Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani

Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani

King Suleiman, kabla sijaingia kwenye hoja yako naomba nitoe tu latest update ya matokeo ya popular votes kwa hawa wagombea wawili, Trump na Hillary kama ifuatavyo;
  • Hillary Clinton: 64,657,943
  • Donald trump: 62,448,127
  • Difference: 2,209,816
Tukija kwenye hoja yako labda tuanze kwa kujiuliza kwa nini inachukua miezi miwili kumwapisha Raisi mteule aliyejulikana kashinda ndani ya saa 24 toka uchaguzi ufanyike.

Swali la pili ni je kukigundulika mapungufu yoyote kwenye zoezi zima la uchaguzi, hatua gani zinatakiwa kuchukuliwa na ama mlalamikaji au vyombo vinavyohusika.

Swali la tatu ni je hatua hizo zinaweza kuathiri kwa namna yoyote matokeo yaliyokwisha kutangazwa na hivyo kusababisha kubatilishwa ikitokea athari ni kubwa.

Na mwisho kama haiwezekani kubatilisha matokeo kuna ulazima gani wa kuingia gharama hizo zisizo na faida yoyote na hivyo kupoteza muda bure na nani anatakiwa kuzilipa.

Nitarudi baadaye...
 
"El Jefe, post: 18665995, member: 387168"]King Suleiman,
Walioanzisha hili suala la kurudia kuhesabu kura ni mgombea Urais kutoka Green Party Jill Stein (ana 1% tu ya kura zote!!) na mgombea mwingine aitwaye Rocky Roque De La Fuente na wanafadhiliwa na Team Hillary.
Haya ni maoni yako au ni facts?
Team Hillary walidai Trump hatakubali matokeo na kwamba wao hawana shida ya kukubali matokeo lakini tunachokishuhudia ni kinyume chake.
Kuna kauli iliyotolewa na kampeni ya Clinton kutokubali matokeo?
Na kauli hiyo imetolewa lini na nani?
Sababu kuu za Team Hillary kuomba kura zirudiwe kuhesabiwa kwenye hizo swing States ni:
Kuna ushahidi wowote wa kampeni ya Clinton kutuma maombi ya recount?
Ila tusisahau, Team Trump nao wametaja wasiwasi wao na matokeo ya States za Colorado, Virginia, Nevada, California na New Hamphire. Wanadai idadi ya waliopiga kura kwenye counties kadhaa katika hizo States ilikuwa ni kubwa kuliko waliojiandikisha na kwamba mamilioni ya watu wasio raia walipiga kura.
Una latest info kuhusu Dem na Republican wanavyosema kuhusu madai hayo?
 
Sir, what you are reporting to us is the Nominal Popular Vote.

Real Popular Vote has to omit the No. of illegals who voted in the election.

Real Popular Vote = Nominal Popular Vote - Number of Illegals who Voted

In our case, Hillary's Real Popular Vote should exclude the 3M figure, it's just common sense.
Unaweza kutupa source za madai ya illiegal immigrants?
I mean habari hii umeipata wapi kiasi cha kuifanya iwe kweli kama unavyoeleza hapo juu?
 
Unaweza kutupa source za madai ya illiegal immigrants?
I mean habari hii umeipata wapi kiasi cha kuifanya iwe kweli kama unavyoeleza hapo juu?
Nguruvi3, unakumbuka nilikuomba source ya madai yako kuwa Trump alizuiwa ku-tweet? Je, uliniambia ulikoipata hiyo habari kiasi cha kuifanya kuwa kweli?
 
Haya ni maoni yako au ni facts?

Ni facts na Jill Stein ni chambo tu.
Kuna kauli iliyotolewa na kampeni ya Clinton kutokubali matokeo?Na kauli hiyo imetolewa lini na nani?

Nimetumia maneno "Team Hillary" sio "Kampeni ya Clinton", kuna tofauti.
Kuna ushahidi wowote wa kampeni ya Clinton kutuma maombi ya recount?

