Mkuu JokaKuu wengine tulikuwa tukisema hapa tunabezwa. Ukweli HC alikuwa hatakiwi ndo maana ukiangalia ametumia nguvu kubwa sana kwenye kampeni. Waafrika wengi walimezeshwa na taarifa za Mainstream media za ndani na nje ya marekani. Hata polls zilikuwa za kulaghai watu. Mainstream media zilikuwa haziandiki habari zozote nzuri kumhusu Trump. Leo wakati akihojiwa na bbc Professor fulbert namwamba alikiri kuwa polls za uchaguzi zilikuwa za kutengeneza ndo maana matokeo hayajaenda sawa na zilivyoonyesha...Duh!!
..kwa kweli haya ni maajabu.
..katika kufuatilia kwangu chaguzi za Marekani, huu ni uchaguzi wa kipekee wa aina yake.
..Sasa ni kazi iko kwa Raisi Donald Trump to deliver on his campaign promises.
..Kwa sisi tulioko dunia ya tatu nadhani tukae chonjo.
Mkuu JokaKuu wengine tulikuwa tukisema hapa tunabezwa. Ukweli HC alikuwa hatakiwi ndo maana ukiangalia ametumia nguvu kubwa sana kwenye kampeni. Waafrika wengi walimezeshwa na taarifa za Mainstream media za ndani na nje ya marekani. Hata polls zilikuwa za kulaghai watu. Mainstream media zilikuwa haziandiki habari zozote nzuri kumhusu Trump. Leo wakati akihojiwa na bbc Professor fulbert namwamba alikiri kuwa polls za uchaguzi zilikuwa za kutengeneza ndo maana matokeo hayajaenda sawa na zilivyoonyesha.
Kwa kawaida kura za maoni huwa haziendi tofauti na matokeo. Km trump angesaidiwa km HC huu uchaguzi usingekuwa hivi.
Mkuu sijui kama unaelewa maana ya kuchambua. Halikuwa suala la kuandika nani atashinda nani atashindwa, bali kujadili mchakato mzima.Mkuu Nguruvi3 na Mag3 asanteni kwa kutuleteeni updates hapa. Ila week iliyopita nilileta hoja zangu hapa kuwa Trump atashinda mkaniona kuwa mimi sijui lolote.
HC alikuwa anabebwa na media na nyie mkawa mnaziokota habari zake hivyo hivyo bila kuzipima.
[emoji12] Poleni sana team HC, maana naona mmevyata kimya, hamna ule msisimko wa mwanzoni
Halafu tukaendelea hapaSURA YA UCHAGUZI
Tukumbushe uchaguzi si idadi ya kura, bali viti (Electral vote) au EV katika state
Kuna solid and Red Sates ikimaanisha zinajulikana zitakuwa Republican au Democrat
Kuna state zitakazoamua nani awe Rais kwasababu hazitabiriki, hizo ndizo swing au battle states
Macho kesho yatakuwa katika state zifuatazo (Kundi 1)
Nevada EV 6
Florida EV 29
Ohio EV 18
NC EV 15
Hampshire EV 4
Pen state EV 20
Iowa EV 6
Halafu kuna state ambazo hazieleweki kutokana na hali ya uchaguzi
Utah EV 6 Hii ni kutokana na kuwepo kwa mgombea binafsi Evans M
Arizona EV 11 Kutokana na kuwa na Latino
Maine EV 2 Kutokana na kuwa na congressional district
Georgia EV 16 Kwasababu hii ni red state lakini kura za maoni zipo karibu sana
Michigan EV 29 , lead ya Clinton imepungua 11 hadi 4, ambayo ni within margin of error
Hizi zinaweza kuwa chafuzi tu kwa wagombea ingawa ni unlikely zinaweza kuwa na impact hiyo
Muhimu ni kundi la kwanza kwasababu hizi
Kwa mujibu wa track poll (si lazima ziwe sahihi) Magic number inayogombewa ni 270
Hillary Clinton anasimama na EV 268 na Trump 204
Kwa minajili ya mjadala the EV baseline ni 204, hivyo wagombea wanatakiwa kufikia 270
Kama polls na uchambuzi ni sahihi bila mishaps kutoka kundi la 2 hapo juu, then
Clinto akiwa na 268 atahitaji EV 2 kutoka popote kama New Hampshire EV au Iowa
Donald Trump 204 atahitaji EV 66 na hizo lazima zipatikane kutoka kundi la 1 hapo juu
Inaweza kuonekana ni mlima mrefu kwa Trump kupanda, lakini huu ni uchaguzi lolote laweza kutokea. Ingalikuwa rahisi kiasi hicho Clinton asinge kampeni
Kwa mfano, BREXIT ilibashiriwa ushindi UK kubaki EU. Kilichotokea kila mmoja anakijua
Kwanza, wengi hawakujitokeza kupiga wakiamini kambi ya Remain itashinda.
