests na lobbyists wa Trump kupitia kwenye tax return.

Fedha zinazotumika kwenye kampeni na SOURCES zake zina-kuwa tracked na FEC.

Hamna doubt kwamba Trump alikuwa ana-influence decisions Washington DC. Alikuwa insider na alikuwa anaingia gharama za ku-lobby na according to IRS hizo gharama sio tax deductible.

Waliokuwa wanadai tax returns za Trump walikuwa na concern kwamba hajalipa federal na states taxes effectively/ hajawa tax compliant.

Hao special interets na lobbysts wanajulikana sio watu au kampuni zilizojificha kwa sababu shughuli zao ni halali kisheria na wanafanya kwa uwazi.
 
Sikumaanisha kwamba Trump ataita hao mamia wote kwa siku moja kwa sababu bado ana zaidi ya mwezi kukamilisha kazi ya kuteua kwa 'key positions' na sio 'key cabinet positions' kama ulivyosema mwanzo.
Nilichokimaanisha katika hayao nili bold ni Cabinet and key positions. Sasa kama unatafuta spelling error na kuifanya mjadala hilo linaeleza ombwe la hoja.

Tena nilikwenda mbali na kukuleza kuwa position hizo ni kama za WH, Treasury and Security

Kama unadhani nafasi zote hazijazwi siku moja, hapa ulimaanisha nini
"El Jefe, post: 18588395, member: 387168"]Trump anategemewa kuteua watu kwenye nafasi 1270 zitakazoidhinishwa na Senate na nafasi 363 ambazo sio za kuidhinishwa na Senate. Unategemea azungumze na watu wachache?
please hebu tuwe na mjadala constructive
 
Kama unadhani nafasi zote hazijazwi siku moja, hapa ulimaanisha nini please hebu tuwe na mjadala constructive
Nilimaanisha position ni nyingi na anakutana na watu wengi. Hayo ya kusema wote anakutana nao kwa siku moja sijui umetoa wapi.
 
Naomba nijibiwe kwanini Hillary hakutoa Scripts za speech zake za Wall Street?
 
"El Jefe, post: 18592836, member: 387168"]Sijakuelewa unavyosema utawatambua special interests na lobbyists wa Trump kwenye kupitia kwenye tax return.
Unajua kuna wakati huna hoja.
Nilichosema kama hana special interest au lobbyist ni vema uone vitu vingi.

Ndiyo maana watu wanadai tax return kuoanisha na nyaraka nyingine na kuleta maana iliyokusudiwa.

Special interest na Lobbyist wapo wa aina nyingi

Kwa mfano, kampeni za Marekani pesa zinazotumika zinajulikana.

Lakini kuna kitu kinaitwa super PAC humo kuna watu wana interest zao

Ni kweli lobbyist wapo legally lakini si hivyo tu watu wana circumnavigate the system
Na unaweza kujua hayo kupitia nyaraka mbali mbali

Hivyo usiiangalie tax return kwa wepesi tu

Source ya income na kodi zake zipoje?
Hamna doubt kwamba Trump alikuwa ana-influence decisions Washington DC.Alikuwa insider na alikuwa anaingia gharama za ku-lobby na according to IRS hizo gharama sio tax deductible.
Ok ! IRS unayosema si ndio watu wana file tax huko au nimekosea!

Sasa ulichouliza kuhusu tax return ni kitu gani ikiwa unajua haya?

Ulikataa kuwa huwezi kujua lobbyist kupitia tax return, sasa unakubali hoja za lobbysist kwa mujibu wa 'IRS' please

Ukasema hana lobbysist sasa unasema ni miongoni mwao. I mean..
 
Naomba nijibiwe kwanini Hillary hakutoa Scripts za speech zake za Wall Street?
Hujazisoma?