Nimetumia maneno "Team Hillary" sio "Kampeni ya Clinton", kuna tofauti mkuu. Jaribu kuwa makini.
Una latest info kuhusu Dem na Republican wanavyosema kuhusu madai hayo?

Ndio, plus wanavyosema kuhusu madai ya Team Hillary ya kuomba kura zirudiwe.
 
Nguruvi3, unakumbuka nilikuomba source ya madai yako kuwa Trump alizuiwa ku-tweet? Je, uliniambia ulikoipata hiyo habari kiasi cha kuifanya kuwa kweli?
Unataka turudi nyuma wakati tulishaongelea swala hilo.Je, hili ndilo jibu la swali uliloulizwa

Habari hiyo ilitolewa kama sikosei na ''Gregg Phillips wa True vote'' kama sikosei. Haikutolewa na kampeni ya Trump. Hivyo ulichukua tu bila kuangalia source

Mkuu mbona una dilute mjadala kiasi hiki? Please

Una haki ya maoni na hilo si tatizo kila mtu anafanya hivyo.
Hakuna haki ya facts kwasababu zipo zinajieleza. Hapa kuna tofauti
 
"El Jefe, post: 18676503, member: 387168"]Ni facts na Jill Stein ni chambo tu.
Ni fact kutoka wapi? Team Hillary au Hillary kampeni?
Na unawezaje kutoa maoni yako ukasema ni facts bila ithibati?
Nimetumia maneno "Team Hillary" sio "Kampeni ya Clinton", kuna tofauti.
Nimetumia maneno "Team Hillary" sio "Kampeni ya Clinton", kuna tofauti mkuu. Jaribu kuwa makini.
Hebu tueleze tofauti ya Team Hillary na Kampeni ya Hillary ni ipi?
 
Ni fact kutoka wapi? Team Hillary au Hillary kampeni?
Na unawezaje kutoa maoni yako ukasema ni facts bila ithibati?

Unaelezaje Jill Stein kupata $ 6.4 Million ndani ya siku chache kwa ajili ya kulipia marudio ya kuhesabu kura wakati alishindwa kuvuka $ 3.5 Million kwa zaidi ya mwaka katika kipindi chake chote cha kampeni?

Hebu tueleze tofauti ya Team Hillary na Kampeni ya Hillary ni ipi?
Chukulia "Team Hillary" kama SET na "Kampeni ya Hillary" kama SUBSET.

Team Hillary = Kampeni ya Hillary + Hillary supporters + Team Jill Stein
 
Unataka turudi nyuma wakati tulishaongelea swala hilo.Je, hili ndilo jibu la swali uliloulizwa

Habari hiyo ilitolewa kama sikosei na ''Gregg Phillips wa True vote'' kama sikosei. Haikutolewa na kampeni ya Trump. Hivyo ulichukua tu bila kuangalia source

Mkuu mbona una dilute mjadala kiasi hiki? Please

Una haki ya maoni na hilo si tatizo kila mtu anafanya hivyo.
Hakuna haki ya facts kwasababu zipo zinajieleza. Hapa kuna tofauti

Suala langu hatukuongelea, nilikuomba source na ukapotea.

Ukitumia neno "kama sikosei" huoni kama huko ni kuweka vitu ambavyo hauna uhakika navyo?

Sasa hivi hakuna 'Kampeni ya Trump' bali kuna 'Transition Team' ya Trump na Trump mwenyewe amelizungumzia hili suala.
 
Unaelezaje Jill Stein kupata $ 6.3 Million ndani ya siku chache kwa ajili ya kulipia marudio ya kuhesabu kura wakati alishindwa kuvuka $ 3.5 Million kwa zaidi ya mwaka katika kipindi chake chote cha kampeni?


Chukulia "Team Hillary" kama SET na "Kampeni ya Hillary" kama SUBSET.

Team Hillary = Kampeni ya Hillary + Hillary supporters + Team Jill Stein
!

