Mkuu Nguruvi3, Donald Trump ametangaza vita dhidi ya chama chake na haya ndiyo mashambulizi yake ya mabomu (tweets) baada ya uamuzi wa Spika Ryan...TRUMP 'AACHANA NA REPUBLICAN'
WIKILEAKS YATOA Emails
Trump ameeleza alichokiita 'kufunguliwa pingu' na kwamba sasa anakwenda 'solo'
Hayo yanatokea baada ya Spika Paul Ryan kutangaza kutoshiriki katika kampeni yake
Wakati huo huo, mwenyekiti wa RNC Bw Priebus ameeleza kuendelea kumuunga mkono
Hali hii imezidi kuleta kiwewe miongoni mwa Democrats kwani si kawaida kutokea
GOP wamegawanyika wakiwemo wanaomuunga mkono Trump na wanaokataa
Kwa upande wa Democrats na Hillary, Wikileaks wametoa mzigo mwingine wa emails
Hakuna kilichoonekana kizito kwa kuathiri kampeni. Ni mawasiliano ya ndani tu
Tutakumbuka DNC walilalamika emails zao kuwa hacked siku za nyuma
Tusemezane
Emails zilizopitiwa ni maelfu na kikubwa ni mawasiliano ya ndani na mikakati ya kampeni.Email za wikileak, tupende tusipende, zina madhara kwa HRC. Nadhani ndiyo maana chama kimechukua hatu kukata link ya Assange na ulimwengu kupitia Internet.
Julian Assange's internet link has been intentionally severed by a state party - WikiLeaks
Mkuu vipi kuhusu tuhuma za Trump dhidi ya HRC kuwa anafanya "doping "? .Kudhibitisha ,Trump kasema wapimwe utumiaji madawa kabla ya mdahalo wa mwisho. Testesi zilizopo ,DEMO wanapanga kujitoa kwenye mdahalo huo wa mwisho. Huoni sasa Trump mbinu yake ya kubadili mjadala inaweza kufanya kazi mara hii tena kwa ufanisi?
Fact: Trump alikuwa anazungumzia kuishiwa nguvu Hillary Clinton mwishoni mwa mdahalo wa pili..
-----
Unaweza kutusaidia japo source moja ya wapi Dem wamesema watajitoa katika mdahalo?
Mkuu Axelrod ni political pundit hana wadhifa katika kampeni.Ushahidi huu:
============
David Axelrod, one of President Barack Obama's top strategists, floated the idea that maybe Hillary Clinton should skip the final presidential debate.
'Drug testing?!? You have to wonder if @HillaryClinton will/should reconsider next debate, given the depths to which this has sunk,' the political operative who helped Obama get to the White House twice tweeted Saturday.
SOURCE:David Axelrod suggests Hillary Clinton SKIP final debate over Trump's drug test suggestion | Daily Mail Online.
Pengine leo internet yangu ikitengamaa nitaweza kuchangia kikamilifu lakini duh jitegemee! Wewe ungefaa sana kuwa msemaji wa Donald Trump [emoji1][emoji1][emoji1].Ushahidi huu:
============
David Axelrod, one of President Barack Obama's top strategists, floated the idea that maybe Hillary Clinton should skip the final presidential debate.
'Drug testing?!? You have to wonder if @HillaryClinton will/should reconsider next debate, given the depths to which this has sunk,' the political operative who helped Obama get to the White House twice tweeted Saturday.
SOURCE:David Axelrod suggests Hillary Clinton SKIP final debate over Trump's drug test suggestion | Daily Mail Online
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Clinton kwa unipolar yake ya kutete hegemony ya Marekani duniani; atasababisha US kuanguka vibaya sana. Akianzisha vita na Russia, nchi inayoungwa mkono na nchi nyingi zinazochukia ubabe wa US kwa nchi nyingine kiuchumi, kisiasa na kitamaduni; vita itaimaliza kabisa US. Russia anathamini sana sana multipolar kwenye masuala yote kwa ajili ya kudumisha amani duniani. Ni kwa sababu hii na nyingine ninashauri US wamchague the Trumps ambaye atasaidia kuangamiza US taratibu na bila madhara makubwa kwa ulimwengu kuliko Hillary atakayeingamiza US kwa fujo na haraka kiasi cha kusababisha madhara makubwa kwa ulimwengu.
yangu ni hayo.
Hapa kuna maswaliClinton kwa unipolar yake ya kutete hegemony ya Marekani duniani; atasababisha US kuanguka vibaya sana. Akianzisha vita na Russia, nchi inayoungwa mkono na nchi nyingi zinazochukia ubabe wa US kwa nchi nyingine kiuchumi, kisiasa na kitamaduni; vita itaimaliza kabisa US. Russia anathamini sana sana multipolar kwenye masuala yote kwa ajili ya kudumisha amani duniani. Ni kwa sababu hii na nyingine ninashauri US wamchague the Trumps ambaye atasaidia kuangamiza US taratibu na bila madhara makubwa kwa ulimwengu kuliko Hillary atakayeingamiza US kwa fujo na haraka kiasi cha kusababisha madhara makubwa kwa ulimwengu. Kinachonishangaza ni kwa nini vyombo vya usalama vinamkingia kifua namna hii huyu mama (FBI releases Clinton probe documents)yangu ni hayo.