Naona mjadala unahamia Simba na Yanga, na hilo si lengo la uzi

Kuna mengi ya kujadili post elections, speech tumezaijadili uzi mwingine
Kama hukuwepo rudi kasome tena ukiwa na swali uliza

Nadhani ni wakati ujitathmini kidogo kabla ya kuendelea na mjadala
 
'IMANI' KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI

Baada ya uchaguzi kuna yanayoonekana kama 'imani' na kama ingelikuwa huku kwetu tungeoanisha na ''ushirikina''

Kwanza, kuna kakitongoji ka Dixville Notch, New Hampshire
Tarehe ya uchaguzi inayoaanza saa 6 usiku, wao wanapiga kura na kutoa matokeo hapo hapo.Hawasubiri machweo

Pili, inaelezwa hakuna Republican aliyekwenda Ikulu bila kushinda Ohio.
Hilo linaonekana kuwa kweli

Tatu, kuna kitongoji kimoja kinachoitwa Vigo, Indiana
Hiki kinajulikana kumchagua Rais wa Marekani. Hakijikosea tangu 1856?

Mgombea akishinda Vigo, atakwenda Ikulu moja kwa moja.
Ndivyo ilivyotokea
 
Unajua kuna wakati huna hoja.
Nilichosema kama hana special interest au lobbyist ni vema uone vitu vingi.

Ndiyo maana watu wanadai tax return kuoanisha na nyaraka nyingine na kuleta maana iliyokusudiwa.

Special interest na Lobbyist wapo wa aina nyingi

Kwa mfano, kampeni za Marekani pesa zinazotumika zinajulikana.

Lakini kuna kitu kinaitwa super PAC humo kuna watu wana interest zao

Ni kweli lobbyist wapo legally lakini si hivyo tu watu wana circumnavigate the system
Na unaweza kujua hayo kupitia nyaraka mbali mbali

Hivyo usiiangalie tax return kwa wepesi tu

Source ya income na kodi zake zipoje?
Ok ! IRS unayosema si ndio watu wana file tax huko au nimekosea!

Sasa ulichouliza kuhusu tax return ni kitu gani ikiwa unajua haya?

Ulikataa kuwa huwezi kujua lobbyist kupitia tax return, sasa unakubali hoja za lobbysist kwa mujibu wa 'IRS' please

Ukasema hana lobbysist sasa unasema ni miongoni mwao. I mean..

Nguruvi3, kwenye hayo maelezo hamna substance

Mwanzoni umesema utagundua lobbysts na special interests kupitia kwenye tax return. Sasa hivi umebadilisha position kuwa tax return zilidaiwa ili kuoanisha na nyaraka zingine.

Nyaraka zipi unazungumzia?

Super PACs zanajulikana na zipo wazi. Niko interested na 'yaliyofichwa' kwenye tax return.

Nimesema Trump alikuwa insider ina maana alikuwa lobbyist. Unavyo-lobby ina maana unatafuta kufaidika wewe na hivyo una-incur lobbying expenses.

Trump katika position yake he is not lobbying ina maana hatafuti kushawishi maamuzi ya viongozi kwa sababu yeye ndiye kiongozi mkuu.

Nahitaji unifahamishe ni jinsi gani huwezi kumfahamu lobbysts mpaka tu uone tax return ya mtu?

Ukizungumzia source ya income, unaweza kuangalia hata kwenye audited financial statements.

Kwanini waliomdai Tax Returns wasingemuomba tu Audited Financials kujua source of income?
 
Nguruvi3, kwenye hayo maelezo hamna substance

Mwanzoni umesema utagundua lobbysts na special interests kupitia kwenye tax return.
Hebu weka nukuu niliyosema haya!
 
Nahitaji unifahamishe ni jinsi gani huwezi kumfahamu lobbysts mpaka tu uone tax return ya mtu?
Please naona umeamua kuharibu uzi na mjadala

Hebu weka nukuu ya maneno hayo! nashanga kwanini useme na usiweke nukuu

Ifike mahali tuwe na constructive debate, this kind of flimpsy zinaharibu maana
 
Super PACs zanajulikana na zipo wazi. Niko interested na 'yaliyofichwa' kwenye tax return.
Again unachukua maneno unayafanyia spinning out of context

Nilichosema ni hiki.

''Ni kweli lobbysist wanajulikana kisheria.
Kuna lobbysist wana aina nyingi. Wengine wana circumnivigate the system.

Nikatolea mfano wa super PAC ambayo legally inajulikana lakini ukiangalia wanachangia ni watu wenye interest zao''

Again, nilichosema tax return inaeleza mambo mengi ndani yake ambayo yanaweza kufungua ukurasa mpya. Nikatolea mfano wa New York
Hakuna mahali nimeandika ' inaficha'' unless u prove kwa nukuu maana zipo

Please wengi wanasoma kwa maana ya kutaka kuelewa, kujadiliana na kwenda mbele.