Ahsante kwa maelezo mazuri, nimejifunza
 
Ukitumia neno "kama sikosei" huoni kama huko ni kuweka vitu ambavyo hauna uhakika navyo? Sasa hivi hakuna 'Kampeni ya Trump' bali kuna 'Transition Team' ya Trump na Trump mwenyewe amelizungumzia hili suala.
Ahsante kwa majibu, ufafanuzi na mjadala mzuri.
 
Ukweli gani huo uliojulikana?
Mkuu
Ukweli kuwa Gore alifanya concession aka retract. Kukawa na appeal Florida high court, supreme court na kufikia federal. Kura alizopunguza katika maefu kwa recount hazikubadilisha ukweli kuwa Bush alishinda.

Ukweli kuwa recount haikufikia kikomo ipo wazi na ukweli kuwa Gore alifanya concession ya mwisho baada ya process zote ni kielelezo kwamba jitihada hazikubadili concession ya kwanza.

Ndiyo maana naamini hata hii ya recount haitabadili matokeo, kwamba Trump ni Rais
 
Mkuu
Ukweli kuwa Gore alifanya concession aka retract. Kukawa na appeal Florida high court, supreme court na kufikia federal. Kura alizopunguza katika maefu kwa recount hazikubadilisha ukweli kuwa Bush alishinda.

Ukweli kuwa recount haikufikia kikomo ipo wazi na ukweli kuwa Gore alifanya concession ya mwisho baada ya process zote ni kielelezo kwamba jitihada hazikubadili concession ya kwanza.

Ndiyo maana naamini hata hii ya recount haitabadili matokeo, kwamba Trump ni Rais
Got ya.

Na ni kweli kabisa.

Kinachofanyika sasa ni kampeni tu ya kum-delegitimize Trump kwenye court ya public opinion. Ni siasa tu.

Uwezekano wa ku overturn matokeo haupo. It is a flying pig!
 
ZILIZOJIRI

Kwanza, mwanasheria wa Clinton amesema 'no wrong doing' katika matokeo
Wao wanashiriki kama wawakilishi, hawana madai
Hili limejibu hoja ya kwamba Clintons wamefikisha maombi

Pili, kuna madai ya Trump ya illegal immigrant kupiga kura.
Trump anasema California, Virginia na NH immigrants walipiga kura.
Hakuna ushahidi uliofikishwa kutetea madai hayo hadi sasa

Maafisa uchaguzi wa maeneo hayo wametolea kauli suala hilo

Tatu,lile timbwili tulilojadili la transition team, lipo wazi
Kuna kampeni katika media zinazoonyesha hamkani si shwari

Hoja inayosumbua ni Romney, ''transition'' inamuona alikwaza kampeni
Kwa upande mwingine Trump na VP wanaona Mitt ni muhimu

Loyalist wanamtaka Rudy Guillian baada ya Chris kupata 'demotion'

Nne, Trump na Petreus kuutana. Ni General mwenye heshima Marekani
Petrus alijiuzulu baada ya kauli zake kuwekwa hadharani na gazeti

Uteuzi wake utafunua maswali ya alivyo handle suala la habari akiwa General

Tano,Trump amezungumzia wanaochoma bendera, kufungwa au kunyang'anywa Uraia

Hili linaonekana kuamsha hisia za uelewa wake miongoni mwa wachambuzi

Mathalani, suala limeshajadiliwa na supreme court iliyosema wanaofanya hivyo wanalindwa na free speech chini ya 1st amendment.

Na mmoja wa majaji aliyewahi kulizungumzia ni Marehem Scalia
Jaji ambaye Trump amemsifia sana

Trump ameteua Elaine Chao kuwa transportation secretary
Bi Chao alikuwa sec wa labor wakati wa Bush, ni mke wa Mitch McConnel

Bi chao ametumikia pia wakati wa Bush Senior katika nafasi ya unaibu

Uteuzi unakuja na conflict of interest kwa kumuangalia mumewe
Hata hivyo hilo si suala la kisheria kwasababu hakuna sheria inayozuia

Conflict of interest inayoonekana ni ya Trump Organization na Pres. Elect

Uwekezaji wake katika nchi nyingi kupitia kampuni zake itakuwa tatizo

Kuna suala la blind trust ambalo haionekani kama analiafiki.