Kambi ya exit ikapiga kura na mwisho ikashinda
Pili, katika primaries Hillary Clinton alikuwa anaongoza kwa asilimia 9-11 Michigan. Kwa mshangao Bernie Sander akashinda
Tatu, hakuna aliyetarajia 2004 George Bush angerudi madarakani kwa kumshinda Kerry
Nne, kuna factors nyingi zinafanya kazi katika uchaguzi tutajadili bandiko lijalo
Inaendelea
Mkuu hapa ina maana hukuona kitu au kupata hata moja linalofanana au kutoa picha ya matokeo?Wakati tunasubiri matokeo, tuangalie baadhi ya mambo yanayoweza kuathiri uchaguzi kwa namna moja au nyingine na pengine kuleta surprise
1. Kuna Latinos 'explosion' ambayo ni mapema kusema inaeleza nini
2. Black ambao kura za awali 'early' vote idadi yao imepungua
3. White ambao wamejitokeza kwa wingi kuliko siku za nyuma
4. Wanawake ambao wamekuwa sehemu ya mjadala wa uchaguzi
5. White color walioathiri na kufungwa kwa viwanda hasa battleground state
6. Kuna Immigrant ambao nao wamekuwa sehemu ya mjadala iwe kwa asili au dini
7.Kuna historia, kwamba si rahisi chama kushika madaraka vipindi mfululizo
8.Kuna suala la mgombea mwanamke aanayeleta utofauti kati ya wagombea kama ilivyozoeleka
9. Evangelical: Hawa hawana nguvu kutokana na aina ya wagombe. Si factor kubwa
Hizi ni baadhi ya factors zitakazoangaliwa matokeo yakianza kupokelewa
CO, NV, AZ,FL,OH,NC,PEN,VR,WS, MG,
Matokeo ya FL yatatoa picha nini kinaendelea CO
Matokeo ya Ohio yatatoa picha nini kinaendelea Iowa
Kama ilivyo NH, VR, MG
Kwa upigaji kura za awali, Iowa inaonekana kuelekea kwa Trump na likely Ohio kwasababu tulizoeleza hapo juu. Tunarudia kwataarifa na wala si usahihi, likely Iowa na Ohio kwenda GOP
Hapana polls zinaweza kuwa zipo sahihi.Mkuu JokaKuu wengine tulikuwa tukisema hapa tunabezwa. Ukweli HC alikuwa hatakiwi ndo maana ukiangalia ametumia nguvu kubwa sana kwenye kampeni. Waafrika wengi walimezeshwa na taarifa za Mainstream media za ndani na nje ya marekani. Hata polls zilikuwa za kulaghai watu. Mainstream media zilikuwa haziandiki habari zozote nzuri kumhusu Trump. Leo wakati akihojiwa na bbc Professor fulbert namwamba alikiri kuwa polls za uchaguzi zilikuwa za kutengeneza ndo maana matokeo hayajaenda sawa na zilivyoonyesha.
Kwa kawaida kura za maoni huwa haziendi tofauti na matokeo. Km trump angesaidiwa km HC huu uchaguzi usingekuwa hivi.
Na hapo ndipo anaanza na challenges. Kwa mfano, ikitokea suala la ugaidi hata uwe kidogo kwakwe ni kipimo...sasa wale waliosema uchaguzi wa Marekani unaweza kuwa rigged sijui wana maoni gani.
..Trump anatakiwa ajipange kwelikweli. Hizi kura alizopata zinaonyesha jambo moja, kwamba Wamarekani wana matatizo na wanataka yatatuliwe bila kuchelewa.
Na hapo ndipo anaanza na challenges. Kwa mfano, ikitokea suala la ugaidi hata uwe kidogo kwakwe ni kipimo.
Yale yote aliyosema lazima yahitaji 'delivery' na mengi utayaona katika complicated world yanachangamoto zake.
JokaKuu
Mwanzoni atafanikiwa kwasababu wana control ya Senate na House. Kadri siku zinavyosonga utaona hali itakavyokuwa, akitakiwa ku deliver huku system ikifanya 'check and balance'
Tena aliyawekea muda wa siku 100..
..wasiwasi wangu ni kama ataweza ku-deliver kwa Wamarekani walioko rust-belt.
..lingine ni kama ataweza kurekebisha race relations baina ya Wamarekani.
..halafu kuna suala la immigration na UKUTA alioahidi kuujenga. Sijui kama watu wanakumbuka ahadi ya Obama kuhusu Guantanamo.
..kufanya kampeni na kutawala ni mambo mawili tofauti.