I'm not sure if people are interested with this kind of debate ya kuchukua maneno ya mtu kuyafanyia spinning au out of context

Mkuu tulipofika panatosha, sipo kufanya ubishi au mashindano yasiyo na maana.

Nipo ku share ideas na wengine in civil way

Tofauti pengine ulikozoe karaha, kashfa na matusi, hapa hoja za watu zinakuwa debunked kwa hoja, wanatoa mitazamo n.k

Nakuelewa unachotafuta ni ku discredit watu kitu ambacho si lengo la nyuzi zaidi ya tatu.
 
Niliwahi kusema ushindi wa Donald Trump utaamsha hisia za kibaguzi ambazo zilikuwa zimelala tu. Toka siku Obama alipochaguliwa mwaka 2008, lilikuwa ni swala la muda tu na kweli akatokea mkombozi waliyekuwa wakimsubiri...

Hail Trump, hail our people, hail victory...
America was until this past generation a white country designed for ourselves and our posterity,
It is our creation, it is our inheritance, and it belongs to us
We will make America white (great?) again...

-Alt-right Richard Spencer
 
Niliwahi kusema ushindi wa Donald Trump utaamsha hisia za kibaguzi ambazo zilikuwa zimelala tu. Toka siku Obama alipochaguliwa mwaka 2008, lilikuwa ni swala la muda tu na kweli akatokea mkombozi waliyekuwa wakimsubiri...

Hail Trump, hail our people, hail victory...
America was until this past generation a white country designed for ourselves and our posterity,
It is our creation, it is our inheritance, and it belongs to us
We will make America white (great?) again...

-Alt-right Richard Spencer
Hili suala limeleta tatizo. Teuzi za akina Bannon , Sessions zinazidi kuchochea madai ya Spencer.

Taarifa ya juzi iliyotolewa na Trump team ilikemea ubaguzi.
Wachunguzi wanahoji kwanini haku dissociate na kundi hilo

Katika mahojiano na NY time alibanwa na kuji dissociate kwa tabu sana

Kundi la Spencer linatoka kwa Trump anaowaita 'forgotten men and women''

Mahojiano ya Breitbart na Nigel Faraj yanaeleza mahusiano ya karibu kati ya nationalist na Trump.

Wapo watakaohoji kuna ubaya gani wa kuwa nationalist?
Neno nationalist limechukua sura tofauti na linatumika kama ''chaka''

Farage aliyeongoza Brexit alikutana na Trump kabla ya PM May.

Traditionally Rais wa Marekani huongea na viongozi wa dunia. Katika hali inayoonyesha diplomatic row, Trump aliongea na May kama mtu wa 14!

Hisia kali za kibaguzi zinarindima na zitakuwa na tatizo mbele ya safari
 
''ROLL BACK'' ?

Kama mtakumbuka katika nyuzi ya primaries tulieleza tatizo la kutokuwa na ''specifics'' katika sera

Baada ya uchaguzi Mag3 amekuwa akileta update the popular vote
Haitegemewi popular vote kubadili matokeo lakini tulisema ina maana

Mkuu TUJITEGEMEE aliuliza nini hatma baada ya uchaguzi?

Mahojiano ya Trump na NY times yanaeleza mengi kuhusu hali ilivyo

1. Tunaelewa Obamacare haitafutwa day one kama ilivyoahaidiwa.
Hili limeongelewa siku za nyuma. Kinachoonekana ni kukosa mbadala wa nini kifanyike na uwezekano wa kuleta mtafaruku kwa kufuta tu

2. Mahojiano, Trump ameeleza kutokuwa na nia uchunguzi dhidi ya Clinton.

Huko nyuma alisema 'lock her up' na kuahidi AG kuunda timu ya uchaguzi. Sababu alizotoa jana suala litaligawa Taifa zaidi.

Hapa popular vote inapoonekana kuwa na nguvu,na tofauti ya kampeni na reality

3.Trump ameeleza mahusiano ya kazi za binadamu na Climate change.
Huko nyuma alisema Climate change ni Hoax iliyotengenezwa tu

Suala la coal litawezekana?