Tatizo si Trump kumiliki mali zake, bali team ya familia iliyo karibu naye
Ni Familia iliyokaribu na ngumu kuitenga kisiasa au kibishara (overlap)

Kisheria halionekani kama tatizo lakini tayari kijamii limeanza kuonekana

Uhusiano wa Urais, familia na kampuni zake upo katika darubini kubwa

Tusemezane
 
Ndiyo maana naamini hata hii ya recount haitabadili matokeo, kwamba Trump ni Rais
Mkuu Nguruvi3, kama nilivyoelewa lengo kuu la recount si kubadili matokeo, hilo si jambo rahisi kama wengi wanavyofikiria, bali kusaidia kuchunguza uwepo na kiwango cha mapungufu katika zoezi zima na yakigundulika kuyafanyia marekebisho kabla ya uchaguzi ujao.

Kwa ufahamisho tu...latest presidential vote count...
  • Hillary Clinton: 64,916,035
  • Donald trump: 62,563,218
  • Difference: 2,352,817
 
Asanteni kwa mjadala. Bado naendelea kuelimika hasa juu ya namna mabadilishano ya uongozi na namna uteuzi unavyofanywa na wenzetu(US). Kwenye uteuzi nimegundua tofauti kubwa sana kati yetu(Tanzania) na Marekani ukilinganisha na uendeshaji wa kupata wagombea, kampeini zenyewe na uchaguzi.

Katika chakura chakura yangu mtandaoni nimepata maoni ya ndugu Dmitri Dvornitsky, maoni haya kwa mara ya kwanza yalichapichwa na jarida la Life na baadaye kutafisiriwa na AlexD kwa ajiri ya SouthFront.org. Kaandika mengi juu ya uteuzi lakini binafsi nimeona ni nakili Maoni yake juu ya uteuzi wa Mitt Romney kuwa SOS na kuyaleta jukwaani.

Karibuni
======

The Wall Street Journal publication citing its sources trumpeted to the whole world that in the Trump camp there is a serious battle. Supposedly, the president elect himself “wants very much” to see as Secretary of State his worst enemy but his inner circle are absolutely against.

The “talking heads” on the main American television stations claimed that the Big Donald “made an act of reconciliation”, “made a wise decision” and made an “important step towards party unity”.

So, are we looking at a dramatic turnaround in Donald Trump’s foreign policy?
I do not think so.

All this noise around Romney’s candidacy was a skilful public relations campaign. Trump really needs that his enemy works for him. But certainly not as the chief diplomat of the Unites States.

To better understand what is at stake we will look at another appointment, which is not destined to happen.The same day that the press was speaking about the “Secretary of State Romney”, another information tidbit was made that the Defence Secretary of the USA will be the retired general James “Mad Dog” Mattis.

But Mattis cannot become the head of the Pentagon. In the USA, by law, it is forbidden to fill that position with a person that did not spend a minimum of seven years in retirement after the military service. There was only one exception to this rule in 1950 at the request of President Truman. It was the five-star general George Marshall that became the Secretary of Defence.

To do this, Congress passed a bill in relation to a specific person, where it was specifically stated that the case is exceptional, so that in the future similar decisions are not recommended.

In principle, one would ask Congress to enact special legislation for Mattis, but the issued had to be resolved before the inauguration, therefore, Barak Obama could veto it, with a reasonable reference to the 1950 bill.

Donald Trump would not risk it.

The same thing can be said about “considering the Romney candidacy”. The former governor of Massachusetts does not possess any foreign nor diplomatic experience. He was a successful businessman, decent governor and excellent organisational schemer, but to put him in a position as the head of the Department of State in such a difficult time would be imprudent even in the case if Mitt was praising Trump throughout the campaign and agreed with him in everything.

Considering everything, Romney himself agreed to take part in the show. He needed some kind of moral rehabilitation after the humiliating defeat of the NeverTrump movement, and for Trump, the loyalty of the old party establishment.