NB:
..wananchi wanaweza kuchagua democrats kwenye mid term elections na kupelekea Trump kukwama kama ilivyotokea kwa Obama.
Trump anayo miaka miwili ya kuonesha uongozi na katika hiyo miaka miwili misingi ya legacy atakayoiacha itaangaliwa, kupimwa na kuhakikiwa kama ni thabiti. Kama Obama, miaka minane iliyopita, kapewa Urais na Congress na hapo ndipo atafuatiliwa kwa makini kafanikisha nini katika hiyo miaka miwili.Tena aliyawekea muda wa siku 100
Kwa mfano kufuta Obamacare kutaleta 'crisis' hilo linaonekana. Inaweza kuwa si perfect lakini 22M utawaeleza nini kama si kuwapa kilicho bora? Na kilicho bora hajasema Zaidi ya kufuta Obamacare
Pili, watu wa rust belt watamwangalia kwa matumaini makubwa hasa katika viwanda
Hapa ataingia katika mambo ya trade. Je, ataweza kufanya trade kama inavyotegemewa?
Ukuta anatakiwa aujenge na Mexico walipe. Ataendaje senate au congress kuwaambia anataka pesa wakati kuna midterm elections. Seneti na Congress wataogopa kupoteza
Nne, gun control ameahidi kila mtu awe nayo. Yakitokea mauaji kama ilivyokuwa atawaambia Wamrekani solution gani? Tayari kaahidi ku keep second amendment 100%
Tano, suala la race halijaisha na wala halitaisha. Ameahidi law and order. Je ni kwa nani?
Polisi au waathirika kama wanavyodai? Na tension itakuwaje kati ya black and white na ana solution gani
Sita, hajaeleza nini atafanya Syria na kwingineko. Kuanzia Tarehe 20 Jan atakuwa Rais wa 'dunia'
Je atakwenda sambamba na Russia?
Saba, nini hatma ya siasa za nje za Marekani kuhusu majeshi na washirika?
Naenda kwenye hoja zako Mwalimu wangu!1...polls hazikuwa za kutengeneza.
...
...2. Trump kuchaguliwa linajumuisha wapiga kura wapya ambao maoni yao hayakuweza kuwa captured na njia na taratibu zilizozoeleka za kukusanya kura za maoni.
3...Trump went into this election believing in MIRACLE. And, yes, a miracle happened.
4..Hilary Clinton ameshindwa lakini hajashindwa vibaya kuasi cha kusema alikuwa hatakiwi. 5.hakuna tofauti kubwa ktk idadi ya POPULAR VOTES pamoja na ELECTORAL VOTES baina ya
wagombea hawa wawili.
..6.Habari hii imekuwa kubwa kwasababu wachambuzi wengi walitegemea Hillary Clinton atashinda.
1. Baadhi tulijua madhara ya wikileaks, na tukajaribu kuyaeleza hapa, ingawa hatukueleweka!.....
1.Hakuna aliyejua impact ya Comey au WikiLeaks. Utaona kila kitu kimetokea nje ya normal
Polls nyingi zilinyesha economy ni issue lakini to what extent?
Hakuna anayejua mpact ya WikiLeaks kwa Democrat yenyewe na kwamba kunawezekana ipo disfranchise ya Team Bernie Sanders ambayo ni reservations usioweza kuibani kwani ipo kwa mtu
2.Hakuna aliyeweza kujua women hawapendani ....
3.Hakuna anayejua impact ya policy zilizopo, zipo ndani ya mioyo ya watu
4.Lakini pia jiulize kwanini wachambuzi, institutions zote na sehemu kubwa ya dunia imepigwa mshangao kama ule wa Brexit?
Mkuu it's too early kujua nini kimesababisha na bandiko langu ulilonukuu sija single out sababu halisi1. Baadhi tulijua madhara ya wikileaks, na tukajaribu kuyaeleza hapa, ingawa hatukueleweka!
2.Wanawake wanapendana ila wanachukia ulaghai na kusingiziana. Ile ya Hillary kutumia wale wa mama kumsema vibaya Trump tena bila ushahidi iliwakera wanawake wengi. Mwanzoni Hillary kabla ya kuharibu alikuwa na back up kubwa ya wamama kiasi cha Trump kusema Hillary hana lolote isipokuwa nakuwa protected na 'woman factor '!
3.Ni kweli policy za serikali ya Obama na establishments wao hasa zile za ndani zinazolenga kuwadhibiti middle class na wale wa vipato vya chini zimechangia Trump kushinda.
4. Zimepigwa na butwaa kwani kwa nguvu kubwa iliyotumika kumbeba Hillary kwenye kampeni ingeweza kuwa dissolved na jeshi la 'mtu mmoja, Trump '