4. Ame ''signal'' kupitia upya mikataba ya NAFTA
Katika video aliyotuma mahusiano na TPP kwa negotiations maalum

Nchi kama Japan zilieleza kwenda 'solo' na TPP. Marekana itafanya 'protectionism' iki trade na nani? Kumbuka Brexit itakuwa na makovyu pia

Kwa maana hiyo, Trump hakuwa na sera za mbadala kwamba atafanya nini
Kinachofanyika sasa katika transition ni kutengeneza sera mbadala

Tatizo lake hizo mbadala zinaweza zisi reflect ahadi zake
Au, zinaweza kukabiliwa na matatizo yatakyolazimisha zibaki zilizopo

Kwa mfano, Brexit inategemewa kuleta mtafaruku wa uchumi Europe

Katika ''Global economy'' impact itafika kila kona.

Ni kama ilivyokuwa kwa Greece na Italy.

Hivyo kujitoa NAFTA au TPP inaweza kutokuwa na uhalisia

Huko nyuma alisema Obamacare, NAFTA, TPP ni disaster na atazifuta mara moja. Inaelekea huko ?
 
Baada ya uchaguzi Mag3 amekuwa akileta update the popular vote. Haitegemewi popular vote kubadili matokeo lakini tulisema ina maana
Mkuu Nguruvi3, kuna kitu kinatokea Marekani ambacho hakitoi picha inayoeleweka mpaka mtu uwe unajua kitu kinachoitwa gerrymandering na impact yake katika uchaguzi Marekani. Kuna wakati Republicans, kwa sababu walikuwa madarakani walikula njama katika ugawaji wa mipaka ya uchaguzi siyo kulingana na idadi ya wapiga kura bali kiitikadi.

Ni kwa sababu ya hujuma kama hii mwaka 2014, pamoja na Obama kushinda electoral votes na popular votes kwa wingi tu, bado aliweza kupoteza Senate na House zote kwa pamoja. Nafasi ikipatikana nitaweza kueleza zaidi kilichotokea na kwa nini watu wanaanza kuhoji inakuwaje aliyepata kura nyingi hakushinda Urais na kuna faida gani kujipanga kote huko kupiga kura.

Popular votes update: as of Wednesday November 23rd, 2016.
  • Hillary Clinton: 63,964,956
  • Donald trump: 62,139,188
  • Difference: 1,825,768
Pamoja na kwamba hesabu za electoral votes bado hazijakamilika Clinton anatarajiwa kumshinda Trump kwa idadi ya kura inayokaribia milioni tatu. Kwa namna namba hii inavyozidi kuwa kubwa, kuna maswali yatakiwa yapate majibu hata kama hayatabadilisha matokeo lakini ni wazi Wamarekani wengi hawamkubali Trump na hawakumpigia kura.

Kwa vyovyote vile hali hii, tukubali tusikubali, inalidhoofisha dai la Trump la kupewa full mandate kufanya anavyotaka na hili ameshalitambua mapema sana hivyo kulazimika kuwanyenyekea aliowaita wahasimu wake. Na si hivyo tu mabadiliko nayo yatalazimika kufanyika hata kama si mara moja kurekebisha hali hiyo na kuhakikisha halitokei tena.
 
Sijui unataka kueleza nini hapa ambacho sikielewi pengine

Unakubali kuwa Jared yupo katika transition pamoja na Chris
Unakubali kuwa Chris amekuwa demoted kutoka chair

Jared ni privy wa Trump, Christie ni inner cycle and loyal kwa Trump
Usifikiri ni jambo rahisi kwa Trump kumtupa yeyeote kati ya wawili hao

Kilichotokea ni power struggle and vengeance. Jared anaona ana upper hand katika kumu influence Trump. Chris anamuona Jared ni novice

Kwa mtazamo huo the 'broker' akawa Mike Pence ili kumweka Trump mbali na interest zake kwa wote jambo ambalo lingemkwaza

Yes wanafanya kazi lakini under Pence ili kuondoa nani ni Boss na ku iron out the difference. Christie as loyal member wa Trump lazima atapata post kubwa
Jared as privy and henchman wa Trump ana nafasi no matter what

Haya hayondoi ukweli kuwa tiff miongoni mwao lili derail transition team

What the fuss on this?
Bandiko la nukuu tulieleza transition inavyoyumba.