In addition to demonstrating to the Republican congressmen some latitude and his capacity of being a “hawk” Donald Trump resolved along the way another problem, which is to scare the left wing of the Democrats and make them more compliant.
Congresswoman Tulsi Gabbard, the famous Bernie Sanders supporter, who did not surrender to the graces of Hillary even when the Vermont Senator gave in, came to meet Trump. She even left from the position of Vice-President of the National Democratic Committee Party as a sign of protest against the violations of the party during the primaries.
The credibility of Gabbard grows every day among the Democrats in Congress. Today she is the symbol of honesty and the fights for values. According to her, she arrived at the President’s residence, so as not to let neocons and warmongers into the administration.
The deed is done. Mitt Romney went as a goodwill Ambassador to John McCain and his friends, and Tulsi Gabbard to the Democrats.
Favourable conditions were created for the newly appointed members of the Trump administration and Big Donald, right before Thanksgiving, did not fail to use them.
The Governor of South Caroline Nikky Haley was nominated as Ambassador to the UN. She is considered a natural born negotiator, capable of reconciling different points of view and bringing to the negotiating table the worst of enemies.
Haley will not just become a senior diplomat of the USA. Her position in the Trump administration is given a status of a member of the cabinet, which in American history was not done often. It is as if Vitaly Churkin had a rank of a federal minister.
The Secretary of Education was given to the businesswoman, philanthropist and civil activist Betsy DeVos, having her own views on education reforms in the USA.
Both new co-workers of the administration have experience in entrepreneurial activities and consider the Washington establishment with ill-concealed contempt. And for these two reasons are ideal candidates for their roles in the Donald Trump cabinet. I suspect that for these two appointments the elected President already has a “pardon” from the new composition of the Senate.
When Mitt Romney will be asked, what the hell was he doing at Trump’s residence, since he did not become Secretary of State, you will see, he will say: “I was lobbying for Nikky Haley”.
Next week, most likely, we will finally find out who will become the Secretary of State of the USA. Those with the most chance are the former mayor of New York Rudy Giuliani and congressman Bob Corker. However Donald again might surprise everyone. But certainly not appointing Romney.
It is time to get used to this; this is the signature style of President Trump. We look in one direction but the most important happens in another.
 
..nimesoma kwamba gen.petreus naye ana "mgogoro."

..kwanza, inajulikana ali-mishandle classified information alipokuwa Iraq au Afghanistan.

..alipatikana na hatia kwasababu alijaribu kudanganya. Kwa Wamarekani, kwenye masuala kama haya mhusika akidanganya huingia ktk matatizo makubwa zaidi.

..kwa makosa hayo Gen.Petreus alihukumiwa kulipa FAINI na kuwekwa kwenye PROBATION(haruhusiwi kusafiri nje ya western north carolina bila ya ruhusa ya mahakama au probation officer).

..sasa hii PROBATION ndiyo inasemekana itamkwamisha. Makala niliyosoma inasema Gen.Petreus ataendelea kuwa on probation miezi mitatu baada ya Trump kuapishwa!!

..He is in such a complicated legal situation. Itabidi Raisi Trump ampe msamaha halafu ndiyo smteue kuwa sos.
 
..nimesoma kwamba gen.petreus naye ana "mgogoro."

..kwanza, inajulikana ali-mishandle classified information alipokuwa Iraq au Afghanistan.

..alipatikana na hatia kwasababu alijaribu kudanganya. Kwa Wamarekani, kwenye masuala kama haya mhusika akidanganya huingia ktk matatizo makubwa zaidi.

..kwa makosa hayo Gen.Petreus alihukumiwa kulipa FAINI na kuwekwa kwenye PROBATION.

..sasa hii PROBATION ndiyo inasemekana itamkwamisha. Makala niliyosoma inasema Gen.Petreus ataendelea kuwa on probation miezi mitatu baada ya Trump kuapishwa!!
Yes habari hizo zipo, Dem wanasubiri kuona 'double standards' Wanafananisha habari na ile ya Hillary Clinton
 
Back
Top Bottom