Red: Yamekuwa hayo mkuu? Hivi Dailymaill watakuwa nao wanatuchezea shere kujadili msimamo wa mtu wa karibu wa Obama aliouto akupitia Tweeter,? Mkuu, au kwa sababu HRC ndiye muhanga wa msimamo huo? Nimeuliza maswali yote haya kwa sababu hapo juu kwenye uzi huu ulijenga hoja juu ya udhaifu wa waRepublican kwa kutumia ushahidi wa tweet.Mkuu Axelrod ni poltical pundit hana wadhifa katika kampeni.
Pili, tweet siyo 'official' document or ' a stand of any well established org'
Muhimu sana katika lugha kuna kitu kinaitwa semantic.
Nadhani uliposoma hiyo tweet hukuendelea kusoma kwa 'semantic'. ukaisoma kama habari kamili
Mkuu kwa hili kwakweli sijadili maana source yake ni sawa tu na Nguruvi aandike Hillary ni mwendawazaimu na ukaamini. Mkuu niwie radhi , sijadili kwakweli!
TRUMP NA TWEETS
Ukisoma moja ya tweets bandiko la Mag3, utaona anakiri wazi 'it's hard...with zero support
Wengi wanajiuliza kwanini Republican wana mtosa mtu wao?
Well, GOP wana tatizo na kundi la wanawake na watu wa rangi siku nyingi
Jitihada zao ilikuwa kuyaleta makundi haya yaliyopoteza imani.
Kauli za Trump zinaelekea kuyafukuza makundi na si kuyaleta.....
No no! Kwakweli tunahitaji credible source, ndiyo maana nimeomba.Red: Yamekuwa hayo mkuu? Hivi Dailymaill watakuwa nao wanatuchezea shere kujadili msimamo wa mtu wa karibu wa Obama aliouto akupitia Tweeter,? Mkuu, au kwa sababu HRC ndiye muhanga wa msimamo huo? Nimeuliza maswali yote haya kwa sababu hapo juu kwenye uzi huu ulijenga hoja juu ya udhaifu wa waRepublican kwa kutumia ushahidi wa tweet.
Mkuu, ni kiri kuwa kwa muda huu siwezi kukupa jibu sahihi la maswali yako. Maana yanahitaji back up yenye uzito.Hapa kuna maswali
1. Nitajie Rais mmoja tu wa Marekani aliye waive US hegemony akiwa Oval Office
2. Nini foreign policy ya Hillary Clinton?
3. Ni ipi Foreign policy ya Trump?
....
Hebu tuwelee kipande cha Daily mail tusome
Sasa kama huna ''back up'' unawezaje kuzungumzia hegemony ya US?Mkuu, ni kiri kuwa kwa muda huu siwezi kukupa jibu sahihi la maswali yako. Maana yanahitaji back up yenye uzito.
RedItalic: Trump ana sense of humor ukilinganisha na yule mama. Hata hivyo ana matatizo yake kama binadamu ambayo sidhani kama ni hatarishi sana kwa ulimwengu ka ya yule mama. Trump can easily be rehabilitated ukilinganisha na yule mama ambaye kuomba msamaha tu kwake ni shida.Pengine leo internet yangu ikitengamaa nitaweza kuchangia kikamilifu lakini duh jitegemee! Wewe ungefaa sana kuwa msemaji wa Donald Trump [emoji1][emoji1][emoji1].
Asange anayo matatizo ya siku nyingi na serikali ya Obama. Ni kwa sababu hiyo hadi leo kaikimbia nchi yake na kujifungia ubalozini Equador mjini London.
Siyo Marekani tu inamtafuta, hata nchi yake Sweden anatafutwa kwa kosa la jinai. Asange anajulikana kama a fugitive from justice na kwa Trump kampata mshikaji wanayeendana.
Mkuu unajua mimi ninajifunza mengi kutoka kwako? Hapo mkuu ulitakiwa uniweke sawa mimi mwanafunzi wako kwamba hapa hii iko hivi na hivi. Mkuu kumbuka mimi ni mwanafunzi wako ingawa naweza kuonekana nauliza maswali au natoa hoja ambazo zina utata. Na kudhibitisha hili nikasema nisije nikamuabisha mwalimu wangu lazima niende 'chimbo' ndipo nakapojibu maswali yako matatu. Mwalimu kumradhi kama nimekukwaza. Nahitaji elimu yako sana. I am sincerely serous. Sitanii.Sasa kama huna ''back up'' unawezaje kuzungumzia hegemony ya US?
Na umepata wapi mawazo kuwa kati ya wawili mmoja ana 'unipolar' na mengine uliyosema?
Kama huna idea ya foreign policy za wawili hao, unawezaje kuzungumzia misimamo yao duniani?