Kikubwa ilikuwa timu ya Jared Kushner ambayo ni ya familia ikimshauri Trump.

Kuna kundi la pili la Loyalist,akina Newt Gingrich na Chris Christie n.k

Hali inamtatanisha Trump. Katika wanaotegemea kuwa sec of state ni Romney

Mitt anaweza kusimama katika uso wa dunia na kueleza jambo

Romney ni 'moderate' hajaonyesha tabia za alt right za Trump

Alitegemewa alete mizania na kuondoa hofu ya alt right.

Ndivyo Trump alivyofanya kwa kumchagua Nikki Haley kuwa balozi UN
Nikki ana asili ya India na wazazi wake ni immigrant

Hili ni kupunguza joto kuhusu nini watu wategemee kwa admin mpya

Katika hali isiyo ya utata, loyalist hawakubaliani na uteuzi wa Romney

Ikumbukwe Romney na Nikki Haley walikuwa 'critics' wakubwa wa Trump

Loyalist wanao Trump anaanza kuwaweka pembeni.

Kinachochagiza ni uwepo wa Jared kama mshauri wa Trump

Loyalist wanamtaka Guillian kwa kukumbuka Christie Vs Jared

VP Pence anaegemea kwa Romney kwa uzito wa nafasi ya sec. of state

Trump anaonekana kukubaliana na hilo pamoja na ushauri wa Jared

Tatizo, atawatupa loyalist?

Tusemezane
 
Nimeona sehemu kwamba Transition team wanamtaka Mitt Romney aombe msamaha publicly kwa yale aliyoyasema dhidi ya Trump kwenye kipindi cha kampeni. Inasemekana VPEOTUS anam-support Romney kwenye nafasi ya SOS.

Mike Huckabee naye alitoa maoni kwamba Romney aombe msamaha publicly. Lakini inaonekana kuna sehemu kubwa ya Trump base hawakubaliani na apology ya aina yoyote ya Romney.

Pia kuna Congressional Reps wengi tu kama akina Rand Paul wasiom-support Rudy Giuliani kwenye nafasi ya SOS. Wanadai nafasi ya SOS ilipoteza integrity kipindi cha Hillary na wanamuona Rudy kama mtu ambaye foreign financial interests zake zitaathiri integrity ya State Dept.

Nadhani PEOTUS ataamua amchague nani kati ya hao wawili au aangalie wengine kwenye nafasi ya SOS.

Kitu ambacho nipo concerned nayo na nadhani ni concern ya wengi US ni suala la conflict of interest (COI) kati ya PEOTUS na biashara zake. PEOTUS inabidi achukue maamuzi thabiti ya kutenganisha kazi zake za serikali na biashara zake ukizingatia kwamba biashara zake zinatumia majina yake.

Anaweza kuweka biashara zake kwenye independent blind trust, au akaziuza (liquidate), au kuachia wanawe (kama anavyosema). Lakini suala la POTUS kufaidisha biashara zake ni ethically wrong hata kama hamna sheria inayomzuia kuwa na COI.

Indep. Blind trust itamzuia kujua kinachoendelea katika biashara zake na hivyo kushindwa kuweka au kubadilisha sera au maamuzi kwa namna inavyofaidisha biashara zake. Wanao-manage Indep. Blind Trust wanaweza kuuza au kununua assets bila kumpa mhusika taarifa.

Suala la kuuza assets sidhani kama ni option atakayopenda kuangalia lakini inawezekana.

Kuwaachia watoto wake tu bado inaweza kuacha mwanya wa biashara za wanawe kufaidika na POTUS. PEOTUS inabidi achukue hatua thabiti kuhusiana na suala la COI kabla ya January 19th na naamini atafanya hivyo.

Chris Christie anafikiriwa kwenye nafasi ya Sec. of Homeland Security au Sec. of Energy.
Ben Carson anafikiriwa kwenye nafasi ya Sec. of Housing and Urban Development (HUD). Kuna wengine walidai Ben Carson amekimbia na hataki nafasi yeyote ningependa wamsikilize tena.
 
Back
Top Bottom